Juzi nilishangazwa na kijana ambaye alikuja kutibiwa kidonda alichonacho kwenye kiungo chake cha uzazi.
Alichonishangaza ni kwa ule uwezo madawa ya kulevya ulivyomteka na kumshinda nguvu, kiasi cha kuazimia kufanya lolote alimradi tu apate stimu "high" ya madawa ya kulevya anayotumia.
Wakati wa kuchukua historia, kijana alieleza kuwa alilazimika kujidunga dawa za kulevya kwa njia ya sindano kupitia mishipa iliyopo kwenye kodorani ili kuficha kugunduliwa na wazazi wake waliokuwa wakimchunguza mara kwa mara ikiwa ametumia dawa za kulevya.
Wazazi wake walimgundua siku za nyuma kuwa anajidunga madawa ya kulevya kwa vile sehemu mbalimbali za mwili wake (kwenye mikono au miguu), zilikuwa na alama za sindano zilizotokana na kujidunga dawa hizo.
Ili kukwepa kugundulika na wazazi, akajifunza kujidunga dawa kupitia mishipa iliyoko kwenye uume na korodani zake. Anasema mara zote amefanikiwa kuwakwepa wazazi wake kwa njia hiyo isipo kuwa safari hii ambapo "hajui alipokosea" na kujidunga vibaya hadi kujijeruhi na kujisababishia kidonda kilichomlazimu kuja hospitalini kwa ajili ya matibabu.
USHAURI
Ni vyema wazazi na walezi mchukue hatua kwa kuzungumza na watoto wenu mara kwa mara kuhusu hatari ya kutumia madawa ya kulevya, na hatari ya njia mbalimbali za kuyatumia.
Ni vyema wazazi kununua kifaa cha kupimia mkono "drug test kit" kwa ajili ya kupima mkojo wa mwanao kwa kumstukiza, pale unapohisi kuwa huenda ametumia mdawa ya kulevya.
Mapambano dhidi ya dawa za kulevya ni jukumu la kila mtu, kulikwepa hili na kujidhania kuwa halitakufika, ni sawa na mbuni kuficha kichwa chake (tena kidogo) kwenye mchanga hali kiwiliwiki chake kikubwa kimebinuka juu. Ni ujinga, atafaumuliwa tu huyu!
Siku chache zilizopita, Hobidan aliniachia kazi ya nyumbani "homework" kwenye taarifa zilizohusu watu waliofumaniwa hali wameungana viungo vyao siri "wamenasa" yaani " ile ilimesa ile ingine" wasiweze kuachanishwa. Nilifanya kazi yangu na haya yafuatayo ndiyo majibu mepesi niliyopata! Blue Balls
Do you know the connection between blue balls and sex? Have you ever heard someone ask you, "What are blue balls?" "Blue balls" is a slang term referring to testicular aching that may occur when the blood that fills the vessels in a male's genital area during sexual arousal is not dissipated by orgasm. When a man becomes sexually excited, the arteries carrying blood to the genital area enlarge, while the veins carrying blood from the genital area are more constricted than in the non-aroused state. This uneven blood flow causes an increase in volume of blood trapped in the genitals and contributes to the penis becoming erect and the testicles becoming engorged with blood. During this process of vasocongestion the testicles increase in size 25-50 percent. If the male reaches orgasm and ejaculates, the arteries and veins return to their normal size, the volume of blood in the genitals is reduced and the penis and testicles return to their usual size rather quickly. If ejaculation does not occur there may be a lingering sensation of heaviness, aching, or discomfort in the testicles due to the continued vasocongestion. This unpleasant feeling has popularly been called blue balls, perhaps because of the bluish tint that appears when blood engorges the vessels in the testicles. Blue Balls Describes a Temporary, Minor PainThe condition usually does not last long and the level of pain associated with blue balls is usually minor and can be exaggerated. Most men have been socialized to ejaculate when they get an erection during sexual activity. Failure to ejaculate and to feel orgasm often adds frustration and disappointment to the reality of the physical sensation. Men who believe that they should ejaculate every time they have an erection are likely to exert pressure on their partner to proceed with sex without taking her feelings into consideration. Some men find that masturbation is a viable solution and are realizing that ejaculation is not a requirement in every sexual situation. This attitude allows both men and their partners to relax more and to learn that pleasure and meaning can exist without having to reach ejaculation and orgasm during every sexual encounter. Men are not alone in experiencing the discomfort of unrelieved vasocongestion. Women's genitals also become engorged with blood during sexual arousal and, like their male counterparts, women can experience pelvic heaviness and aching if they do not reach orgasm. Copyright 2002 Sinclair Intimacy Institute --- source: health.howstuffworks.com
Nimeugua nikiwa Dar kuanzia siku chache zilizopita. Nimejikuta nikiwashwa hasa mikononi, miguuni, na mgongoni. Kwa siku mbili sikuweza kulala usiku. Katika kuulizia watu, nikaambiwa ni "allergy." Na mhudumu mmoja kwenye duka la madawa maeneo ya Sinza aliniambia niende Magomeni, kwenye hospitali ya Dr. Ole.Nilienda hapo. Wakati wa kuchukuliwa damu ili ipimwe, mpimaji alinipiga mchapo kuwa isije ikawa nimewekewa sumu ya unga. Akazidi kutonya, huku akijifanya ananyunyizia unga mezani, kuwa kaunga kidogo tu kanatosha. Nami nilijibu kuwa mtu huwezi kujua, kwani Bongo haina dogo. Tukawa tunachkea. Ni kweli daktari alipochunguza ripoti ya upimaji amegundua nina "allergy," na akanielezea sababu zake. Aliniandikia sindano na vidonge vya aina mbali mbali. Alisema kuwa hiyo dozi itafuta kabisa hili tatizo. Nimedundwa sindano jana na vidonge nikaanza. Tayari nimeshaanza kujisikia nafuu. Naendelea vizuri kabisa. Nimeleta habari hii binafsi kwa sababu maalum. Kwanza, mimi kama m-Tanzania nina imani na madaktari wetu. Ninafundisha Marekani, na ninapougua kule natibiwa kule. Ninapougua Tanzania natibiwa hapa. Tena miaka yote ya maisha yangu, kabla sijaenda Marekani nilikuwa natibiwa hapa Tanzania, bila matatizo. Sioni kama kuna tofauti kati ya madaktari wa Marekani na wa kwetu. Kilichopo tu ni kuwa madaktari wa kwetu wawe na mahitaji yanayopasika katika kumshughulikia mgonjwa. Na hilo ni jukumu la serikali, wala isijaribu kukwepa, kwani Tanzania si nchi maskini. Nakerwa ninapowasikia viongozi wa nchi hii wakidai kuwa sisi ni nchi maskini. Juzi hapo nimemsikia waziri kwenye kipindia cha televisheni akitoa huo upupu kwamba Tanzania ni nchi maskini. Sielewi kwa nini wa-Tanzania mnaendelea kuwapigia kura mbumbumbu wa aina hiyo, wasio na upeo kiuongozi, badala yake wana upeo wa kudumaza na kukatisha tamaa. Uwezo wa kuimarisha hali ya mahospitali yetu tunao, tukizingatia rasilimali nyingi tulizo nazo katika nchi hii. Pia, magonjwa mengi tunayopata hayahitaji daktari bingwa. Yanatibiwa vizuri, iwe ni Marekani au Tanzania. Tena yako magonjwa ambayo ni ya nchi kama zetu, ambayo wataalam wake ni hao madaktari wentu. Mifano ni malaria. Usidhani kuwa ukipata malaria, ukimbilie Marekani. Unaweza ukafia kule, kwa sababu sio madaktari wengi wanaijua malaria na namna ya kupambana nayo kama wanavyojua madaktari wa nchi kama Bongo. Hao madaktari wetu wanasomea magonjwa ya hapa kwetu. Ninavyofahamu, wanapoenda kusomea Ulaya, utakuwa wanasomea "tropical medicine" ambayo ndio uwanja wa mapambano katika nchi kama yetu. Madaktari wetu wana ujuzi wa hali ya juu, utawakuta wako katika nchi mbali mbali. Ninawafahmu baadhi ambao wako Marekani, katika hospitali mbali mbali, kama vile Mayo Clinic, ambayo ni maarufu sana duniani. Kwa hiyo, serikali yetu inachopaswa kufanya ni kuwekeza katika huduma za mahospitali yetu hapa hapa nchini. Iweke vifaa na miundombinu, ili madaktari wetu waweze kutumia ujuzi wao ipasavyo. Wakipata vifaa na miundombinu, na wakilipwa ipasavyo, watafanya yale yale ambayo baadhi ya watu nchini wanayatafuta India au ughaibuni. Tunapowapeleka watu nje eti kuchekiwa afya, wakati hizi ni taaluma za madaktari wetu pia, au tunawapeleka watu kutibiwa ugonjwa kama niliopata mimi wiki hii, ambao madaktari wetu wanajua namna ya kuutibu, ni kuwadhalilisha madaktari wetu, na mimi sitalilazia damu suala hilo. Miezi michache iliyopita, nilipata fursa ya kumsikiliza Dr. Mark Jakobson, ambaye ni mwendeshaji wa hospitali ya Selian, Arusha. Alikuwa akitoa mhadhara Minnesota, kuhusu shughuli za hospitali hiyo. Siku moja nitaelezea katika hii blogu yangu. Jambo mmoja ninalokumbuka ni jinsi alivyowapigia debe madaktari wa ki-Tanzania wanaofanya naye kazi. Anatamani tu angekuwa na uwezo wa kulipa vizuri zaidi, ili wasipate vishawishi vya kwenda sehemu zingine. Makala hii nimeiandika pia kwa sababu juzi hapo niliandika makala kuhusu mgomo wa madaktari nikaishutumu serikali kwa kudiriki kugombana na madaktari. Kwa hivi, nimejichukulia fursa hii kuelezea zaidi hisia zangu. Kati ya mambo niliyosema ni kuwa kisaikolojia, daktari anapaswa awe kazini akiwa amefurahi na moyo mkunjufu. Huyu jamaa aliyenipima damu alitoa mchapo na tukacheka. Muuguzi au daktari anapokuwa na moyo mkunjufu na ucheshi, anapokuwa hana msongo wa mawazo, ni baraka kwa wagonjwa. Watafiti wa masuala ya saikolojia ya wagonjwa na matibabu wanathibitisha hilo. Ndio maana niliishutumu serikali kwa kutotambua umuhimu wa kuwaridhisha madaktari. --- Chapisho limenukuliwa toka blogu ya Prof. Mbele "Nimeugua Dar es Salaam; Natibiwa Hapa Hapa, Sio India"
Je wajua ni akina nani walio rahisi kuwabaka watoto pasi na kuamini?
Wakale walisema, "Kikulacho ki nguoni mwako" na "Umdhaniaye ndiye kumbe siye".
Mara nyingi watu hubakwa na watu wanaowafahamiana nao. Ripoti za watu waliobakwa zinaonesha kuwa asilimia kati ya 70 hadi 80 za waliobakwa, huwatambua watu waliowabaka kwa kuwa ni wazazi, walezi, ndugu au jamaa wa karibu. Ikiwa unadhani ni kejeli au kutumia tukio moja kuhalalisha mengi, tafiti mwenyewe ukweli kutoka kwa watu waliobakwa.
Kwa hivyo, zungumza na mwanao kwa upendo, upole, ukaribu na hali ukimpa hakika na salama ya maisha yake, mdadisi kujua ikiwa amebakwa na mtu wa nyumbani kwako.
Ubakaji na ulawiti ni mojawapo ya makosa yanayotokea kila leo kote duniani. Ubakaji au ulawiti kwa yeyote yule, bila kujali umri wala jinsia, siyo rahisi kuvumilika ingawaje jamii hufumba macho na "kujifanya" kusahau.
Mara nyingi maumivu ya mwili baada ya kubakwa huweza kundoka baada ya muda lakini hubakiwa na maumivu yasiyoisha nafsini na kwenye akili. Maumivu hayo ya ndani hujenga chuki, hasira, kisasi, ukatili na hata kufikia kuua.
Wanasaikolojia wanasema kuwa tendo la ubakaji au ulawiti linapomtokea mtoto mdogo, mara nyingi humwathiri na hatimaye kusababisha mtoto huyo kutokujiona wa thamani, aliyejaa wasiwasi, mwenye hasira na chuki, mwepesi wa kufanya maovu na kama ni wa kiume, basi ni rahisi naye kubaka kama njia ya kulipiza kisasi cha kulawitiwa. Hufanya hivi aidha kwa kujua au kutokujua.
Video ziliyopachikwa hapa zinagusia suala hili la ubakaji na ulawiti kwa watoto.
Pengine utajiuliza inakuwaje tendo hili linatendeka kwa watoto wadogo sana? Sababu mbili kuu ni dhahiri: - Watoto wengi hawafahamu bayana lililo zuri na baya. Wao huwaheshimu waliowaziri umri kwa maongzi. Na ,kwa kuwa wanawaheshimu watu hawa, hasa wa makamo ya wazazi/babu/nyanya zao, watoto huamini kuwa lolote wanaloambiwa au kutendewa nao, basi ni sahihi. Watoto wanaweza kuhisi kuwa jambo hili si sawa, hasa kwa kuwa linafanyika katika mazingira ya siri na mahali pasipokuwa na watu wengine.
- Woga. Watoto wanapotishwa wakati wa kubakwa au kulawitiwa, hujenga tabia ya hofu na woga. Pale wanapoanza kusikia kuhusu vitendo hivyo vibaya, ndio hutambua yaliyowatokea kuwa si sahihi, lakini kutokana na vitisho walivyopewa na wadhulumu wao, huwa vigumu kuripoti kwa kuhofia vitisho. Aghalabu, ni watoto wachache sana huwa na ujasiri wa kuomba msaada, wengi wao huvumilia na kuugulia maumivu yao milele.
Yupo mtoto mdogo nchini Kenya aliyebakwa na kuambukizwa Virusi Vya UKIMWI! Mtoto huyo hakuthubutu kumweleza mzazi wake, na kwa kuwa hakuwa hata ameanza shule, hakuwa na fursa ya kumweleza mwalimu. Mtoto huyu alipoanza kuugua mara kwa mara, mzazi wake alimpeleka hospitalini na katia kumhoji ndipo walipogundua kuwa mtoto aliambukizwa VVU alipobakwa.
cross-posted from: psypost.orgFindings from a first-of-its-kind study by Indiana University researchers confirm anecdotal evidence that exercise — absent sex or fantasies — can lead to female orgasm. While the findings are new, reports of this phenomenon, sometimes called “coregasm” because of its association with exercises for core abdominal muscles, have circulated in the media for years, said Debby Herbenick, co-director of the Center for Sexual Health Promotion in IU’s School of Health, Physical Education and Recreation. In addition to being a researcher, Herbenick is a widely read advice columnist and book author. “The most common exercises associated with exercise-induced orgasm were abdominal exercises, climbing poles or ropes, biking/spinning and weight lifting,” Herbenick said. “These data are interesting because they suggest that orgasm is not necessarily a sexual event, and they may also teach us more about the bodily processes underlying women’s experiences of orgasm.” The findings are published in a special issue of Sexual and Relationship Therapy, a leading peer-reviewed journal in the area of sex therapy and sexual health. Co-author is J. Dennis Fortenberry, M.D., professor at the IU School of Medicine and Center for Sexual Health Promotion affiliate. The results are based on surveys administered online to 124 women who reported experiencing exercise-induced orgasms (EIO) and 246 women who experienced exercise-induced sexual pleasure (EISP). The women ranged in age from 18 to 63. Most were in a relationship or married, and about 69 percent identified themselves as heterosexual. Here are some key findings: - About 40 percent of women who had experienced EIO and EISP had done so on more than 10 occasions.
- Most of the women in the EIO group reported feeling some degree of self-consciousness when exercising in public places, with about 20 percent reporting they could not control their experience.
- Most women reporting EIO said they were not fantasizing sexually or thinking about anyone they were attracted to during their experiences.
- Diverse types of physical exercise were associated with EIO and EISP. Of the EIO group, 51.4 percent reported experiencing an orgasm in connection with abdominal exercises within the previous 90 days. Others reported experiencing orgasm in connection to such exercises as weight lifting (26.5 percent), yoga (20 percent), bicycling (15.8), running (13.2 percent) and walking/hiking (9.6 percent).
- In open-ended responses, ab exercises were particularly associated with the “captain’s chair,” which consists of a rack with padded arm rests and back support that allows the legs to hang free. The goal is to repeatedly lift the knees toward the chest or toward a 90-degree angle with the body.
Herbenick said that the mechanisms behind exercise-induced orgasm and exercise-induced sexual pleasure remain unclear and, in future research, they hope to learn more about triggers for both. She also said that study findings may help women who experience EIO/EISP feel more normal about their experiences or put them into context. Herbenick cautioned that it is not yet known whether such exercises can improve women’s sexual experiences. “It may be that exercise — which is already known to have significant benefits to health and well-being — has the potential to enhance women’s sexual lives as well.” The study did not determine how common it is for women to experience exercise-induced orgasm or exercise-induced sexual pleasure. But the authors note that it took only five weeks to recruit the 370 women who experienced the phenomenon, suggesting it is not rare. “Magazines and blogs have long highlighted cases of what they sometimes call ‘coregasms,’” Herbenick said. “But aside from early reports by Kinsey and colleagues, this is an area of women’s sexual health research that has been largely ignored over the past six decades.”
Baada ya utata wa muda mrefu wa ama Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe amelishwa sumu au la, jana Mbunge huyo wa Kyela, aliweka hadharani ugonjwa wake akisema unafahamika kitaalamu kwa jina la " Scleroderma (bofya hapa kusoma zaidi juu ya ugonjwa huu)" huku akisisitiza: “Si kwamba sijambo, bali nimepona kabisa baada ya kugundulika na maradhi hayo na kutibiwa.” “Nimerudi juzi kutoka India na daktari wangu ameniambia nimepona, nilikuwa nasumbuliwa na maradhi ya ‘Popular Scleroderma’ iliyosababisha ‘skin disorder’ (ngozi kutokuwa katika hali ya kawaida), lakini kwa nguvu za Mungu nimepona, namshukuru Mungu.” Alipoulizwa na Wanahabari kuhusu tuhuma za kulishwa sumu, Dkt. Mwakyembe alikataa kuzungumzia hilo akisema anasubiri uchunguzi ulioagizwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha. Hata hivyo, Dkt. Mwakyembe alisema angependa kuona uchunguzi huo unakamilika haraka na ripoti yake inatangazwa kwa umma. Alisema yuko tayari na anasubiri tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Nahodha imhoji ili atoa kile kilichomo katika ripoti ya daktari wake. Dk Mwakyembe alisema anachoshukuru hadi sasa ni kwamba afya yake imeimarika kutokana na shinikizo la Rais Jakaya Kikwete ambaye aliagiza Serikali kumpa kipaumbele wakati wote akiwa nchini na India hatua ambayo imemwezesha kufika hapo alipo. Kutokana na hali hiyo, Dk Mwakyembe aliwataka wananchi wote wakiwemo wa jimboni kwake Kyela kuondoa wasiwasi akisema sasa yupo imara kwa ajili ya ujenzi wa majukumu ya taifa, “Ninaomba wapiga kura wangu wa Kyela waache jazba, wawe na subira juu ya matatizo yangu. Wiki ijayo nitakwenda kuzungumza nao ili niweze kuwaeleza matatizo yaliyokuwa yananisumbua, lakini sasa hivi niko fit,” alisema. Taarifa zaidi, isome katika gazeti la Mwananchi "Dk Mwakyembe aweka hadharani ugonjwa wake"
Florence Majani - gazeti MwananchiKatika kile kinachoonekana kuwa baadhi ya wanawake wamedhamiria kumaliza hisia zao za kimapenzi wao kwa wao, biashara ya uuzwaji viungo bandia vya siri vya kiume, imeshamiri jijini Dar es Salaam. Mwananchi Jumapili lilifika hadi katika duka maarufu la vipodozi wilayani Kinondoni na kubahatika kuzungumza na muuzaji aliyejitambulisha kwa jina moja la Kelvin ambaye alisema, viungo hivyo bandia vimekuwa vikigombewa kwa kasi pindi vinafikishwa dukani hapo. Kelvin alisema, inamuwia vigumu mmiliki wa duka hilo kuwatosheleza wateja wake wengi, wanaoweka oda ya bidhaa hiyo, kutokana na idadi yao kuongezeka, “Akileta viungo 50, havikai kwa zaidi ya siku tatu, akileta 70 au 90, havimalizi wiki,” alisema Kelvin. Hata hivyo, muuzaji huyo alidai kuwa, kwa sasa hakuna viungo hivyo kwa sababu mzigo bado haujaingia jambo ambalo limesababisha wateja wengi kuulizia kila siku, “Kama jana amekuja msanii maarufu wa kike wa nyimbo za taarabu, alikuwa anahitaji viungo, na mbunge mmoja wa kike naye aliviulizia majuzi, lakini ndo hivyo mzigo bado haujaingia,” alisema Kelvin. Akizungumzia gharama za viungo hivyo, muuzaji huyo alisema, bei inategemea umbile akimaanisha, urefu au upana wa kiungo chenyewe, “Kuna uume wenye inchi sita, nane hadi 12, pamoja na ukubwa wa kiuno cha mvaaji, kila moja kina bei yake, lakini kiwango cha kawaida ni kuanzia Sh. 45, 000 hadi Sh. 80, 000,” alisema muuzaji huyo. Kelvin aliwataja wateja wakubwa kuwa ni wanawake maarufu, raia wa kigeni na wanawake waliozoea maisha ya starehe. Alisema: “Wanaokuja kununua hapa ni wale watu wa ‘viwanja,’ wengine wale walioshindikana kabisa tunawajua wanavuta bangi na unga, lakini pia wanawake wa kizungu nao huviulizia.” Aidha alisema, duka hilo haliuzi viungo vinavyotumia umeme (vibrator) kwa sababu vinasemekana kuwa na madhara. Mwananchi Jumapili lilipotaka kujua ni mahali gani pengine viungo hivyo vitapatikana, jijini Dar es Salaam, kijana huyo alisema, anaweza kwenda kuvipata kwa mama mmoja mkazi wa Msasani ingawa bei itaongezeka. Kelvin aliyataja maeneo mengine ambapo viungo hivyo vinaweza kupatikana kuwa ni katika maduka makubwa ya vipodozi ya Kariakoo na Sinza. Ili kupata uhakika wa ni lini viungo hivyo vitawasili, muuzaji huyo alitoa namba ya mmiliki wa duka hilo ambaye baada ya kupigiwa, alidai yeye huwa hauzi, lakini humtafutia wateja mwanamke mmoja mwenye asili ya kiarabu, mkazi wa Upanga ambaye ndiye muuzaji mkongwe, “Havijawasili hapa nchini siku nyingi, lakini mimi huwa siuzi, namtafutia wateja mama mmoja hivi mwarabu wa Upanga, hata hivyo bado nina bidhaa nyingine kama unahitahi dawa za kuongeza matiti, kuwa mweupe,” alisema mmiliki wa duka hilo. Maoni ya Pendo na Edwin Baadhi ya wanawake waliohojiwa kuhusu kuongezeka kwa manunuzi ya viungo hivyo, walidai kuwa, hali hiyo inasababishwa na kukata tamaa katika mahusiano. Pendo Mallya mkazi wa Tabata jijini, Dar es Salaam, alitaja usaliti wa kimapenzi kuwa ndiyo chachu ya wanawake kuchukua uamuzi wa kununua viungo bandia, “Tumechoka kutendwa (heartbroken) , wanaume hawaaminiki, kwa hiyo ili kuepusha kubadili wanaume kila siku, ni bora ujitimizie haja zako mwenyewe,” alisema Pendo. Aliongeza kuwa licha ya kuepuka kutendwa na wanaume, lakini matumizi ya viungo hivyo yanakutoa katika hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa ukiwemo UKIMWI, “Kitu kingine, ni kuwa unakitumia kila unapokuwa na haja, tofauti na mwanaume atakuambia sipo, nimesafiri leo nimechoka na sababu nyingi,” alisema. Lakini Edwin Mnzeru alikuwa tofauti na Pendo ambapo yeye aliona wanawake wanaotumia viungo hivyo, wanashabikia ujinga, “Hizi ni athari za utandawazi, tujaribu kuiga mazuri, tuyaache mabaya, siyo kila kitu lazima tufanye,” alisema Aliongeza kuwa, serikali inatakiwa idhibiti uingizwaji wa bidhaa zote zinazoonekana kuvunja maadili. Kauli ya Mtaalamu wa SaikolojiaMtaalam wa Saikolojia Mtaalamu wa masuala ya Saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Richard Msambaiga, aliitaja sababu kuu inayowasababisha wanawake kununua viungo hivyo kuwa ni usaliti katika mapenzi, “Mwanamke anapoona anasalitiwa kimapenzi, anaona njia bora ni kujimalizia haja zake mwenyewe, kisaikolojia, anahisi ametibu majeraha kwa kujimiliki,” alisema. Aliongeza kuwa, wapo wenye hisia kuwa, kufanya mapenzi mwanamke na mwanaume, ni mfumo dume, hivyo anapopata nyenzo kama hizo, hudhani kuwa ametatua matatizo ya mfumo dume. Alizungumzia suala la utandawazi na kusema, umeruhusu kila taka kuingia, hivyo watu wamepata uhuru wa kujichagulia kile wakitakacho kiwe kibaya au kizuri. Alisema, wanawake kutumia viungo bandia vya kiume kufanya tendo la ndoa, ni suala la kina lenye sababu chekwa za kisaikolojia, kikubwa kikiwa ni wanawake kukata tamaa katika mahusiano na utandawazi. Nchi za Magharibi Katika nchi za magharibi, uuzwaji wa viungo bandia, umekuwa jambo la kawaida ambapo yapo maduka na kampuni mahususi kwa ajili ya bidhaa hizo tu. Hivi karibuni, kampuni za Magharibi ziliibuka na kuanza kuajiri watu watakaoweza kujaribu nyeti hizo bandia kabla ya kuziuza. Mmoja wa watu walioajiriwa ni Nat Garvey ambaye hulipwa kiasi cha Sh. milioni 50 kwa mwezi kwa ajili ya kujaribu uwezo na ubora wa nyeti hizo bandia za kiume. Anachokifanya ni kujaribu, kisha kuitaarifu kampuni husika kasoro au ubora uliopo katika bidhaa hiyo. Takwimu zinaonyesha kuwa, kiasi cha viungo bandia vya siri milioni nne huuzwa barani Ulaya kila mwaka na huenda idadi hiyo ikaongezeka hadi kufikia milioni 400 katika siku za usoni. Hivi karibuni kumekuwapo taarifa za ongezeko la wanawake nchini, kufanya mapenzi wenyewe kwa wenyewe wakidaiwa kutumia nyeti badi za kiume.
Prosthetic testicles have been around for some time now. The same doctor who spearheaded that, wants to leave his mark in medicine with something the size of a Tootsie Roll. "Fifteen percent of all couples in the U.S. are unable to conceive, and of those, half of them men are the cause, they have an issue," said Valley urologist Dr. Al Borhan. He says many men with fertility issues come to him for help. "Just think of how he feels, you have everything else in your life and you want to start a family," he said. Borhan hopes to bring a new device intended to create sperm to the Valley. "It's like a Tootsie Roll is inserted here, and can produce the sperm," he said. There's just one little problem. It hasn't been invented yet. But San Francisco urologist Dr. Paul Turek is trying to create it. "This is the holy grail for me, this is, I'm going to get this done before I die and leave this good earth," Turek was awarded a government grant for his research. He says right now they're using stem cells to try to create healthy sperm in animals. "And I'm surprised, because in the mice they are," he said. Borhan hopes this gives men with fertility problems hope. "We understand this is still artificial, but it makes it seem like it's you doing the job, it makes it personal and that make the whole experience of conceiving a child more important," Borhan said. So far, the doctors say the "Tootsie Roll" implant will only work about the life cycle of sperm. Borhan says that's about 70 days. via kpho.com
Baadhi ya watafiti wanasema kiwango fulani cha mafuta ya nazi ni muhimu kwenye chakula kwa kuwa husaidia kupunguza ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's" ambao mara nyingi humjia mwanadamu kadiri umri unavyosogelea uzeeni. Watafiti wanathubutu kusema, huenda mafuta haya ya nazi yakazuia kabisa kupata ugonjwa huo kwa baadhi ya watu. Ingekuwa vyema na sisi Tanzania tukafanya utafiti kwa jamii ya watu wanaotumia kwa wingi mafuta ya nazi katika mapishi yao, hasa wale waishio mikoa ya mwambao wa pwani ambapo zao ma mnazi hustawi vizuri na kwa wingi. Pengine hii ikawa pia sababu kujibu suala la kwa nini yapo matukio mengi ya Wazee na Vikongwe wengi kuuawa kikatili katika mikoa kadhaa nchini Tanzania ambayo zao la nazi ni nadra kuonekana sokoni, wachilia mbali kutumika kama kiungo katika mapishi na/au matumizi ya kuchua na marashi. Nimewaza hivyo kwa kuwa wazee wetu wanaouawa mara nyingi utetezi unaotolewa na wauaji ni kuwa mzee alikuwa na "dalili" za uchawi kwa kuwa pengine alikuwa akisema mwenyewe kama mwehu, akiondoka usiku na kutokomea pasikojulikana, alikuwa akivua nguo mbele ya kadamnasi, alikuwa mwoga au kuonekana mwenye wasiwasi wakati wote n.k., bila watu hao kufahamu kuwa kwa ujinga* wa masuala ya afya ya akili ya binadamu yatokanayo na umri, matukio mbalimbali maishani yaliyoathiri akili na fikira, pamoja na hofu ya uzee kwa vitendo walivyotendewa wengine, wanaweza kabisa kuwa sababu ya matatizo (dalili) na kuishia kuwawahukumu baadhi ya wazee hao kifo pasina hukumu ya haki. Ninaamini kuwa, kama ambavyo wapo waliofungwa jela kwa makosa ya kudhaniwa, kusingiziwa, wasiyoyatenda na visasi, vile vile wapo wanaouawa kwa sababu zizo hizo. Niseme kuwa, zinazotajwa kuwa sababu (naita visingizigo) za kumtuhumu mtu uchawi zinalandana na dalili za ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's disease" ambazo niliwahi kuziandika wakati nikichangia makala za afya katika gazeti la KwanzaJamii (unaweza kuzisoma kwa lugha ya Kiingereza katika linki hii: alz.org). Tizama video fupi ambapo mtu mmoja alifanyiwa utafiti na matokeo yake yanajionesha. --- * ujinga ni ile hali ya mtu kutokufahamu jambo. Siyo tusi au dharau. Hali hiyo humtoka mtu apatapo elimu sahihi.
It has been a subject that has been talked about all week throughout Kenya - The health workers strike.
The Government of Kenya today acknowledged that the statement issued yesterday declaring immediate dismissal of 25,000 health workers and nurses was out of desperation.
While apologizing to the medics on behalf of the Ministry, the Coast Provincial Director of Medical Services Dr. Maurice Simiyu said not one had been sacked.
However, in Nairobi, nurses gathered from various counties staged another demonstration in the city streets vowing not to return to work until their demands are met.
Francis Mutegi with the intriguing standoff that has caught the attention of among others, COTU and Parliament's Departmental Committee on Health.
COTU Secretary General Francis Atwoli is calling for the convening of an urgent meeting between the Ministries of Health and Labour, health workers representatives, Labour Union officials and the Federation of Kenya Employers to unlock the stalemate in the ongoing nurses strike. While dismissing the much-publicized sacking of 25,000 nurses, Atwoli said the Ministry of Labor has failed its obligation to be the go-between in a crisis between an employer and workers.
|