Kwa wale wapenda mbio za magari na wanaofuatilia mashindano ya kihistoria ya "Dakar Rally", hizi ni baadhi tu ya picha toka boston.com/bigpicture ambapo unaweza kuona nyingi zaidi, lakini kupata uhondo wenyewe tangu mwanzo hadi mwisho, "live feeds" pamoja na video, picha na maelezo mengine, tembelea tovuti rasmi ya mashindano hayo kupitia linki hii www.dakar.com. Mashindano hayo yalianza Januari Mosi, 2012 mjini Mar del Plata, Argentina na kilele chake ni Jumamosi, Januari 13, 2012 ambapo safari itatamatia mjini Lima, Peru. Awali mashindano hayo yalikuwa yakishika njia toka mjini Paris, Ufaransa hadi mjini Dakar, Senegal lakini kutonana na kuwepo kwa vita na hali isiyo salama, mashindano hayo yaliyamishwa na Afrika ikabaki kuwa sehemu tu ya kupita lakini tamati yake ni katika bara la Amerika ya Kusini. Jina la "Dakar Rally" limebaki ilivyo kwa heshima ya historia yake. Add Comment ![]() Janbert Kiwia alias JanB a.k.a Bobdee Hello World, Mambo vipi? Janbert Kiwia, better known in the music entertainment career as JanB a.k.a Bobdee is an upcoming young Tanzanian Swahili rapper, pop singer and song writer aiming to wave Tanzania flag and Promoting Swahili language in music and modeling career to the international level. Currently is doing the music project under Black-curtains records label in Stockholm-Sweden with the super producer Robert Hippolity a.k.a Puzo, and the first catching audio song for promo ‘‘I Remember Vol.1’’ featured an upcoming Tanzanian RNB singer Obi Elinami which will be available in his free mixtape ''I am JanB'' is already out online and doing well in various radio stations in Africa, Europe, America and Australia since the release in November 2011. There are much more to expect from JanB in this music career, indeed. Apart from music, JanB is a student in Sweden, currently writing his Thesis Project about Energy in Tanzania. He is an independent model for various advertisement jobs and Professionally a Public Relations Practitioner, Solo Consultant and Researcher on Socio-Economic and Environmental arena with a B.A in Public Relations and Advertising from the University of Dar es Salaam in Tanzania and Msc in Sustainable Development from Uppsala University in Sweden. Why ‘‘I am JanB free mixtape’’?? JanB is trying to be heard and seen first!! Next week JanB he will release the second song namely ''Playa Haters vol 1.'' which is the Swahili version and two weeks after he will release two different songs featured different International artists and Fans will be easily to buy songs and Ringtones via Online store (Itune, Spotify and Amazon). Please support the New Swahili Rapper ''JanB''. Check out his Official Website and Join, it's free: http://janb.w3page.net/HOME '' I real wanna do something for my life and for my country Tanzania, I'm gonna promote Swahili language via my Swag lyrical music. Yes I can do it, still I need your support. If we work as a team player, the world will get to know how good and capable Tanzanians we are. What I need from you now its three easy steps, 1st. Visit my website 2nd. Join and be a member (it is free) 3rd. Start enjoying. Nawapenda sana Fans wangu :) " . JanB _Thierry Henry paid an emotional tribute to Arsenal and his former team-mates after seeing himself immortalised in a bronze statue outside Emirates Stadium on Friday afternoon. The Gunners record goalscorer was one of three club legends to be honoured as part of their 125th anniversary celebrations, with former manager Herbert Chapman and also captain Tony Adams, who led Arsene Wenger's men to the Double twice, each receiving a similar tribute. Henry left Arsenal for Barcelona in June 2007, where the Frenchman would go on to lift the Champions League before moving to the Major Soccer League in the United States with New York Red Bulls. _Read more: www.dailymail.co.uk Taarifa ya klabu ya soka ya Simba 07/11/2011
TAARIFA YA KLABU YA SIMBA KWA VYOMBO VYA HABARI Nov 7th 2011, 17:33 Ndugu Wanahabari Mwishoni mwa wiki iliyopita, Kamati ya Utendaji ya Simba Sports Club ilikutana kujadili masuala anuai ya klabu na yafuatayo ni maazimio yaliyofikiwa mara baada ya mkutano huo. Kuhusu Jerry Santo Klabu ilikubaliana na ombi la mchezaji wake Jerry Santo aliyeomba aruhusiwe kwenda barani Asia kucheza soka la kulipwa mara baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa sasa na Simba mwezi huu. Simba inamtakia heri na fanaka mchezaji huyo kwenye maisha yake ya kisoka. Nafasi ya Santo itajazwa na mchezaji kutoka nchini Uganda, Derick Walulya, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA). Moses Basena Kamati ya Utendaji haikumjadili Moses Basena wala kuchukua maamuzi yoyote kumhusu. Hii inatokana na ukweli kwamba Simba SC ni klabu ya kistaarabu na inafahamu kuwa kocha wake huyo yuko kwenye msiba mzito wa mama yake mzazi. Klabu ya Simba inapenda kutumia nafasi hii kukanusha habari zote kuhusu kusimamishwa au kufukuzwa kazi kwa Basena katika kipindi hiki kigumu kwake. Wachezaji wa Timu ya Vijana ya Simba Kama inavyofahamika, Simba imesajili wachezaji 26 kwa ajili ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu ingawa Kanuni za TFF zinaruhusu timu kusajili wachezaji wasiozidi 30. Kamati ya Utendaji imeamua kuwa nafasi nne zilizobaki (ili kufikia 30) zitajazwa na wachezaji kutoka timu za vijana za Simba. Majina ya wachezaji hao yatapatikana baada ya Kamati ya Ufundi na Benchi la Ufundi kukutana na kujadiliana kuhusu wachezaji watakaofaa kwa ajili hiyo. Simba ni timu ambayo falsafa yake ya soka inafahamika. Wachezaji ambao wamepikwa ndani ya timu (kama hao wa timu za vijana) wanafundishwa kwenye falsafa hiyo na wanatarajiwa kuwa mabalozi wazuri wa falsafa ya klabu. Klabu maarufu na zenye mafanikio duniani kama vile Barcelona na Man United zimefanikiwa sana kwa kukuza vipaji kutoka kwenye timu zake za vijana. Simba inaelekea kwenye njia hiyo. Vurugu Viwanjani Kamati ya Utendaji ya Simba imesikitishwa sana na vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya washabiki wake wakati wa mchezo wa mwisho wa raundi ya kwanza ya Ligi Kuu dhidi ya Moro United. Washabiki hao wachache walikuwa wakitoa lugha ya matusi, vitisho na vurugu dhidi ya wachezaji na viongozi wa Simba waliokuwapo uwanjani. Kamati iliazimia kuwa wakati umefika sasa kwa vyombo vya dola kushughulikia washabiki wanaofanya vitendo visivyo vya kiungwana katika viwanja vya soka nchini. Kwa taarifa hii, Simba inawaomba washabiki wake waendelee kuwa alama ya uungwana na ustaarabu michezoni. Washabiki wa Simba wanafahamika kote duniani kwa sifa hii. Simba SC haitatetea mpenzi au mwanachama wake yeyote atakayekutwa na hatia ya kufanya vitendo vya vurugu uwanjani. Kufungwa na Yanga Wajumbe wa Kamati ya Utendaji walieleza kusikitishwa kwao na kufungwa na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu msimu huu. Kamati inafahamu machungu ambayo wapenzi na wanachama wa Simba waliyapata baada ya kipigo hicho. Hata hivyo, Kamati inasisisitiza kuwa ni vema wapenzi wa Simba wakaanza kuitazama ligi kwa mapana yake. Ligi haipo kwa ajili ya Simba kuifunga Yanga pekee bali kutwaa ubingwa wa Tanzania na kuwakilisha Taifa katika michuano ya kimataifa. Pamoja na kufungwa na Yanga, Simba inaongoza ligi si kwa kuwa na pointi nyingi pekee bali pia kwa kuwa na idadi kubwa ya magoli ya kufunga na wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa. Hii ni ishara kuwa Simba ni timu bora Tanzania kwa sasa kwa vigezo vyovyote vile vya kimpira. Kitendo cha washabiki kutuhumiana, kugombana na kutaka kufanya fujo kwa sababu ya kupoteza mechi moja na kusahau mazuri yote ambayo yamefanywa na timu ni kinyume cha uanamichezo. Timu kubwa kama Man United ya England zimefungwa hadi mabao sita katika mechi ya watani wa jadi lakini hakuna aliyefanya fujo kwa wachezaji, benchi la ufundi au viongozi wa timu hiyo. Kamati imehimiza umoja na mshikamano miongoni mwa wana Simba ndani na nje ya nchi. Hakuna sababu ya kuibua migogoro na migongano isiyo na sababu kwa sababu ya timu kupoteza mechi moja. Naomba kuwasilisha Ezekiel Kamwaga Msemaji Simba Sports Club Alex Ferguson comments post 6:1 defeat 23/10/2011
The following are quotes from Manchester United manager Sir Alex Ferguson after Sunday's 6-1 rout at the hands of derby rivals Manchester City: "It was our worst ever day" "It's the worst result in my history, ever. Even as a player I don't think I ever lost 6-1. That's challenge for me too. "I can't believe the scoreline. The first goal was a blow for sure but it was retrievable at 1-0. "The sending off was a killer for us. We kept attacking when we went 4-1 down and we should have just said: 'We've had our day."' "We just kept attacking. They were attacking three versus two. It was crazy football," he said. "I thought with the experience we've got - Rio Ferdinand, Patrice Evra - they would (defend more) but we just kept attacking. Sometimes there has to be common sense about it." "It was a bad day." "We'll come back. By January we'll be okay. We usually get the show on the road in the second half of the season and that will have to be the case." "We've played all the teams around us and they have all to play each other so the second half of the season is important to us now." "We will react, no question about that. It's a perfect result for us to react to because there is a lot of embarrassment in the dressing room and that will make an impact." "What did concern me was the goals for and against. Goal difference may count. Last year it was in our favour, most years it is in our favour...this time maybe not." [quotes via menmedia.co.uk] video: Magoli ya Morocco vs Tanzania 10/10/2011
Video ifuatayo inaonesha magoli yaliyofungwa katika mechi iliyochezwa siku ya Jumapili, Oktoba 9, 2011 nchini Morocco kati ya timu za Taifa za Tanzania na Morocco katika harakati za kuwania nafasi ya kucheza kwenye michuano ya Africa Cup of Nations 2012. Katika mechi hii, Morocco iliifunga Tanzania 3 : 1 na kusababisha Tanzania kuyaaga mashindano hayo. Kasheshe la Yanga na Kocha wake! 21/09/2011
The future of Tanzania's Yanga FC coach Sam Timbe in the team appears uncertain as the club management is contemplating to terminate his contract. This is owing to the team’s poor show in the Vodacom Premier League. A member of the club’s executive committee who declined to be named said the leadership was contemplating terminating its contract with the Ugandan tactician. “We are extremely disappointed by the results under Timbe, and he’s aware of this since we have made our concern known to him,” the committee member who declined to be named, said. Yanga, popularly known as Dar Young Africans have been far from impressive this season.The Mainland champions’ hopes to turn millions of shillings they spent on new signings into a silverware suffered a serious setback on Sunday when they lost 1-0 to Azam FC at the National Stadium. “We spent lots of money in the exercise, but the team’s performance in the league this season is disappointing. They have been losing matches they could have won, it’s a shame,” he added. When contacted for comment on the matter, Yanga chairman Lloyd Nchunga confirmed that Timbe’s future is not assured after poor results in as many matches. “He may not survive the heat if we lose our next match because both players and fans now believe he can’t manage to propel our team to higher heights,” he insisted. Nchunga said there was no reason for Yanga to perform poorly in the league because Timbe has some of the best players at his disposal at the moment. The same Timbe was hailed as ‘super coach’ by some club members when Yanga clinched the Cecafa Kagame Cup trophy early this year. [via starafrica.com] Press release 20.09.11 - Tanzanian/Danish Mzungu Kichaa LIVE IN KAMPALA Mzungu Kichaa did a blinding show at the Bayimba International Festival of the Arts on the closing night of the festival (sunday 18. september 2011), Kampala, Uganda. This has been a long anticipated show and marks the first performance for the artist in Uganda. Mzungu Kichaa has performed several times in Kenya, so the new country is part of an important step in Mzungu Kichaa's career in East Africa, said his manager from Caravan Records. In a public interview on stage after the performance that included his Tanzanian backing band Bongo Beat and a guest percussionist from Senegal, Mzungu Kichaa said that it was important for him to be able to represent his music in Africa and commended the festival for giving professional musicians a platform to perform on a professional stage in their home region. Mzungu Kichaa said, that it is a shame that top African names often end up performing more concerts outside the African continent due to better performance rates in Europe and America. He said that he considers himself African first and foremost, and that he would do his best to perform as much as possible on the continent. The Ugandan audience received Mzungu Kichaa with a warm applaud and were particularly taken aback by his debut album title track Tuko Pamoja which he introduced to the public with a greeting in Luganda. During his performance Mzungu Kichaa told the Ugandan audience that it was time to embrace kiswahili and that although it may have been the language of the military during political hard times in Uganda, his song, Tuko Pamoja, was a call for unity. The crowd also showed Mzungu Kichaa love when he had them sing "na na na na na na na na na vijana wa Kampala ni wajanja". For more information contact: CRTanzania@gmail.com CARAVAN RECORDS - Management -- Kind Regards, Caravan Records MANAGEMENT E-mail: CRTanzania@gmail.com www.myspace.com/caravanrec www.myspace.com/mzungukichaa www.facebook.com/mzungukichaa | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |










RSS Feed