Leo nimepokea ujumbe toka kwa rafiki zangu wawili wakinifahamisha kutumiwa ujumbe toka kwa mtu wasiyemfahamu. Maelezo ya jumbe hizo yanafanana na yanasomeka hapo. Anafahamisha kuwa anwani zao amezipata toka wavuti.com na hili ni kweli kwani katika tovuti hii anwani ya mtu inaweza kuwepo aidha kupitia tangazo/habari/taarifa kwenye chapisho (post) ama kuachwa na watu wanaotoa maoni na wakaziweka anwani zao kwenye kisanduku cha maoni kwa mawasiliano na wengine au kuziandika katika kijisanduku "field" cha anwani ambacho si lazima "optional" kuandika. Ninashukuru kwa rafiki zangu hawa kuwa wajanja, kila mmoja kwa wakati wake akanitumia ujumbe kunifahamisha wanadhani kuna mtu anachezea wavuti hivyo nichunguze. Ninawashukuru pia kwa kutokumjibu mtu huyo kwani ni tapeli "scammer" ambaye lengo lake kubwa ni kuiba kwa namna yoyote anayoweza, ikiwamo kuuza anwani za watu. TATIZO LA MATAPELI WA MTANDAONI Ndiyo, matapeli wanafanya biashara ya kukusanya anwani katika mitandao mbalimbali kama vile tovuti, blogu, eforums, egroups na wanapopata watu wanaowajibu, hilo huwathibitishia kuwa anwani hiyo ni hai na ina mtumiaji. Ndipo wao hufanya kazi ya kuzikusanya na kuziuza kwa mafungu kwa watu wengine ambao nao huzitumia kwa kutuma jumbe za kitapeli kama vile kukufahamisha umeshinda bahati nasibu ya kiasi fulani kikubwa cha fedha, au una kifurushi kinasubiri maelezo yako ya jinsi ya kukipokea toka posta, ama wakakwambia umeshinda "Green Card" ya kuishi Marekani, n.k. Ukweli ni kuwa hakuna faida isiyotokana na kufanya kazi. Hivyo huwezi kuangukiwa na ngekewa "zali la mentali" bure tu. Samahani sana nyote mliopokea ujumbe kama huu. Upuuzieni na msimjibu mhusika. Matapeli hawa wameifanya hii kuwa kazi yao hivyo wanashinda na kukesha wakizurura mitandaoni kusaka anwani za watu hata ikiwa hazipo katika mfumo wa "hyperlink" bali zimekolezewa wino wa bluu tu ili zisinaswe na mashine, sasa hivi inaelekea wameamua kabisa kufanya kazi hiyo binafsi. SULUHISHO NA USHAURI KWENU Tayari nimewasiliana na "host" wa tovuti hii ili kuona kama anaweza kuchunguza iwapo kuna upenyo wowote kwenye "code settings" za kisanduku cha maoni kinachoruhusu mtu kuiba anwani, arekebishe. Ninaomba wote mnaoacha maoni, msiache anwani zenu pasina sababu. Kijisehemu cha kuacha anwani kwenye kisanduku cha maoni si lazima kijazwe, ni "optional". Ikibidi kuniandikia, tafadhali tumia ukurasa wa "Contact" hapo juu na ujumbe wako utakuja kwangu moja kwa moja bila kuacha anwani yako hapa. Usijibu ujumbe wowote kutoka kwa mtu usiyemfahamu hasa anapotumia lugha tata na/ama isiyoeleweka kwa mfano wa hizo hapo ambapo amejaribu hata kusisitiza utapeli wake kwa kutafsiri Kiingereza chake kibovu kwa kutumia "google translate" kwenda kwa Kiswahili. Kujibizana na tapeli ni hasara kama nilivyoeleza hapo juu kuhusu biashara ya anwani pepe (email addresses). Add Comment If you have a website and use Google AdSense, there is an extension for Google Chrome web browser that can help you view and monitor your AdSense without leaving your website. You only need to already logged in your google account associated with your AdSense account, then click the icon to get an instant overview of your account. Once installed, it will look like the screen-shot seen up on the top right. The AdSense Publisher Toolbar gives AdSense publishers two easy ways to access real-time information about their accounts and the ads served on their websites. Pop-up account overview lets you view the following at a glance:
Get AdSense Publisher Toolbar at: chrome.google.com. Have you ever wanted to send confidential information within your work environment, to family or friends, but were afraid to do so over the internet? Privnote is a free web based service that allows you to send secret notes over the internet. It requires no password or user registration at all. Just write your note, and you'll get a link. Then you copy and paste that link into an email (or instant message) that you send to the person who you want to read the note. When that person clicks the link for the first time, they will see the note in their browser and the note will automatically self-destruct; which means no one (even that very same person) can read the note again. The link won't work anymore. You can optionally choose to be notified when your note is read by leaving your email and a reference for the note. To give Privnote a try, click here: https://privnote.com Nikiwa kwenye mgahawa mmoja wa intaneti Ilala, mhusika wao akaniuliza ni kwa nini ninataka tu kulipia dakika 15 za kuunganisha tarakilishi yangu kwenye intaneti yao au "wireless". Nikamfahamisha tayari nimeshaandaa ninachotaka kufanya, nahitaji tu kuunganishwa na intaneti ili niweze kutuma majibu ya barua pepe nyingi zilizokuwa zinanisubiri. Akaniuliza mbona sikuandika kwenye "microsoft word" kwanza kisha nikate na kubandika ujumbe kwenye barua pepe? Nikamfahamisha niliacha kufanya hivyo kwa muda sasa baada ya kurahisishiwa mambo na "gmail offline". Gmail Offline ni huduma ya Google ambayo inawafaa sana watumiaji wa Gmail kwa ajili ya mawasiliano ya barua pepe. Inawezekanaje? Huduma hii inafanana na huduma ya Outlook ya Microsoft Windows, watumiaji wake watakuwa wanaifahamu. Katika mazingira yetu ambapo mawasiliano ya intaneti bado ina vikwazo vya aina mbalimbali kwa baadhi ya watu, ni dhahiri kuwa kutumia Google Offline ni faida kubwa kwani unaweza kusoma ujumbe kupitia email na kuandaa majibu kwa kila ujumbe wa muhimu na kisha kuchomeka modem au kwenda kwenye mgahawa wenye intaneti ambapo unaweza kuunganisha kupitia waya wao au bila waya "wireless" na kutuma majibu ya emails zako ndani ya dakika chache. Kwa yeyote mwenye laptop (au desktop nyumbani) lakini haiunganishwi na intaneti muda wote ili kupunguza gharama za intaneti, jiwekee Gmail Offline App kwa ajili ya kufaidi huduma ya Google Offline. App hii inafanya kazi kwenye kirambaza wavuti cha google, yaani Google Chrome, hivyo kama computer yako haina, jipakulie kisha chomeka app hiyo na uanze kuitumia.
I just deleted my profile @graduates.com 31/12/2011
Four years ago, I joined graduates.com (the name is self explanatory), but my profile's been dormant ever since. So today, I just did to it what I did to my then Hi5 and Zorpia accounts, i.e. delete and get rid of them. Just in case you need to do the same, here is the link: graduates.com/ProfileRemove.aspx You have to login first with the username and password used to register the time you opened the account (follow instructions on the site in case you forgot your credentials), then you will be presented with a window (see screeshot below) to complete the deletion process. This is part II of tips on how to enjoy gmail through keyboard shortcuts. If you missed part I, please click here. Keyboard shortcuts help you save time by allowing you to never take your hands off the keyboard to use the mouse. You'll need a Standard 101/102-Key or Natural PS/2 Keyboard to use the shortcuts. To turn these case-sensitive shortcuts on or off, click the gear icon at the top of any Gmail page and then Mail settings. Choose the option next to "Keyboard shortcuts" to turn them on. You can also enable shortcuts automatically by going to mail.google.com/mail/?kbd=1 Combo-keys - Use the following combinations of keys to navigate through Gmail.
Keyboard shortcuts help you save time by allowing you to never take your hands off the keyboard to use the mouse. You'll need a Standard 101/102-Key or Natural PS/2 Keyboard to use the shortcuts. To turn these case-sensitive shortcuts on or off, click the gear icon at the top of any Gmail page and then Mail settings. Choose the option next to "Keyboard shortcuts" to turn them on. You can also enable shortcuts automatically by going to mail.google.com/mail/?kbd=1
source: support.google.com How to revert back to the old Gmail 02/11/2011
The Gmail team rolled out the "New Gmail look" this week but it has irritated some users who would prefer to continue using the old interface. Gmail has enabled rolling back to the old interface, though temporarily, via the following steps:
If you followed steps 1 - 5 above and you still don't see the changes immediately, try to log out and then log back in. If still showing the new interface, then try the following alternative steps:
Don't be lazy to ready instructions unless you want to be a victim of scam. Fill out the form yourself or by the help of a friend/relative. No fee is requested by the US Government on this. Click here to read the warning. The valid link for submission of required information is secure, you will recognize it by having an "s" at the end of the "http" that is to form an "https" see link above; ALSO, the link's domain name ends with a ".gov" The entry submission period for DV-2013 is from 12:00PM EDT (GMT -4) on October 4, 2011 to 12:00PM EST (GMT -5) on November 5, 2011. The entry form will only be available for submission during this period and this period only. Entries will NOT be accepted through the U.S. Postal Service. Kila wiki nimekuwa nasoma malalamiko ya watu ya ni kwa nini google inawapa majibu kwa lugha ya Kiswahili. Lalamiko mojawapo ni kama hili, ''My search browser defaults to Swahili, why?????? I hate this!!!!!!!!" Sasa basi, ikiwa unataka kubadili lugha kwenye google search engine, fuata hatua hizi 3:
| Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |











RSS Feed