Loading...
Monday

1 comments :

  1. Hakuna maendeleo kwa mteremko wa atakaye afanye asiyetaka aache. Na hakuna maendeleo yasiyokuwa na msukumaje wake. Mkitaka ulegevu mtabaki kuibiwa kodi tu. Kodi zetu zilijenga mahoteli (ya mafisadi)na zikawa zinaliwa huko (kwa imprest na matumizi ya kifisadi). Ndo maana sasa hivi inadaiwa biashara mahotelini imedorola.
    Bila mabadiriko ya uthubutu ambao ndo mnaita udikteta hatuendi kokote ng'o!

    ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP