Loading...
Wednesday

UNDP/UNEP: Kongamano la bure la kilimo biashara Jumamosi hii kanda ya ziwa ESRF

Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ikishirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP/UNEP inaandaa kongamano la siku moja kuhusu KILIMO BIASHARA katika KANDA YA ZIWA litakalofanyika jijini Mwanza siku ya Jumamosi tarehe 27/8/2016 katika ukumbi wa ROCK CITY MALL ghorofa ya tatu kuanzia saa mbili na nusu (2:30) asubuhi. 

Malelezo Zaidi bofya hapa esrf.or.tz/ebrief/067.html au soma vipeperushi hapa chini.


0 comments :

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Toggle Footer
TOP