Loading...
Monday

1 comments :

  1. Huyu mzungu hawezi kiri ukweli.anasema haoni tatizo, na linajionyesha wazi.ametumia vigogo, na watu wachache kupata eneo hilo. Wanaotoa maeneo haya ni wajinga. Mwafrika yeyote hawezi kupata eneo lolote la mali ya umma kokote duniani. Sababu eneo kama hili linsbidi kwanza limilikiwe na watu wa hapo wenye kujua mazingira hayo.pia wamrishi na wanyama hawa miaka mingi na wanaelewa wanyama hawa.mzungu. au bepsri kazi yake ni moja tu Pesa kokote atakakokwenda.hapa hawajali zwamasai, amelazimika kukaa nao sababu anajua atatajirika sana.kwao hakai pamoja na waafrica hata. Ubaguzi mtupu. Tanzania mmewadhurumu wananchi wengi kwa namna hii. Kama Raisi Magufuli anafuata mienendo ya Nyerere awarudishie Wamassai maeneo yao. Na huyu mfaransa ajifunze kuwa Binadamu kwanza. Hamuoni mmassai sawa naye.akafanye haya kwao ufaransa. Kuna mikataba mingi imetolewa kwa wazungu kwa namna hii kwa kulazimisha. Maeneo makubwa ya mbuga yamechukiliwa na wajanja wazungu wenye pesa toka kote duniani kupitia viongozi waCCM kinyume cha sheria za nvhi hii.kutakuwa na migogoro mingi ya ardhi kama hii Tanzania nzima. Kuna koloni nyingi sana hapa. Ingereza, China,Marekani, Ufaransa. Wote wamuja toa vimsaada mupitia mkuu wa vijiji, au waziri au kiongozi mwongea miingereza na kutoa maeneo muhimu kwa hawa quote and quote wawekezaji.hawa ni mabepari watu binafsi watoa hongo na vizawadi ili wapate maeneo haya. Wakuu wa vijiji waliopokea vijizawadi nao waliotoa vijizawadi wafungwe.huu ni upotoshaji wa uwekezaji Africa na hasa Tanzania .huu ni wizi, na ukoloni mambo leo.zamani viongozi walipewa shanga, vijinguo kuuza watu, leo pesa, magari na nyumba.wamassai hawakuwahi kutawaliwa na Wazungu, leo mnawadharalisha Wamassai dunia nzima kws nini. Huyu mfaransa arudi kwao akaendeleze nchi yake. Wamassai msiondoke hata.

    ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP