Bofya kifute cha pleya kusikiliza. 2 Comments Bofya kifute cha pleya kuisikiliza. Bofya kifute cha pleya kusikiliza. Bofya kifute cha pleya kusikiliza. Waziri wa Viwanda na Biadhara, Mhe. Abdallah Kigoda amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa TBS, Charles Ekelege ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo ya makampuni "bogus" ya ukaguzi wa magari yaliyopo nje ya nchi. Wapo wanaohoji ni kwa nini aliyekuwa Waziri wa Wizara iyo hiyo, Cyril Chami alishindwa kumwajibisha Mkurugenzi huyo na kusababisha kupoteza cheo chake. Kwa majibu ya swali hilo, bofya hapa kurejea chapisho la jana kwa maelezo mafupi. Bofya kifute cha pleya hapa kusikiliza taarifa ya habari ya leo. Bofya kifute cha pleya kuisikiliza. Bofya kifute cha pleya kusikiliza Bofya kifute cha pleya kusikiliza. Jumapili iliyopita, Mei 13, 2012 kwenye kipindi cha Amka na BBC Swahili, Mwenyekiti wa Civic United Front "CUF" Profesa Ibrahimu Lipumba alizungumzia suala la ombwe la uongozi lililopo katika safu ya uongozi wa sasa wa Rais Kikwete. Profesa Lipumba ametoa mifano kadhaa ya Baraza la Mawazirili lililosukwa. Bofya kifute cha pleya hapo umsikilize Prof. |


RSS Feed