Vijimambo hivi vlitokea pale Mbuge wa Moshi Mjini bwana Ndesamburo (CHADEMA) alipotua kwa Helikopta yake wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius K. Nyerere. Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi wanafunzi wa vyuo mbalimbali walipokuwa wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM bwana Amos Makala katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika na Stadi za Biashara (MUCCOBs) wakati helikopta ya mzee Ndesa ilipotua huku akishangiliwa na nderemo za, 'babu babu babu'... ilibidi Makala asitishe kuongea kama dakika tano hivi halafu akaachia kali ya mwaka, ati: "Hata mimi ningepewa helkopta na Chama cha Mapinduzi ningekuja nayo, nami nishuke nayo hapa lakini nimekuja na gari sio kwamba sisi hatuna …tunazo nyingi lakini sisi ni wastarabu zaidi" Mzee Ndesa akasema: "Ikiwa kweli nchi inataka kumuenzi Mwalimu basi ifanye aliyoyataka yeye kwa kukemea rushwa ,ukabila, udini na kuwaondoa madarakani viongozi wasio waadilifu. Watu waache kumuenzi kwa maandamano na kuvaa sare. Viiongozi ambao Mwalimu alisema hawafai kuwa viongozi wamepewa uongozi na kufanya mambo maovu kwa serikali yetu na tunaendelea kuwafunika kwa blanketi la Chama, badala ya kuwachukulia sheria. Tunamuenzi vipi mwalimu? Tuache kumuenzi kwa maneno wananchi wamechoshwa na maneno" alisema Mzee Ndesa aka Babu ndiye Mzee Ndesamburo! Hivyo ndivyo vijimambo vya Siasa toka Moshi. FIFA World Player 2009 shortlist 31/10/2009
So, this is a list that will generate the winner of "FIFA World Player" for the year 2009. Last season it went to Cristiano Ronaldo. Who, amongst these, is going to snatch it in December?
Katika Mkutano uliofanyika tarehe 27 Octoba 2009 ukishirikisha Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Wakala wa Usajili na sheria za Biashara (BRELA), and Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zikiwa ni taasisi zinazosimamia shughuli za kampuni chini ya sheria mbalimbali, mambo yafuatayo yalijitokeza. I. Yaliyojitokeza 1. Kukiuka Kanuni za Kimataifa za Kihasibu (IFRS) Baada ya NICOL kuwasilisha taarifa ya hesabu za fedha zilizokaguliwa kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2008, katika kupitia taarifa hizo, CMSA ilibaini kuwa utayarishaji wa taarifa hizo haukuzingatia kanuni za kimataifa za uandishi wa vitabu vya hesabu za fedha (uhasibu) yaani International Financial Reporting Standards (IFRS) na pia ilibainika kuwa hesabu hizo zinapotosha hali halisi ya kifedha ya Kampuni ya NICOL (financial position) na faida ambayo NICOL iliripoti. Mkutano huo ulithibitisha kuwa: (a) CMSA na NBAA kwa pamoja walitoa maagizo kwa Wakaguzi wa hesabu wa Kampuni ya NICOL wamtake mteja wao, NICOL kuwa:- (i) aondoe taarifa za hesabu za mwaka unaoishia tarehe 31 Desemba 2008 kwa kuuarifu Umma (press release) (ii) atayarishe upya taarifa hizo kwa kufuatana na kanuni za kimataifa za kihasibu na kuziwasilisha kwa ukaguzi kulingana na Kanuni za kimataifa za Ukaguzi wa hesabu yaani International Standards on Auditing (ISAs).. Sababu kubwa ya kuitaka NICOL iondoe taarifa za hesabu zake ni kuwa taarifa hizi za hesabu za fedha zilikuwa hazitoi ukweli kuhusu hali halisi ya kifedha ya kampuni na hivyo kupotosha Umma. (b) Wakaguzi wa Hesabu wa NICOL walikiri kufanya makosa kwa kutoa hati safi (unqualified audit opinion) kuhusiana na taarifa hizo za hesabu za kampuni ya NICOL na Kumtaka mteja wao atayarishe upya hesabu hizo kufuatana na kanuni za kimataifa za Kihasibu na kuziwasilisha kwao kwa ukaguzi kabla ya kuzitoa kwa Umma. (c) Endapo taarifa za hesabu za Kampuni ya NICOL zingetayarishwa kuendana na kanuni za kimataifa za uandishi wa vitabu vya hesabu za fedha hali ya kifedha ya NICOL na faida iliyoripotiwa ingekuwa tofauti kabisa na ripoti yao potofu inavyosema. 2. Kuitisha Mkutano Mkuu wa Wanahisa Kinyume na Matakwa ya Sheria ya Makampuni. Katika kulinda maslahi ya Wanahisa wa NICOL, CMSA na DSE waliiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya NICOL wasifanye mkutano wa Mwaka wa Wanahisa (AGM) bila kuwa na Taarifa za Hesabu sahihi na zinayokubalika kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Desemba 2008 kama Sheria ya Kampuni ya mwaka 2002 inavyoelekeza. Kwa mujibu wa sheria ya Makampuni, uwasilishaji wa taarifa za fedha zilizokaguliwa ni moja ya kipengele cha lazima katika ajenda za Mkutano wa Mwaka wa Wanahisa. 3. Kukaidi Kutekeleza Maagizo na Kutoa Taarifa Potofu kwa Wanahisa (a) Wakurugenzi wa kampuni ya NICOL pamoja na kutakiwa na Mamlaka tatu za usimamizi, NBAA, CMSA and DSE walikaidi agizo la kutayarisha upya taarifa za fedha za Kampuni kwa Mwaka Ulioishia tarehe 31 Desemba 2008. (b) Pamoja na kukumbushwa mara kadhaa na kushauriwa na Wakaguzi wa Kampuni, Wakurugenzi wa NICOL walikaidi agizo la kuondoa taarifa hizo za hesabu. Kibaya zaidi Wakurugenzi wa NICOL waliweka kwenye ripoti ya Mwaka Maoni ya Wakaguzi (audit opinion) huku wakijua kwamba tayari wakaguzi hao walishaondoa maoni yao. (c) Wakurugenzi wa NICOL waliendelea kuitisha mkutano tarehe 24 Octoba 2009 na wakagawa kwa Wanahisa pamoja na nakala nyinginezo, Ripoti ya Mwaka ambayo ina mahesabu ambayo Mamlaka za usimamizi ziliagiza ziondolewe kwa sababu zilikuwa zikitoa taarifa potofu kwa Wanahisa. (d) Wakurugenzi wa NICOL wamekaidi kurekebisha taarifa zao kama Mamlaka za Usimamizi zilivyoelekeza. Wakurugenzi wa NICOL walitakiwa kutekeleza kwanza maagizo waliyopewa kabla ya kuitisha Mkutano Mkuu wa Wanahisa ili wasiwape wanahisa taarifa potofu. 4. Wakaguzi Kuondoa Maoni yao Kuhusiana na Mahesabu na Hatima yake. Kutokana na kukosekana ushirikiano kutoka kwa Wakurugenzi wa NICOL, Wakaguzi wa Hesabu kupitia barua yao nambari MACO/NICO/10/09 ya tarehe 8 Octoba 2009 waliondoa maoni yao (audit opinion) juu ya taarifa hizo za hesabu za Fedha za NICOL kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2008 na kumtaka mteja wao arudishe kwao nakala zote zilizosainiwa za mahesabu hayo. Kuondolewa kwa Maoni kuhusiana na hesabu maana yake ni kuwa NICOL haina taarifa za hesabu za fedha zilizokaguliwa kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2008. 5. Kampuni ya NICOL Kufanya Maamuzi ya Uwekezaji Bila Kufanya Uchunguzi Yakinifu Baada ya zoezi la ukaguzi lililofanywa na CMSA (onsite inspection), ilithibitika pia kuwa, Wakurugenzi wa Kampuni ya NICOL wamefanya maamuzi mbalimbali ya Uwekezaji bila ya kufanya uchunguzi yakinifu (Due Diligence) na hivyo kuwa na uwekezaji wenye ubora hafifu kama ilivyowekeza kwenye makampuni ya Interchem Pharmaceutical and Beverage Limited (IPBL) na Twiga Feeds Ltd na hivyo kuhatarisha maslahi ya wanahisa. Wakurugenzi wa NICOL waliagizwa waajiri Mtaalamu wa Mambo ya Uwekezaji (Fund Manager) ili awashauri katika kufanya maamuzi ya uwekezaji. Mpaka sasa hawajatekeleza agizo hilo pamoja na kukumbushwa mara kadhaa. II. Maoni na Mapendekezo ya Mamlaka Zinazosimamia Kampuni kwa Mkutano wa Wanahisa Uliopangwa Kufanyika Tarehe 31 Octoba 2009. Kufutia maelezo hayo hapo juu, ni wazi kuwa Wakurugenzi wa kampuni ya NICOL wamekuwa wakaidi na wameshindwa kutimiza wajibu wao. Wanahisa wana haki katika Mkutano Mkuu kuteua Wakurugenzi na inapoonekana muhimu kuwaondoa. Mamlaka zinazosimamia shughuli za kampuni tuna maoni na mapendekezo yafuatayo kwa Mkutano wa Wanahisa uliopangwa kufanyika tarehe 31 Octoba 2009. Wakurugenzi wa kampuni kwa kipindi kinachoishia tarehe 24 Octoba 2009 hawana sifa ya kuendelea kuwa wakurugenzi na hivyo wajiuzulu au waondolewe. pia hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Bodi mpya iahidi kwamba itatekeleza maagizo yote yaliyotolewa na Mamlaka za Usimamizi. III. Kushindwa kwa Wanahisa Kutekeleza Mapendekezo ya Mamlaka za Usimamizi Wanahisa wanatakiwa watambue kwamba wakishindwa kutekeleza kwa ukamilifu mapendekezo ya Mamlaka za Usimamizi itapelekea Mamlaka hizo Kuchukua hatua kali dhidi ya Kampuni kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zilizopo. It's weekend. A time of the week when a lot of people say goodbye to office work until two days elapse. It's also the end of the month when a lot of people get their monthly pays. And for those with no due debts nor 'upatu' feel it's time to make the most of it. It's a combination of these and other factors that encourage a lot of people to plan activities and decide to have fun and enjoy a drink or two or five or ten or twenty of alcohol containing beverage... but then, there is a famous saying that, 'do not drink and drive' see what these people in the video did instead... It looks like Tanzania's new slogan 'Kilimo Kwanza' literally meaning 'Agriculture First' has met a partner in recognition. The UN's News website reports that the Food and Agriculture Organisation (FAO) scheme via a $3 million project set by Germany will help Tanzanian farmers expand their access to markets and ultimately bolster their food security. The project aims at helping the common 'mwananchi' shift from just cultivating food for survival to producing food for cormmercial purposes. The plan is to provide technical expertise to local traditional farmers in areas of farm management, marketing and business. The Tanzanian president was quoted by media a few days ago saying that, he was not the first to introduce and stress on the slogan, 'maisha bora kwa kila Mtanzania', he remarked that it started with the father of the nation, the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, so he is just a mere advocate of it. That being said, my question remains, how has the 5 years of the current governing office managed to live the slogan? (though borrowed) how will the mwananchi translate to real life and fair the slogan from Nyerere to Mwinyi to Mkapa and now Kikwete? I think Mr. President and the whole authoritative bodies should know that most of us lack confidence and motivation for work. Our working environment is demoralizing. We lack enough equipment to enable us carry out and fulfill the required job effectively hence, low yield and ultimately a low pay. The common mwananchi has been hearing in radio, seeing on television and reading on newspapers about corruption that has plagued every sector across government and non government organisations, so much so that they have little, if not zero trust. We just struggle to survive and live for the day. We don't know what living is. In these two years, we have witnessed a number of demonstrations from various dissatisfied wananchis demanding fulfillment of either past due salaries (for example the teachers) or a pay of some sort from a long awaited compensation (like the former East African Community employees). It is these kinds of news that usually force people into believing that their government has either given up on them or abandoned them completely. Hope for the nation wanes and that for the future dies off. If that is the case, what kind of a future generation are we building? How can we tell the young ones to have hope while we have none? It's not noble to lie. Nevertheless, we can revive our hopes through Kilimo Kwanza believing that the re-introduction of 'kilimo kwanza' will be a 'walk the talk' kind of thing, Mwananchi is already tired of 'talking the talk', after all, an old African Swahili saying insists that, 'ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo' and mwananchi cites this very well. *Key Mwananchi - a country's citizen Maisha bora kwa kila Mtanzania - A good life for every Tanzanian Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo - Action speaks louder than words (or) Opinion counts but a gentleman is judged by his actions. I received an email from my young brother today about the $1 chicken meal coupon at Boston Market Restaurant . At first I thought may be it was one of those emails with strings attached on it, unfortunately, he doesn't send me those ones, so that was unpolite thinking of me and I apologize, but you know when you receive something that looks suspicious or sounds too good to be true, you raise eyebrows and think twice before committing yourself to doing something stupid which you would regret later. I therefore did a couple of searches online and the first place I went to (as I usually do for these things) was snopes.com, and sure enough, this deal is confirmed as being true. I then tried the Boston Market website, but it looks like everybody is either in or trying to get in there. I finally gave up after waiting for more than 300 solid seconds (time it took for me to compose this post) to capture a screen shot. So, I took a screen shot from my email, screen shot from snopes.com and a screen shot of a link to the website where you can write your friend's email address and forward to them, the link that opened immediately was: http://oi.vresp.com/f2af/v4/send_to_friend.html?ch=45e8befc6b&lid=250001197&ldh=e6e5577fa8 Click on the images below to see the screen shots. So for those of you living in the USA and want to not miss this chance, hurry up. The offer runs for one week, starting October 26 until November 1st 2009 Cool Firefox extension - Minimalist Gmail 29/10/2009
Yesterday I was reading Leo Babauta's blog "ZenHabits" when I fell in love with the extension "Minimalist Gmail" that was developed by Matt Constantine to help Gmail + Firefox users declutter their work space. What does it do? Basically keeping Gmail simple and clean. * Choose what you want, get rid of the rest. * Simplify Rows takes the heart of the clutter, hiding unnecessary icons while keeping all the functionality. * Remove chat, but still respond to incoming requests. * Remove ads, if you must. * Hide the header, but get it back in a jiffy. We add an itty-bitty toggle arrow for quick access to the search and settings. Of course, if you install it and you realize that you don't like it, there is an arrow just at the left top corner where you can click at it any time you want to change your mind. You can also uninstall it from your firefox addons list. The PCMag blog has a post about a scam that could turn to potential personal information stealing by internet thieves. Take note of the message below and this alert and refrain from filling out any survey from any bank or institution that stores your sensitive information. Most importantly, do not give out your sensitive information such as your date of birth, place of birth, citizenship, social security number, TIN number, password, Passport ID and details of such. Do not click any link that looks suspicious or seem to come from people you don't know, even if it were to come from a friend or relative (including your parents or kids) it could also be not true. Someone can steal their information and start to send out links containing wrong information, viruses, phishing sites etc. Read more about this banking scam at: http://blogs.pcmag.com/securitywatch/2009/10/bank_survey_phish.php Matani ya Kikenya... (usichukulie ukweli)! 29/10/2009
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU’ hii hao (house) ni noma. 3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full. 4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia “wee iba tu Mungu anakuona.” 5. Ati hao yenu ina gate lakini hakuna fence. 6. We’ ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement (ngazi za barazani) miguu ina hang kwa hewa. 7. We mjinga mpaka ulifail blood test. 8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch. 9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (mgando/mtindi). 10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa. 11. Nyanyako (bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora. 12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda (baba) yenu hajui majina mpaka huwa address kama wananchi. 13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha. 14. Wewe mblack mpaka unasweat soot. 15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni school bus. 16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror (muvi ya kutisha) Hollywood. 17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind. 18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao kuna round-about. 19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (wajinga) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school. 20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool. 21. Mko wengi kwa hao mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam. 22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie parachute. 23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ...ati Munatuona jamani? 24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi. 25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening? 26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt 27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder. 28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate 29. Paka yenyu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili. 30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang kwa frame. 31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News (watangazaji wa habari) wame piga magoti. 32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti ime kauka. 33. Nyumba yenyu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers (malapa). 34. Budako ni fala, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka. Hiki ni kipande tu cha aliyoyasema Dk. Harrison Mwakyembe alipozungumza na waandishi wa habari 28 Oktoba 2009 na kuwapa changamoto kuhusu uandishi tafiti na kufichua habari mbalimbali. Namshukuru sana Dr. Kiva kwa kukubali usumbufu wangu wa kumwoba kurekodi na kunitumia audio hii nami niiweke mtandaoni walao watu wengi waweze kusikia ya hapa na pale yanayosemwa na wabunge, wawakilishi na viongozi wa wananchi Tanzania. Unaweza kusikiliza audio clip katika ukurasa wa 'Redio' sehemu ya 'TBC1 Redio Tanzania'. |