wavuti
 
YoutubeTime.com - If you wanted to share a segment of a YouTube video and didn't want people to watch the whole clip just to find that specific part, then youtubetime.com will be your friend. It let's you share a video with your set start time. You copy the URL address of the YouTube video you want to share, mark the time you want people to view, get a new link and share.

For those of you blessed to have an extra memory, read the new post for a cool DIY tip on the same.
 
 
 
 
Habari iliyoripotiwa na mtandao wa AFP inasema kuwa, Tanzania itatumia kiasi cha dola za Kimarekani $750,000 kuwaleta vifaru wapatao 32 kutoka nchini Afrika Kusini hadi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Akiongea kwa njia ya simu na AFP, Mkurugenzi wa Mipango wa Mbunga za Wanyama TANAPA bwana Allan Kijazi amesema kuwa inatarajiwa kuwa hadi ifikapo mwezi Aprili mwakani, vifaru 32 watakuwa wameshahamishiwa katika mbuga hiyo iliyopo mkoani Arusha. Inakadiriwa kuwa, idadi ya vifaru walimo katika mbuga ya Serengeti ni kati ya 30 -35, idadi  yake inaweza kufikia 67. Ameongeza kusema kuwa, aina hii ya vifaru, yaani vifaru weusi (Diceros bicornis) awali walichukuliwa kutoka Tanzania na kupelekwa Afrika kusini na sasa wanarejeshwa katika makazi yao ya kawaida.

Habari kwa lugha ya kiingereza inapatikana katika linki ifuatayo: google.com/hostednews/afp
 
 
November 27th, 2009 marked the beginning of 2009's Eid al-Adha, the Muslim "Festival of Sacrifice", commemorating the willingness of Ibrahim (Abraham) to sacrifice his son to God. Eid al-Adha takes place immediately after the Hajj, a pilgrimage to Mecca that is a pillar of Islamic Faith.

Seen below are a pick from a collection of 38 photographs from this year's Hajj and observance of Eid al-Adha by Boston.com's Big Picture
Picture
The sun rises over a mosque in Cairo on the first day of Eid al-Adha, November 27, 2009. (REUTERS/Tarek Mostafa)
For some technical reasons I can not put the photo descriptions for now, please click HERE for description and more photos.
 
 
Gazeti tando la HabariLeo linaripoti:

Kwa mujibu wa maoni ya utafiti huo uliofanywa na taasisi ya kimataifa ya utafiti ya Afro Barometer yenye makao makuu nchini Ghana na kuongozwa na Amanda Lea Robinson wa Chuo Kikuu cha Stanford, Marekani, nchi ya Tanzania imeweka rekodi ya aina yake barani Afrika kwa kuibuka nchi pekee yenye Wananchi wenye mapenzi makubwa kwa taifa lao kuliko jambo au mfumo wowote wa kitamaduni, kiuchumi au kijamii unaowagawa katika makundi mbalimbali na matabaka.

Katika mahojiano hayo yaliyohusisha wananchi kati ya 1,200 na 2,400 katika kila nchi kati ya nchi 16 zilizochaguliwa kufanya utafiti kuhusu ujenzi wa Taifa katika nchi za Afrika, wananchi waliulizwa maswali ili kubaini iwapo wanajisikia fahari zaidi kutambulishwa kwa jina la taifa lao kwa mfano Mtanzania, au kwa jina la kitu kingine haswa kabila.

Robinson ambaye ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Idara ya Sayansi ya Siasa ya Stanford University anasema katika utafiti huo uliotolewa Septemba mwaka huu kwamba wakati wastani wa wanaopenda mataifa yao katika nchi hizo ni asilimia 42 ya wahojiwa, kwa Tanzania wanaolipenda taifa lao ni asilimia 88 ya wahojiwa wote. Nchi ya pili kwa kuwa na wananchi wanaopenda Taifa lao kuliko kabila ilikuwa Afrika Kusini ambayo asilimia 63 ya wananchi wake wanalipenda taifa lao kuliko kabila, ya tatu Namibia ambayo wiki hii ilikuwa katika mchakato wa uchaguzi wa Rais. Nchi ya nne ni Senegal asilimia 51 na ya tano Madagascar, asilimia 50. Nigeria imekuwa ya mwisho kwa kuwa na asilimia 17 tu ya wananchi wake wanaolipenda taifa lao kuliko kabila.

Rekodi hiyo ambayo ni moja ya kigezo cha nchi iliyo na ulinzi imara, imepatikana baada ya wananchi wa nchi za Afrika, wakiwemo Watanzania, kufanyiwa mahojiano maalumu kuhusu jambo la fahari wanalodhani ni muhimu kujitambulisha nalo kati ya mambo kadha wa kadha yanayotumika kumtambulisha mwanadamu.  Vigezo vingine vinavyoifanya nchi kuwa na ulinzi imara na madhubuti licha ya uzalendo wa wananchi wake kulipenda taifa lao ni teknolojia ya vita, ushirikiano mzuri na nchi marafiki zikiwemo nchi jirani, wingi wa wanajeshi, bajeti inayotumika kwa ajili ya ulinzi na usalama na idadi ya watu. 

Soma habari nzima kupitia: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=4594
 
 
Dr. Magufuli
Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Dr. John Pombe Magufuri, akipongezana na Dr. John Stanslaus Nduguru ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Ufundi katika Wizara ya Miundombinu, wakipongezana baada ya kuhitimu kozi ya PhD katika mahafali yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Picha na maelezo ni kwa mujibu wa tovuti ya PwaniRaha.com
 
 
Kwa wale wafuatilia habari, mtakumbuka wiki iliyopita tulipachika video hapa kwa ajili ya watu kuweza kutizama kwa ufupi yaliyorekodiwa mwaka 1996 katika harakati za kuwaondoa wanavijiji katika maeneo ya uchimbaji madini eneo la Bulyanhulu. Baadhi yenu mliiona na kushukuru. Katika takwimu watu wapatao 1197 waliweza kuitizama video ile. Kwa bahati mbaya, video hii haipo tena mtandaoni kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana, aliyeiweka hajatoa maelezo ya kwa nini ameiondoa.Leo, gazeti la Serikali liandikwalo kwa lugha ya Kiingereza lina habari yenye kichwa cha habari kinachosomeka "The 1996 Bulyanhulu killings were a hoax" na maelezo yafuatayo:

TANZANIA has already resolved the 1996 dispute involving the alleged killings of miners at the Canada-owned Bulyanhulu Gold Corporation. The matter was concluded when instruments detailed to investigate the deaths found no evidence in the claims at the time. The Minister of State in the Prime Minister's Office responsible for Disaster Management, Mr Philip Marmo, said this when interviewed by 'Daily News on Saturday' on the action the government has taken to find answers to allegations that there had been human rights abuses when reallocating people from the area.

"We used both local and international instruments to investigate the claims and the inquiries were eventually brought to rest by the findings," he said. He also said that the issue had reached courts of law whose verdict had given a clean bill of health to the process. But he also attributed the allegations' wide coverage in media to the fact that 1996 was an election year that prompted some opposition politicians to capitalize on the matter for political ends. With regard to the alleged killings of artisanal miners in 1996 at the Bulyanhulu Gold Corporation, he said that a task force comprising police officers, local commissioners and international civil society officials had been formed at the time and came up with the conclusion that there had been no killings.

Neither had there been any human rights abuses. Police, he said, had investigated criminal allegations but had not come up with any evidence. According to the current arrangement, when a mining company wants to work at a particular area where there are settlements, the government uses the World Bank resettlement policy which stipulates that people have to be taken to another favourable place on agreement. President Jakaya Kikwete and Canadian Prime Minister Stephen Harper were expected today to discuss a way forward in developing the mining industry when they arrived for the Commonwealth Heads of Government Summit in the Republic of Trinidad and Tobago.

Canada is home to Barrick, one of the biggest mining multinationals in the world with mining interests in Tanzania.

Habari kamili ipo: http://dailynews.co.tz

Tovuti hii inawapa pole wale wote waliopoteza ndugu, jamaa, rafiki na mtu yeyote waliyehusiana kwa namna moja au nyingine.
 
 
Sijui mzazi naye anakuwa keshapinda kwa hivyo mtoto ni wake we yakuhusu nini...

Nikiziangalia picha hisi sasa ninaelewa ni kwa nini wakale wetu walisema, 'asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu' ama kwa Serikali za nchi kadhaa kuamua kuchukua sheria kulinda mtoto hata ikiwa ni wako.
 
 
Ifuatayo ni ratiba ya sikukuu za Kitaifa nchini Tanzania. Shukrani zimwendee Dr. Kiva kwa kutupa nakala hii. Bofya picha ili kuikuza, kisha ikifunguka, ibofye tena kuikuza iweze kusomeka. Unaweza kui-right click na kusevu kwenye tarakilishi au kuchapisha kwa marejeo ya baadaye. Pia waweza kuipakua kwa kubofya 'Download File' linki hapo chini.
Picture
Sikukuu za Kitaifa Tanzania 2010
2010nationalpublicholidays.pdf
File Size: 100 kb
File Type: pdf
Download File