Loading...
Tuesday

Kwa mwenye biashara: Oscar anaulizia quotation ya vifaa vya ujenzi wa choo kwa makisio yafuatayo...

Kwa mwenye biashara hii, kuna mdau ametuma ombi lifuatalo...


Je,

Ninaweza kupewa gharama/bei ya vifaa vya ujenzi wa choo cha kuvuta ikiwemo kuingiza maji kutoka uani kwenda kwenye choo cha ndani ya nyumba. Nimembatani makisio ya vifaa vinavyohitajika.

Ahsante,
Oscar Kalinga
kalinga78@hotmail.com

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP