Picha unazoziona hapo ni za wakazi wa Japan wanaotaka kuwa tofauti na wanadamu wengine kwa kujitafutia maumbo ya ajabu ajabu, almaaruf "bagelheads". Niliwahi kuhadithiwa na Mwitaliano mmoja kuwa nyakati fulani wanaume katika jamii yao walipenda kufanya operesheni ya kukuza taya za chini ili kufanya sura zao kuwa pana kidogo, umbo lililofananishwa na uzuri wa kuwavutia wanawake. Hivi majuzi katika ripoti ya uchunguzi iliyofanywa nchini Marekani, wanaume wengi zaidi ya ilivyorekodiwa miaka iliyotangulia, walikiri kuhudhuria kliniki mbalimbali kwa ajili ya kufanya "bro-tox" (kinyume cha botox) ili kuondoa mikunjo na "kasoro" walizohisi wanazo katika sura zao. Uchunguzi huo uligundua kuwa wanaume laki tatu walifanya brotox. Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 tu alipoulizwa sababu ya kufanya bro-tox, alisema inatokana na kukerwa na mikunjo inayotokea usoni anapocheka au kuzungumza. Jibu la kijana huyu lilinishangaza kwani ni jambo la kawaida kabisa kwa mwanadamu asiye na kasoro. Misuli huchora mikunjo mwilini kufuatia vichocheo vya hisia vinavyozaliwa kulingana na aina ya maongezi, shughuli au jambo fulani. Tunapozungumza na watu ana kwa ana, mikunjo hii husaidia kurahisisha maelewano kwa kuongeza maana kwenye maneno yanayotamkwa. Wakati mwingine mikunjo ya uso tu, kama vile kukonyeza, kutikisa nyusi, kupinda mdomo nk, bila hata ya kuzungumza neno moja, hutosha kabisa kutuma ujumbe kwa anayekutizama. Leo hii mikunjo hiyo ikiondoka, mathalani inavyotokea kwa wagonjwa waliopooza sehemu fulani za miili yao kutokana na kuzaliwa hivyo au kwa hali ya ugonjwa, huwa inahitaji usikivu wa ziada ili kuweza kumwelewa vilivyo mtu huyo. Mimi nadhani, ikiwa mikunjo mwilini haina madhara makubwa kwenye afya kuadhiri mahusiano na watu wengine katika maisha ya kila siku, basi ni sahihi kabisa kujikubali na kuacha asili iwe ilivyo, kwa mfano tujifunze kwa Seal. Penis Tattoo Blamed for Permanent Erection A 21-year-old Iranian man now suffers from a permanent erection after getting a tattoo on his penis, according to a report of his case. The man had the Persian phrase "borow be salaamat," meaning "good luck with your journeys," tattooed on his penis. He also had the letter M, the first letter of his girlfriend's first name, tattooed on it, according to the report. His condition is medically known as priapism, which is said to occur when an erection is not caused by sexual stimulation and lasts longer than four hours. The condition most commonly happens in boys ages 5 to 10, and men ages 20 to 50. The case report, published Jan. 3 in the Journal of Sexual Medicine, notes that this is the first case of tattooing causing the condition. Tattoo troubles A tattoo artist created the design with a handheld needle, according to the report. After the tattooing, the man bled from tissue deep within the penis, and experienced pain for eight days. His penis then became semi-erect, 24 hours per day. When he visited the doctors, his erection had been ongoing for almost three months. The doctors conducted numerous tests to rule out other possible causes, such as a urinary tract infection, leukemia or syphilis. They determined that the tattooing was probably to blame, and suggested the needle may have been inserted too deeply. The doctors determined that blood was still flowing in and out of the man's penis, so they diagnosed him with a nonischemic priapism. This occurs when blood enters the penis faster than it can go out, leaving the penis permanently erect, due to the increased pressure. An ischemic priapism, in which blood is no longer flowing, is a much more serious condition, and can cause severe damage if not treated. Treatments Doctors recommended that the man undergo a shunt procedure to drain excess blood. But the shunt did not work. According to the report, the man did not wish to undergo additional surgery because he can still have sexual intercourse and he is not in pain. He also does not regret the tattoo, the report said. The doctors do not recommend penile tattooing, according to the study. Pass it on: Penile tattooing left one man with permanent semi-erection. This story was provided by MyHealthNewsDaily, a sister site to LiveScience. Follow MyHealthNewsDaily on Twitter @MyHealth_MHND. Find us on Facebook. Add Comment Scientists from the Karolinska Institut in Stockholm, Sweden found that every 50g of processed meat eaten a day - equivalent to a sausage or two rashers of bacon - raised the risk of developing pancreatic cancer by 19 per cent compared to those who ate none. The risk jumped to 38 per cent for people who ate 100g, and 57 per cent for those who ate 150g of processed meat a day compared with people who did not eat any processed meat. The researchers came to the conclusion after analysing data from 11 studies involving more that 6,000 patients with pancreatic cancer. The study findings on eating red meat and pancreatic cancer risk were inconclusive. The scientists said, the results showed a 29 per cent increase in pancreatic cancer risk for men who ate 120g of red meat a day compared with those who ate no meat, but no increased risk among women was shown. This may be because men in the study tended to eat more red meat than women. However, the overall risk of developing the disease was still low. The study is published in the British Journal of Cancer. Zamani ikijulikana kama kisukari kisichotokana na upungufu wa INSULINI (non-insulin-dependent diabetes mellitus (NIDDM) au kisukari kitokanacho na umri na mfumo wa maisha, hasa ulaji na unywaji na ukosefu wa mazoezi (adult-onset diabetes). Aina hii ya kisukari ni rahisi kuondokana navyo, japo inahitaji elimu na umilivu kuhusu aina gani ya chakula na kinywaji mtu anapaswa kula na kunywa bila kusahau umuhimu wa mazoezi angalau dakika zipatazo 30 kwa siku. Siku za karibuni kumekuwa na vifo vingi vinavyochangiwa na maisha ya kiselule (Sedentary lifestyle ) yaani kula na kunywa chochote kile bila ya mazoezi, MKAZO ( STRESS), unyogovu (Depression). Ushauri wa kitabibu unatuambia kuwa kula kiwango kidogo cha chakula sahihi kila baada ya masaa manne ni tiba ya aina hii ya kisukari. Watu wengi hasa waliopo kwenye tabaka la juu yaani wenye fedha wemekuwa wakihangaika kutafuta wachawi wa afya zao bila kujua kuwa ulaji unaopitiliza bila ya kujua madhara yake ndiyo MCHAWI namba MOJA. Utanachotakiwa kufanya, kama utapenda afya yako iimarike, achana vitu vyakula aina ya wanga, mfano wali mweupe n.k , punguza matumizi ya chumvi, ulaji mikate aina nyeupe, unywaji pombe na ulaji wa matunda yenye sukari nyingi. Japo inaonekana ni adhabu kidogo lakini kama utazingatia basi ujue kuwa utaangamiza kabisa aina hii ya kisukari. Matumizi ya vyakula vilivyotajwa hapo pamoja na kula kiwango kibwa cha chakula na muda mrefu kupita kiasi baada ya mlo hadi mlo, hufanya sukari kupanda na kushuka ( BLOOD SUGAR FLUCTUATIONS), na zaidi kuongezeka kwa uzito, kitambi na mwishowe kuishia kwenye msukumo mkubwa wa damu ( HIGH BLOOD PRESSURE) na hata mashambulizi ya moyo ( HEART ATTACK). N.B: Vyakula vinavyoshauriwa ni kama vile wali wa kahawia ( BROWN RICE), Mkate kahawia ( Brown bread) , njegere, karoti, samaki na nyama aina zote ni safi. Bila kusau kunywa maji angalau lita mbili kwa siku. Imeandikwa na: Malkiory William Matiya Cell phone: +358458628448 Email: malkiory@gmail.com Website: www.malkiory.com Kashifa Wizara ya Afya: Mganga Mkuu ashindwa kuagiza kuondolewa vipimo vibovu vya VVU nchini 29/12/2011
Mganga Mkuu wa Tanzania (Chief Medical Officer) Dk. Deo Mtasiwa anatajwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya nchini kwa kushindwa kutoa maagizo ya kuondolewa kwa vifaa vya kupimia virusi vya UKIMWI (HIV) kufuatia taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa vifaa hivyo vina kasoro kubwa na hivyo vinapaswa kuondolewa kwenye matumizi ya binadamu mara moja. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika Dr. Mtasiwa alipokea barua toka Shirika hilo ikimtaarifu juu ya mapungufu hayo makubwa ya vifaa vya SD Bioline HIV-1/2 3.0 vinavyotengenezwa huko Korea ya Kusini na kampuni ya Standard Diagnostic ya Jiji la Kyonggi-do. Hata hivyo tangu kupokea taarifa hiyo toka WHO pamoja na taarifa toka kampuni ya Standard Diagnostic yenye kuthibitisha maamuzi ya WHO Dr. Mtasiwa hajachukua hatua yoyote ya kutahadharisha wanunuzi na watumiaji wa vifaa hivyo ambavyo vingi vinamuda wa matumizi unaoishia mwaka 2012 na 2013. Maisha ya vifaa hivyo ni miezi 24 (sawa na miaka miwili) kabla havijaondolewa kwa kupita muda wake wa matumizi. Kutokana na uamuzi huo wa Dr. Mtasiwa ambaye anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa na “ushawishi mkubwa pale Wizarani” maisha ya wananchi wa Tanzania yako hatarini kwani matumizi ya vifaa hivyo ambavyo WHO imesema inauwezekano wa kuwa na uharibu wa asilimia 50 majibu yanayotolewa kupitia vifaa hivyo yaweza kuwa na makosa makubwa. Shirika la Afya Duniani lilitoa taarifa kuwa kufuatia uchunguzi wake vifaa hivyo vilionekana kuwa na mapungufu yasiyokubalika katika kundi la vifaa vyenye namba 023419 na 023418B ambavo vina tarehe ya kutumiwa mpaka August 30, 2013 na Augusti 2, 2013. Shirika jingine la kusimamia Ugavi wa Vifaa vya Tiba la The Partnership for Supply Chain Management (PSCM) nalo limegundua mapungufu hayo katika vifaa vinavyotoka fungu lenye namba 023424B ambalo lina tarehe ya mwisho wa matumizi ya Augusti 18,2013. Vile vile PSCM wameona tatizo kwenye fungu jingine la vifaa vyenye namba 023425. Kutokana na hilo taarifa ya WHO imetangaza kuwa “Vifaa vya SD Bioline HIV-1/2 3.0 vitaondolewa katika orodha ya WHO na hivyo havitaweza kuagizwa Who au taasiso yoyote ya Umoja wa Mataifa hadi itakapotolewa taarifa nyingine”. Mara baada ya kupokea taarifa hiyo kampuni ya Standard Diagnostic iliipa uzito wa juu kabisa kwani tarehe 21 Novemba, 2005 siku karibu tano tangu taarifa ya WHO itoke ilitoa tangazo lake kwa waagizaji na taasisi zote za afya ambazo zinatumia vifaa hivyo kuviondoa mara moja na kutoa taarifa ya utekelezaji wa agizo hilo. “Lengo la barua na ushauri wa taarifa hii ni kukutaarifu kwamba Standard Diagnostics imeagiza kuondolewa kwa hiari (voluntary recall) ya vifaa vya SD Bioline HIV ½ 3.0” Shirika hilo limetaja kuwa vifaa ambavyo vinatakiwa kuondolewa mara moja kutoka matumizi ni vile vya fungu la 023418, 023418B, 023419, 023424, 023424B na 023425B. Agizo la SD linasema kuwa “tafadhali ondoa mara moja vifaa vyote vyenye namba hizo” Uamuzi huo wa SD umekuja kufuatia uchunguzi wake ambao nao umeonesha kuwa vifaa kwenye mafungu hayo vinakasoro ya kati ya asilimia 10-15 ya vifaa vyote. Hata hivyo, upungufu wa kila kifaa katika utendaji kazi wake kwenye kundi hilo ni kati ya asilimia 10 hadi 50. Pamoja na hilo SD imeagiza hatua kadhaa kuchukuliwa na wateja wake (hii ni pamoja na mawakala wake) pote duniani:
Barua hiyo ya SD ilisainiwa na Meneja wa Usimamizi wa Ubora wa Standard Diagnostics Bw. Young-ah Chae. Barua ya Bw. Chae ilikuwa imeambatanishwa na fomu zote muhimu kwa mawakala kuweza kukamilisha zoezi hilo. Uchunguzi wa FikraPevu na mtandao wa JamiiForums.com ambao ulikuwa unafuatilia kwa muda wiki zote hizi tangu agizo la WHO kutolewa umeonesha kuwa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii hadi hivi sasa bado imeachilia vifaa hivyo kuendelea kutumika nchini huku wakala mkubwa wa kampuni ya Standard Diagnostics nchini akitumia ushawishi wake mkubwa wa kisiasa na fedha kuhakikisha kuwa Wizara ya Afya haiagizi kuondolewa kwa vifaa hivyo nchini. Tanzania imejikuta ikihusishwa na vifaa hivyo ambavyo vimekuwa vikitumika nchini kwa muda mrefu sasa tena kwa maelfu yake baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa nchi ambazo ziliingiza nchini vifaa hivyo kati ya mwaka 2010 na 2011. Tanzania ilianza kuingiza vifaa vya SD Bioline baada ya kusitisha matumizi ya vifaa vya kupimia vya Cappilus HIV Test ambavyo vilikuwa vinaingizwa kutoka Ireland. Katika kile kilichotajwa kuwa ni kashfa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, baadhi ya watendaji walihisiwa kuhusika na sakata hilo ili kushawishi Serikali ya Marekani kufadhili uingizwa wa vifaa vya SD Bioline kutoka Korea ya Kusini. Mwezi Oktoba 2007 Serikali ya Marekani ilitangaza kuwa imefadhili uingizwaji wa vifaa milioni 3 vya SD Bioline kwa ajili ya kusaidia katika harakati za kupima maambukizi ya HIV katika kuitikia wito wa Rais Kikwete wa watu kujitokeza kupima hali zao za HIV. Marekani iliagiza vifaa hivyo moja kwa moja kutoka Korea ya Kusini kwa Gharama ya dola milioni 2.4. Hata hivyo baadaye kampuni ya SD Bioline ya nchini “ilishinda” tenda ya kuingiza vifaa hivyo katika kile ambacho uchunguzi wetu umeonesha kuwa ni “kubebwa” kwa hali ya juu kwa wakala wa kampuni hiyo ambaye jina lake (limehifadhiwa). Wakala huyo raia wa Korea ya Kusini ambaye hadi hivi sasa hajaanzisha utaratibu wa kuviondoa vifaa hivyo sokoni wala kuisukuma Serikali ya Tanzania kutekeleza wito wa WHO. “Huyu bwana anadai kuwa yeye ni mfadhili mkubwa wa CCM na hata serikali ya Tanzania ‘iko mfukoni’” kimesema chanzo chetu cha kuaminika. Kwa mujibu wa chanzo hicho ofisi za Wakala wa SD Bioline ziko katika Jengo la Makao Makuu ya CCM jijini Dar-es-Salaam ambapo pia anazo ofisi zake nyingine za kampuni yake binafsi ya SD Green Limited ambayo kwa mujibu wa uchunguzi wetu wa awali unaonesha inamiradi ambayo inafanya na Chama cha Mapinduzi. Pamoja na uhusiano wa karibu na CCM Mkorea huyo (ambaye ametajwa kwa jina moja la “James” vile vile anatajwa kuwa na ushirika au uhusiano wa karibu na viongozi wa juu wa Wizara akiwemo Daktari Mkuu Bw. Deo Mtasiwa ambaye tetesi zinatajwa kuwa anaweza kuteuliwa kushika wadhifa mkubwa siku za karibuni kama “zawadi” yake ya ushirika huu. Matokeo ya kuendelea kutumiwa kwa vipimo hivi ambavyo tayari vimeoneshwa na Shirika la Afya Duniani pamoja na watengenezaji wake kuwa vina kasoro kubwa na vinatakiwa kuondolewa vinaweka maisha ya Watanzania matatani. Uwezakano wa watu ambao hawana virusi vya UKIMWI kujikuta wanaambiwa wanavyo au wasio navyo kuwa wanavyo kwa kutumia vifaa vibofu (ambavyo vimeaminika huko nyuma kwa ujumla wake) una madhara kwa afya za maelfu ya watumiaji wa vifaa hivyo. “Inakuwaje kama mtu ambaye ameambiwa kuwa hana VVU akaenda na kuamini kuwa hana na kwenda kuingia katika ngono bila kinga akijiamini kumbe vipimo vilivyotumika vina kasoro?” amehoji mpashaji wetu habari ambaye alizungumza kwa hisia kali. “Unajua ufisadi una madhara mengi lakini hakuna madhara zaidi kama yale ya kugusa moja kwa moja maisha ya watu” alisema mtoa habari huyo. Mmoja wa wananchi ambao aliwahi kupimwa kwa kutumia kifaa hicho kwenye moja ya taasisi zenye kupima VVU Jijini Dar ameshtushwa na uwezekano kuwa vifaa vilivyotumika kumpimia mapema mwaka huu unaoisha vyaweza kuwa na makosa. “Kwa kweli hili si jambo zuri maana sasa inabidi tuambiwe kama sisi tuliotumia vifaa hivyo tujipime tena au la na itakuwaje kwa wale ambao waliambiwa hawana VVU kumbe wanavyo au kinyume chake?” alihoji akiwa na sauti ya wasiwasi. Juhudi za Fikrapevu na JamiiForums kuwapata wasemaji wa Wizara akiwemo Katibu Mkuu Bi. Blandina Nyoni pamoja na Mganga Mkuu Dr. Deo Mtasiwa zimeshindikana ili kuweza kupata maelezo yao ni kwanini hadi hivi sasa Tanzania haijaitisha kuondolewa kwa vifaa hivyo nchini au kuwaambia watumiaji na wauzaji kufanya nini kama vifaa hivyo vikiondolewa. Hata hivyo, dalili zote za uchunguzi huu zinaonesha hali ya kuogopana ikiwa imetawala katika Wizara ya Afya huku baadhi ya watendaji wakiogopa kuchukua maamuzi magumu kwa kuhofia kuwa wanaweza kujitangazia maadui wenye nguvu na wengine kuhofia kuwa kwa kujitokeza hadharani kupinga kucheleweshaji wa kuondolewa kwa vifaa hivi vibovu kutakuwa ndio mwisho wa ajira zao na hivyo wameamua kukaa kimya ili kutetea vitumbua vyao visiingie mchanga. Na. M. M. Mwanakijiji na Timu via Fikra Pevu ----- wavuti.com ilifahamu kuhusu hili tangu siku 7 zilizopita na katika kuperuzi ilifanikiwa kupata vielelezo kuhusiana na vipimo hivyo katika tovuti za Shirika la Afya Duniani kupitia linki www.who.int...product0027_mx012.pdf, www.who.int...recall_notice_attachment1_SD1121.pdf na www.theglobalfund.org..., kama vilivyoambatanishwa hapo chini. Nyingine zipo google.com/search...SD Bioline HIV 1/2 3.0 recall. Nimeiweka hamjaelimika katika mabano nikimaanisha kuelimika ya madhara ya tohara kwa wanawake. Mwanzoni mwa mwezi huu nilikuwa nasikiliza kipindi (sikukumbuki jina) katika Redio Sauti ya Injili, Moshi, Tanzania siku ya Jumapili kikiendeshwa na Hellen Madege-Yongo ambapo aliwahoji baadhi ya watu kuhusiana na mila na desturi ya kukeketa wanawake "female genital mutilation" (FGM). Sikiliza audio hii: Baadhi ya watu kutoka maendeo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro, wanaendelea kuwatahiria wanawake. Ajabu ni kwamba, wanathubutu kuwatahiri hata watoto wadogo! Yupo mwanaume aliyesema kuwa sababu ya kuendelea kufanya hivyo ni ili kumzuia mkewe asipate hamu ya kujamiiana na mwanaume mwingine hasa pale mumewe anapokuwa amesafiri mbali na nyumbani kwa shughuli za kikazi na kipato. Alipoulizwa lengo la kuoa, akajibu kuwa, mkewe aliposwa na kuletwa nyumbani ili kukaa na mama mkwe. Alipoulizwa ikiwa huko aendako kikazi hatoki nje kwa wanawake wengine, alikiri kuwa anaweza kutoka lakini yeye ni mwanaume na "ngono ni kitu kizuri" hivyo "unapokunywa na kula nyama za kuchoma huwezi kukaa miezi sita bila kuruka na mwanamke". Alipoulizwa iweje si sawa kwa mkewe, alijibu kuwa mke yupo kwa heshima ya mama mkwe! Hata hivyo wanaume wengine waliohojiwa walishangazwa kusikia kuwa zipo koo na familia zinazokeketa na hiyo ilikuwa ni enzi za utawala wa Mangi lakini hazifai kwa kuwa si sahihi. Baadhi ya wanawake walipinga vikali desturi hiyo. Wanaharakati wa kike na wakiume wanaopambana kukomesha ukeketaji kwa wanawake kutokana na madhara yake, walikemea tendo hilo na kutaka elimu na uhamasishaji zaidi viendelee ili kuepusha madhara ya ukeketaji. Mbunge asikitishwa na ukeketaji Rombo via HabariLeo Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Kilimanjaro, Betty Machangu (CCM), ameelezea kusikitishwa kwake na vitendo vya ukeketaji vinavyoendelea kufanywa na baadhi ya mangariba wilayani Rombo kwa malipo ya Sh 10,000, kitenge na mkia wa kondoo hali aliyosema linahitaji kuvaliwa njuga. Akizungumza na viongozi wa Umoja wa Wanawake (UWT) wilaya ya Rombo, alisema katika kijiji cha Endomet bado wapo wazazi wanaokeketa watoto wao wa kike na baada ya kuona serikali imechachamaa hutumia mbinu ya kuwadanganya watoto hao kuwa wanakwenda kuwatembelea aidha shangazi au mjomba na wakirudi wanakuwa tayari wamekeketwa. Naye Mwenyekiti UWT wilayani Rombo, Ambrosia Mashingia alisema mtandao unaopinga ukatili wa kijinsia (NAFGEM) ulitoa semina katika kijiji hicho ambayo iliwasaidia watoto hao na sasa wamekuwa na elimu ya kutosha juu ya madhara ya ukeketaji. Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanaume wanaowasindikiza wenzao kuhudhuria kliniki ya baba, mama na mtoto katika Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Mwakilishi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mkoa wa Kigoma, Leonida Leonald alisema hayo wakati wa kukabidhi vitendea kazi kwa timu ya waelimishaji na uhamasishaji afya ya msingi katika jamii ya Manispaa ya Kigoma Ujiji. Akitoa takwimu kuhusu mafanikio hayo, Leonald alisema katika kipindi cha hadi kuishia Oktoba mwaka jana, ni wanaume 15 tu waliowasindikiza wenzao wao kliniki katika wanawake 120 waliohudhuria kliniki. Alisema baada ya uelimishaji na uhamasishaji kufanyika, hali hiyo imeadilika na hadi kufikia Novemba mwaka huu, wanaume 91 waliwasindikiza wenzao kliniki ambapo wanawake 96 walihudhuria kliniki. Mwakilishi huyo alisema mafanikio hayo yanatokana na timu hiyo ya uelimishaji na uhamasishaji afya ya msingi jamii inayofanywa chini ya usimamizi wa WAMA katika kata saba za Manispaa ya Kigoma Ujiji. Kwa upande wake, Mwakilishi wa WAMA kutoka Makao Makuu, Gloria Minja alisema baiskeli 30, miavuli, makoti ya mvua na viatu vya mvua, vimekabidhiwa kwa watendaji wa timu hiyo. Minja alisema vifaa hivyo vimetolewa kuwasaidia watendaji hao wanaofanya kazi kwa kujitolea kuifikia jamii wakati wote wa majira ya mwaka na kazi kubwa iliyowafanywa na watu hao, imesaidia katika mchakato wa kusaidia utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Milennia. Akikabidhi vifaa hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongela alitoa wito kwa wajumbe wa timu hiyo ya uelimishaji kutumia vitendea kazi hivyo kuhakikisha vinafanya kazi iliyokusudiwa na kuifikia jamii kwa urahisi. via HabariLeo Weight watchers and healthy conscious people should try to avoid these are kinds of food since they contain a great amount of trans-fat which, generally increases body's fat level and the unwanted "bad" cholesterol, that tend to surround your blood vessels and heart which in turn affects your heart and general health condition : 1. Bad: Deep-fried, buttered and 'crispy' foods Good: est option, boil, broil, bake or grill your meal. 2. Bad: Dressings and sauces Good: Moderate natural hand made flavors like tomato 3. If you are an avid fast food connoisseur, unfortunately these restaurants are notorious for serving the worst foods for your heart. It’s good to know that an increasing number of such food joints are starting to introduce healthier choices like salads, grilled sandwiches, baked potato and pure water. 4. Try avoiding sugary sodas and fruit juices of any kind at the restaurant that can absolutely spike your insulin levels and contribute to your bad cholesterol causes. 5. If you love seafood restaurants, rest assured that fish, sea food, shell fish and prawns are extremely good for you; the only factor you should consider is weather your restaurant is getting its seafood from a reputable source not polluted with mercury. Some people shy away from prawns due to their high cholesterol flesh, but prawns cholesterol does not raise our own blood cholesterol levels and could be enjoyed at any time. 6. Another group of foods to avoid with high cholesterol is simple starches like white bread, pasta, white rice, waffles, biscuits, rolls and bakery items as these sometimes are loaded with trans fat shortening and will raise your bad cholesterol levels. 7. Skip margarine or butter with your bread and opt for a healthier olive oil dipping sauce to avoid raising your cholesterol levels. 8. Avoid anything portioned super-sized, jumbo or king-size or take half of it home for later. 9. Smoked and cured meat dishes including most deli meats are absolutely loaded with bad fats and lots of sodium and should be avoided. 10. Restaurants’ desserts are one of the worst foods to avoid with high cholesterol laden with sugar and saturated fat, opt for fresh fruit instead. Haya, na Bugando nayo haina CT Scan & X-Ray 16/12/2011
Baada ya taarifa ya juzi ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo, kukosa huduma ya X-Ray, sasa inaripotiwa kuwa: Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) ambayo imeadhimisha miaka 40 toka kuanzishwa kwake inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uharibufu wa mara kwa mara wa mashine za CT-Scan pamoja na X-ray na kusababisha ugumu wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Uharibifu wa mashine hiyo tangu Septemba 2010 umesababisha kusitishwa kwa huduma hiyo ambapo wagonjwa wanaotakiwa kufanyiwa kipimo hicho cha CT–Scan hulazimika kusafirishwa hadi katika hospitali za Muhimbili au KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro. Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, mkurugenzi wa hospitali hiyo, Charels Majinge alisema kuwa pamoja na kukusanya Sh200 milioni kwa mwezi kama mapato ya hospitali hiyo, bado wameshindwa kutengeneza mashine hizo kwa wakati kutokana na gharama kubwa zinazohitajika. Hata hivyo alisema kuwa kati ya mashine mbili za CT-Scan walizonazo wanatarajia kutengeneza moja mara tu kifaa cha UPS ambacho kinauwezo wa kupima wingi wa umeme kufungwa katika haspitali hiyo, “Matatizo ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na ndiyo chanzo cha kuungua kwa mashine hizo ambayo kila moja inagharimu Sh4 billion fedha ambazo ni nyingi sana ”alisema dk Majinge. Aidha hospitali hiyo inakabiliwa pia changamoto za ununuzi wa madawa ambayo yanaandikwa na madaktari bingwa ambayo hayapatikani katika bohari ya madawa ya MSD. zaidi, soma gazetini: Mwananchi Video: Changamoto ya "discordant couples"; Mwanandoa mmoja HIV+ il hali mwenza wake ni HIV- 07/12/2011
Many couples in discordant relationships are living in dilemma. A feeling of betrayal often ensues when one discovers that his or her partner is HIV positive.But in Butula, Busia county, such couples have found a way to keep their marriages. NTV's Rose Wangui met such couples in Butula and theirs, is a story of patience, understanding and love. What exactly is this "Nodding Disease" killing thousands of children in Uganda, Sudan an Tanzania? 06/12/2011
A mysterious disease is killing thousands of children in Uganda, Sudan and Tanzania. The cause of the "nodding disease" is as yet unknown but it only affects children between the ages of five and 15. Thought to be an epileptic neurological effect of the Onchocerca volvulus parasitic worm that causes Onchocerciasis or river blindness, victims suffer seizures that often start with nodding of the head, giving it its name. Malcolm Webb reports for AlJazeera from northern Uganda in the following video... | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |















RSS Feed