Update ya "...wezi na matapeli wa email..." 01/02/2012
Jana niliandika ujumbe kuhusu tahadhari na shamani kwa usumbufu uliowapata baadhi ya watu kutoka kwa matapeli wanaoperuzi tovuti na kunyofoa anwani za watu kisha kuwatumia ujumbe wa kutia mashaka. Niliahidi kumtumia ujumbe "host" ili atizame kama kuna hitilafu yoyote iliyotokea kwenye "code settings" za kisanduku cha maoni. Nilifanya hivyo na haya ndiyo majibu toka kwao: 1 Comment Leo nimepokea ujumbe toka kwa rafiki zangu wawili wakinifahamisha kutumiwa ujumbe toka kwa mtu wasiyemfahamu. Maelezo ya jumbe hizo yanafanana na yanasomeka hapo. Anafahamisha kuwa anwani zao amezipata toka wavuti.com na hili ni kweli kwani katika tovuti hii anwani ya mtu inaweza kuwepo aidha kupitia tangazo/habari/taarifa kwenye chapisho (post) ama kuachwa na watu wanaotoa maoni na wakaziweka anwani zao kwenye kisanduku cha maoni kwa mawasiliano na wengine au kuziandika katika kijisanduku "field" cha anwani ambacho si lazima "optional" kuandika. Ninashukuru kwa rafiki zangu hawa kuwa wajanja, kila mmoja kwa wakati wake akanitumia ujumbe kunifahamisha wanadhani kuna mtu anachezea wavuti hivyo nichunguze. Ninawashukuru pia kwa kutokumjibu mtu huyo kwani ni tapeli "scammer" ambaye lengo lake kubwa ni kuiba kwa namna yoyote anayoweza, ikiwamo kuuza anwani za watu. TATIZO LA MATAPELI WA MTANDAONI Ndiyo, matapeli wanafanya biashara ya kukusanya anwani katika mitandao mbalimbali kama vile tovuti, blogu, eforums, egroups na wanapopata watu wanaowajibu, hilo huwathibitishia kuwa anwani hiyo ni hai na ina mtumiaji. Ndipo wao hufanya kazi ya kuzikusanya na kuziuza kwa mafungu kwa watu wengine ambao nao huzitumia kwa kutuma jumbe za kitapeli kama vile kukufahamisha umeshinda bahati nasibu ya kiasi fulani kikubwa cha fedha, au una kifurushi kinasubiri maelezo yako ya jinsi ya kukipokea toka posta, ama wakakwambia umeshinda "Green Card" ya kuishi Marekani, n.k. Ukweli ni kuwa hakuna faida isiyotokana na kufanya kazi. Hivyo huwezi kuangukiwa na ngekewa "zali la mentali" bure tu. Samahani sana nyote mliopokea ujumbe kama huu. Upuuzieni na msimjibu mhusika. Matapeli hawa wameifanya hii kuwa kazi yao hivyo wanashinda na kukesha wakizurura mitandaoni kusaka anwani za watu hata ikiwa hazipo katika mfumo wa "hyperlink" bali zimekolezewa wino wa bluu tu ili zisinaswe na mashine, sasa hivi inaelekea wameamua kabisa kufanya kazi hiyo binafsi. SULUHISHO NA USHAURI KWENU Tayari nimewasiliana na "host" wa tovuti hii ili kuona kama anaweza kuchunguza iwapo kuna upenyo wowote kwenye "code settings" za kisanduku cha maoni kinachoruhusu mtu kuiba anwani, arekebishe. Ninaomba wote mnaoacha maoni, msiache anwani zenu pasina sababu. Kijisehemu cha kuacha anwani kwenye kisanduku cha maoni si lazima kijazwe, ni "optional". Ikibidi kuniandikia, tafadhali tumia ukurasa wa "Contact" hapo juu na ujumbe wako utakuja kwangu moja kwa moja bila kuacha anwani yako hapa. Usijibu ujumbe wowote kutoka kwa mtu usiyemfahamu hasa anapotumia lugha tata na/ama isiyoeleweka kwa mfano wa hizo hapo ambapo amejaribu hata kusisitiza utapeli wake kwa kutafsiri Kiingereza chake kibovu kwa kutumia "google translate" kwenda kwa Kiswahili. Kujibizana na tapeli ni hasara kama nilivyoeleza hapo juu kuhusu biashara ya anwani pepe (email addresses). Mafikizolo writes: I was so shocked when came across an email published in a forum site by someone claiming to be TB Joshua soliciting for funds to build SCOAN Tanzania. Please be warned; TB Joshua, SCOAN or Emmanuel did not send out such email requesting for funds. Beware of any imposters claiming to be Prophet T.B. Joshua or claiming to represent The Synagogue, Church Of All Nations, demanding for money in the name of either of the above. Healing, salvation and all of God’s blessings are free gifts of God. Jesus Christ paid for our perfect and complete healing when He died on the cross. Below is the email Published FAKE FAKE FAKE Reply-To: <s...c...2...@....com> from: ” SYNAGOGUE CHURCH OF ALL NATION”<s...c...2...@live.com> Subject: SYNAGOGUE CHURCH OF ALL NATION Date: Fri, 25 Nov 2011 SYNAGOGUE CHURCH OF ALL NATION This message is been send to you by the senior Prophet TB Joshua of the Synagogue church of all nation (SCOAN). Whose message has brought the reality of the Divine life to the heart of many; millions have been affected by our Television Broadcast (EMMANUEL TV). Presently we are on a project here in the head quarter of the (SCOAN) LAGOS NIGERIA, to build another church in Tanzania. So we are using this medium to reach out to you for sowing a special seed in other to see that this church project comes to reality. Remember nothing is too small and as you give the good lord will bless you in every area of your life. if the our lord Jesus Christ has touch you to assist us in building this church you can get back to us here on this email (y..gogue...11@mail.com) so that we can give you the payment information thank you. Please consider a donation to support the Synagogue Church of All Nation in building the new church in Tanzania. THIS EMAIL IS FAKE AND IS NOT FROM TB JOSHUA Source: forum.newzimbabwe.com...fake-tb-joshua-asked-for-money-to-build-scoan-tanzania Jury duty scam. Beware! 18/10/2011
This will be useful to those of you living in the USA. --- Most of us take those summonses for jury duty seriously, but enough people skip out on their civic duty that a new and ominous kind of fraud has surfaced. The caller claims to be a jury DUTY coordinator. If you protest that you never received a summons for jury duty, the Scammer asks you for your Social Security number and date of birth so he or she can verify the information and cancel the arrest warrant. Give out any of this information and bingo! your identity was just stolen. The fraud has been reported so far in 11 states, including Oklahoma, Illinois, Colorado, Az etc. This (swindle) is particularly insidious because they use intimidation over the phone to try to bully people into giving information by pretending they are with the court system. The FBI and the federal court system have issued nationwide alerts on their web sites, warning consumers about the fraud. Check it out at: www.fbi.gov/page2/june06/jury_scams060206.htm and: www.snopes.com/crime/fraud/juryduty.asp Be warned. Be careful. Share this message to help others avoid the loss as a result of this kind of scam. Steve Jobs' death scam, don't be fooled! 13/10/2011
Cybercriminals, as expected, want to make profit by fooling people who would fall for anythging "free". The latest attempt on comit this kind of theft is through the death of Apple co-founder Steve Jobs. There are already various scam messages being sent via Facebook scams luring people to purchase "one of his inventions" claiming (falsely) that Apple has decided to give away 1,000 iPads in memory of Steve Jobs. See the screen-shot below of such scams, and more of this type of scam at: blog.trendmicro.com If you want to save your personal details, money and stop being a victim of such, do not attempt to fill out, even click, on any of such links. If you need to find out about any Apple product offers, I suggest you visit Apple's official website for details, you can also contact the company directly: www.apple.com Upo utapeli ambao umewaliza watu wachache. Unahusiana na kundi linalokuja kwa lengo la kuja kupangisha nyumba na kufanya mambo lukuki hasa kwa watu wenye nyumba mpya. Inasimuliwa hivi: Quote: ...hawa matapeli, mimi mwenzenu nimeuvaa mkenge Morogoro na niliona ni wahitaji wa nyumba kweli na modus operandi waliyoitumia ni hiyo ya kuhonga TRA ILI MALIPO YAWAHI Wanatumia namba 0758409096 na 0682768889 ni vyema watu wa usalama waingilie kati asante kwa kunifumbua macho na masikio kwani nilikuwa naendelea kufanya nao mawasiliano. Quote: jamani yamenikuta ni juzi walikuja kwenye eneo langu chanika ila sikufikia hatua ya kutoa hela walikuwa bado wapo kwenye mawasiliano na wakaniambia niende posta wamenitumia mkataba wa vitu wanayohitaji jamni tuweni mamcho mimi nashangaa kwa nini simu zimeshasajiliwa na hawakamatwi?nadhani kuna siri kubwa nadni ya mtandao huu..lakini siku moja watakamatwa tu. Yaani ni jana tu ndio nimecheck mtandao nione ahiyo project ndio nakutana na watu wametoa comments zao kuwa wameshatapeliwa. Tuwemakini kwa kweli. Quote: mimi niko amerika, najenga nyumba yangu hapo dar, fundi anayejenga nyumba amenipigia simu kuwa watu hao wa TANZANIA JAPAN ORPHON PROJECT WA SIMU NUMBER 0783-927-196 MR SABAI wana hitaji nyumba ya kupanga kwa miaka 2 kwa dola 800 jumla watatoa dola 19,200.00 kwa ajili wafanyakazi wao, wakasema watajenga fence ya umeme kuzunguka nyumba, kuchimba kisima cha maji, watamalizia kuweka umeme kama offer . Lakini baada ya kupata habari hiyo nikapiga simu kwenye ubalozi wa japan hapa USA wakasema hakuna shirika la namna hiyo na wakanitajia majina kama hayo uliyoolezesha kuwa ndiyo wamiliki wa shirika hilo haramu. OK WANAIBAJE? watakupeleka kwa wakili wao ambaye pia ni taperi mwenzao, unasaini mikataba mingi usiyoilewa na kwa vile mawazo yako yote yako kwenye lundo la pesa ya miaka miwili unasaini tu, lakini akili yao ni kukusainisha mkataba kwamba unawauzia nyumba kwao kwa bei hiyo ya kupanga kwa miaka miwili, sasa kwa vile wewe hujui baada ya miaka miwili ya mkataba wa kupanga kuisha ukiwambia ku-renewal mkataba watakucheka kwamba wewe uliwauzia nyumba, na ni kweli umesaini tena kwa wakali!!! kuweni macho sana.Kama tulivyoifumua DECI lets stop do it again.. !!! wavuti.com has not received (and is not seeking, neither soliciting) any kind of compensation to publish these warnings. It's done purely in good faith to warn against fraud and scam so people may become more aware and cautious about their dealings and online business/transactions. ----- You should have already received our Fraud Warning POINTS ONE and TWO? If not please, click here. This is POINT THREE and final, in the series to help you not to be swindled when you are purchasing online. A. The Ownership/Re-Registration Document. This is a vehicle we purchased for export. All vehicles that are bought and owned legally in Japan must have this document. B The Export Certificate This is for the same vehicle. This Export Certificate is obtained by the export company just before export from Japan. This is in Japanese and English. You should be provided with this when you are shipping your unit together with the shipping documents. These documents have many parts but we have highlighted and numbered the important ones for you. 1. The FIRST Year of Registration. This is in a Japanese format. Please use THIS calculator to help you change it to something we can all understand. Many illegitimatewebsites and exporters can fool you about this detail. 2. The Chassis Number. This should be the exact number that is on the web details. If it is not, we advise you to steer clear. Exporters that do not supply these full details may not actually own the vehicle and could send you something completely different 3. The Last Recorded Mileage (KMs). When Japanese vehicles are tested for on road safety every few years, the Odometer/Speedo reading is recorded. This is written here. If this number is more than the advertised KMs, then steer clear! 4. The Last Owner This remark appears only on the Export Certificate showing the last owner of the vehicle before export. This SHOULD be the name of the company you are dealing with and the name of the bank account you are paying into. In our case, Trade Haus Logistics ( THL). Basically, if an exporter actually OWNS the vehicle, they WILL have the A. the Ownership Document. If they can NOT produce it for you immediately we advise you to steer clear. What happens all the time is the less reputable exporter will: i ). Send you something completely different OR worse, ii). Steal your money completely. Trade Haus Logistics (THL) of Nagoya Japan, www.JapanTradeCar.com , a reputable exporter you can trust. We have just changed our website so you no longer have to ask to see the A. The Ownership Document. We already provide it online under each of our vehicles details. We are the first export company to have these details online for you. We have NOTHING to hide. This also proves we OWN our own stock. Please see below or go HERE for an example. Note on Odometer/Speedo Fraud: This can happen anywhere. In Japan before the auction, by the dodgy exporter, at the port or even in your own country. The only real way to help defend yourself from this is to get hold of the Ownership Document and/or the Export Certificate. If an export company or vehicle dealer you are buying from does not want to give these to you, then ask yourself why. Reliable and reputable exporters and dealers will always supply these documents. Empower yourself by always demanding a copy of these documents. Best regards, Brendon - Managing Director, Trade Haus Logistics Ltd., Nagoya, Japan site: www.JapanTradeCar.com - Ph: +81 52 203 9900 - Fax: + 81 52 203 9933 BETTER vehicles through BETTER service If you missed fraud warning Point One, click here. FRAUD WARNING POINT TWO: POINT TWO: - PRICE The question on everyone’s lips is how cheap can I get it? Well, you get what you pay for. Reputable export companies ONLY export great units and if there is an issue they will sort it out. 1. Cheap vehicle PRICE Everyone wants a good deal but at the end of the day the market dictates the price. The buying market here in Japan is very consistent in the short term, say over a month or two but can change over years. Exporters offering crazy LOW prices should be checked out properly. A company must make profit therefore if the prices advertised are a lot lower than other reputable exporters there could be something wrong. Remember if the price is too good to be true it is too good to be true. Beware! 2. Shipping PRICE Shipping price is generally consistent between reputable exporters. A reputable exporter is exporting hundreds of vehicles each month therefore they have better connections with the shipping companies and there should be no delay. The smaller exporter will NOT have this power and you could end up waiting a lot longer for you unit and paying MORE. 3. Agent PRICE The same thing above applies here. If its too good to be true it is. The agents at the port clearing and forwarding generally all have the same expenses. You must have a quality agent do this final stage for you. If you cut costs here you could be in for a broken heart. Top notch agents maybe slightly more expensive but they will ensure good quality service and security. This final stage can mean the difference between receiving your unit in great order or not at all. It happens! 4. Overall vehicle, shipping PRICE including clearing Remember it’s the total price that you will pay that effects what a unit will cost you. Always ensure you are dealing with an export company who will allow you to choose your OWN agent. If you are forced to use the agent recommended the CHEAP price you will pay for the car and shipping could become a lot more expensive if the agent you are told you must use charges you crazy money to release the unit. This is a real issue! A reputable vehicle exporter will advise you a recommended agent or two but also allow you to use whoever you like. If this is not the case beware. Come tomorrow for Point THREE and final. Internet business is flourishing but so too are the criminals. Written below is advice from JapanTradeCar.com on what to look out for when buying online. This warning not only applies to buying vehicles when using the internet, but applies to all internet businesses. FRAUD WARNING POINT ONE: As you are aware there are MANY fraudsters in this business but there are also a handful of legitimate and trustworthy exporters. We will attempt to show you how to steer clear of the bad guys on your road to buying a lovely used Japanese Vehicle online. Buying DIRECT from Japan is the way forward! POINT ONE: - PHOTOS 1. Photo Consistency Photos from a decent company will have consistency. What we mean by that is the back ground should be the same generally. This means that the shots were taken on the same piece of land. Hopefully meaning that the company actually OWNS the vehicles in their yard!! This is a very big problem and I would suggest that is the first place to look and decide whether you should even enter into conversation with the company. There are THOUSANDS of sites that claim they have an incredible amount of amazing stock but have simply taken photos off other websites and claim they own them. Generally these types of companies own nothing even though they might claim to own 500 cars. You will send your money and they will: a. Disappear and not reply to you. b. Say it’s sold and will supply another. Often something you simply do not want. c. Will not refund. 2. Multiple photos You should see MANY photos not just a few. Ask for all photos, then if you are unsure of the company ask for MORE and be specific on the angles. For example, zoom in on the Stereo and the CD changer, Zoom in on the Chassis Number, show a picture of the exact mileage on the odometer etc. Ask to see something not important at all like photos of the door handles. If the company does not get back to you VERY fast with these requested photos there is a good chance they simply do not own the vehicle. That is POINT ONE. Come back tomorrow for point POINT TWO. Dear All, Please be informed that armed thieves have recently come up with a more “efficient” method of disarming people in the CBD. They extend their arm for a handshake after asking for directions, making it seem as though they are thanking their victim but they have a needle, dipped in some sort of sedative, under their sleeve that makes one feel drowsy. When their victim falls asleep, which seems to appear to the general public as one who has fainted, they go ahead and move their victim to a convenient location posing as Good Samaritans, only to rob them! Other than the loss of personal effects, there is also the risk of Contracting HIV/Aids or hepatitis since the needles in use are highly unlikely to be sterile as they could have been used on other victims. On Saturday at around 5.00pm someone witnessed a man in recovery mode along a lane off Mfangano Street, after he had been robbed of his belongings in the same way. Safety tips
HR Communications | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |








RSS Feed