Loading...
Saturday

Taarifa ya maazimio ya mkutano wa CCM wa makabidhiano ya Kiti cha Mwenyekiti


Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa.

Hii ndiyo taarifa rasmi kama ilivyotolewa na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, baada ya Kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 


Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Picha zote na Bashir Nkoromo, Kwa picha nyingine kem kem za kikao hicho, bofya hapa.

1 comments :

  1. Mbona hawana hamjsitia polisi. Sababu wamevaa kijani ya magufuli. Nyinyi wote msraisi wanne wwa nchi hii mko kimya.hamuoni udictata huu kupitia wangu wa mikoa mliowateua kunysnyasa watanzania wenye akili kama wanyama. Tuna idi I
    A mini wa Uganda.

    ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP