Mwalimu wa Historia skuli alinifunza kuwa ni ziliunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili 1964.

Unaweza kujipakulia nakala zifuatazo ili kuongeza maarifa kuhusu historia na mambo ya Muungano huu:

  1. INTELLIGENCE  STUDY ZANZIBAR:  TH E HUNDRED DAYS' REVOLUTION (ESAU XXX) DIRECTORATE  OF INTELLIGENCE - foia.cia.gov/CPE/ESAU/esau-28.pdf
  2. The Union between Tanganyika and Zanzibar  LEGALITY OF ADDITIONAL MATTERS OUTSIDE THE ARTICLES OF UNION BY MUSSA, ALI. UBWA - zanzinet.org/files/legality_union.pdf
  3. KWAHERI UKOLONI, KWAHERI UHURU! ZANZIBAR NA MAPINZUZI YA AFRABIA: Dkt. Harith Ghassany -  kwaherikwaheri.com/download.htm
  4. Mohamed Said anjibu vipi "East African Muslim Welfare Society" ilivunjwa - youtube.com/user/MzeeBarwani
  5. Baadhi ya maoni ya watu kuhusu Muungano - Muungano in site:mzalendo.net

video: Udhalimu wa Muungano kwa Wazanzibari
 
 
 
 
 
 
Picture
via The Citizen Newspaper
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Pengine ni malengo ya uanzishwaji na matumizi ya facebook, kubadilika kwendana na wakati na matakwa ya watumiaji.