Video ifuatayo inaelekeza jinsi ya kufungua baadhi ya vitasa vya milango bila kuivunja wala kutumia ufunguo.

Mara ya kwanza kuona kitasa kinafunguliwa bila ya kutumia ufunguo ilikuwa siku mdogo wangu alipojifungia kwa ndani alipokuwa chooni na asijue jinsi ya kufungua. Vitasa vya aina hii vipo sana kwenye nchi za Ulaya na Marekani. Kama nyumba yako ina aina tofauti tofauti za vitasa, ni vyema kuvijaribu kujua ni vipi vinavyofunguka bila ufunguo ili kujua cha kufanya ikitokea ulazima wa kufungua bila ufunguo kama vile ufunguo ukipotea au kwa mfano nilioutoa awali. Watu waoga pia itawafaa kujua ikiwa wanahitaji kubadili baadhi ya vitasa au...



 
 
Mifano ya watumiaji wa Google AdSense wanaolipwa vizuri ipo incomediary.com/top-earning-blogs na yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia ukiwa mtumiaji wa Google AdSense ili akaunti yako isifungiwe au kufutwa.

  1. Google AdSense hawaruhusu kubofya matangazo yaliyomo kwenye tovuti yako. Mashine za Google zina uwezo wa kufuatilia "tracking codes" zenye uwezo wa kufuatilia na kung'amua mtu anapobofya matangazo yaliyopo katika tovuti/blogu yake mwenyewe. Ikigundulika kuwa umefanya hivyo, moja kwa moja mashine hukufungia (ban) na hutaruhusiwa tena kuendelea au kujiunga upya na programu ya AdSense. Hata hivyo, unaweza kuiandikia timu ya Google AdSense kueleza ikiwa kubofya huko kumetokea kwa bahati mbaya na kuwaomba wao wachunguze kuuona ukweli. Wakiafikiana na utetezi wako, wanaweza kukufungulia uendelee na programu hiyo kwa maonyo. Wapo watu wengi waliozuiliwa kwa kukiuka sharti hili na mengine mengi na hawajaruhusiwa tena kujiunza na programu hiyo. Pengine utaghairi na kuamua kutumia programu za makampuni mengine (niliyataja hapa), ila unapaswa ufahamu kuwa kwa wakati huu, Google AdSense ndiyo kampuni inayolipa vizuri zaidi ya makampuni mengine.
  2. Vile vile unaweza kufungiwa milele ikiwa utakiuka sheria (Google AdSense terms, conditions and policies) zao kama vile kuweka taarifa/habari za maandishi, sauti au video ambazo ni mali ya mtu mwingine (copyrighted materials) bila ruhusa ya mhusika au bila kuweka linki ya sehemu taarifa hiyo iliyoptoka.Imewahi kunitokea kufungiwa kwa kipindi cha wiki moja kutokutumia AdSense baada ya kurekodi mpira wa kirafiki kati ya Tanzania na Ivory Coast. Niliambiwa kuwa video ile ni "copyirighted material" na sikuwa na hati ya kuitumia hivyo kwa kukiuka sheri za Google AdSense, nilifungiwa bila mjadala. Hata hivyo, niliwaandikia kwa kutumia formu yao inayopatikana mtandaoni, kuwaomba samahani na kwamba lile lilikuwa kosa langu la kwanza, sikufanya kusudi. Fomu yenyewe ina maswali ya kujieleza na kuituma haina uhakika kuwa utajibiwa ama la, wala kama ukijibiwa litakuwa jibu la ndiyo ama hapana. 
  3. Huruhusiwi kuweka habari au matangazo ya ngono au kamari.
  4. Huruhusiwi kuwahamasisha watu wabofye matangazo yako.
  5. Huruhusiwi kutamka kiasi cha mapato yako yaliyotokana na Google AdSense.
  6. Unaweza kuweka 'codes' za matangazo mengi kadiri utakavyo katika ukurasa lakini ni matangazo 3 tu yatakayoonekana kwenye ukurasa mmoja, mengine yote yatazuiwa na mashine za Google na penye tangazo patakuwa patupu.

Mengineyo unaweza kuyasoma kwa kuperuzi kurasa za google.com/adsense au blogu ya adsense.blogspot.com au kwa kutizama video za maelekezo katika channel yao ya youtube.com/user/InsideAdSense.

Maelezo ya awali yaliyotangulia kuhusu Google Adsense unaweza kuyasoma kwa kubofya hapa au hapa.
 
 
Nimepokea maswali na maoni mbalimbali baada ya kuweka hapa video yenye maelekezo ya jinsi inavyowezekana kufungua sanduku kupitia kwenye zipu bila ya kufungua kufuli.

Wapo walioripoti kuwa vitu vyao viliibwa kutoka masandukuni na makufuli yalikuwa yamefunguliwa au kuonesha dalili ya kuchokonolewa ama hayapo kabisa. Kutokana na shuhuda hizo, wengine walitoa ushauri wa kutumia aina fulani ya makufuli ambayo yamepigwa chapa ya mashirika (agency or department) yanayohusika na usafiri kwa baadhi ya nchi, mfano TSA, ATS n.k. nami nikawafahamisha, hiyo nayo si dawa muafaka kwani hata hayo nayo yanaweza kufunguliwa.

Makufuli yoyote bila kujali aina na muuneo, yaani yawe ni yale ya namba (combination locks) au ya funguo mfano Tri-Cicle, Tri-Cycle, T-lock, Diamond, au ya chapa za TSA, ATS n.k. hayo yote yanaweza kufunguliwa kirahisi.
 
Video zifuatazo zinaonesha jinsi ya kufungua makufuli hayo bila ya kutumia ufunguo au kujua 'combination' ya kufuli.

USHAURI: Kama nilivyoeleza kwenye ushauri wa jinsi ya kusafiri na vitu kwenye carry-ons, ikiwa umeweka vitu vya thamani katika sanduku, ama (1) lipia waranti ili chochote kikibiwa ulipwe (yapo mashirika mbalimbali yanayotoza waranti kwa kulipia gharama kiasi fulani, bofya hapa kuona mifano) au (2) ulizia kwenye kiwanja cha ndege unakoanzia safari ikiwa wanayo huduma ya kuzungushia nailoni kwenye masanduku yako.
Makufuli ya kawaida

Makufuli ya baiskeli/pikipiki

Makufuli ya namba
 
 
Picture
I was once a victim of cyber attack. It came from a person who never introduced him/herself, and I never bothered to ask him/her to reveal his/her real identity. Nevertheless, it was my first encounter and, being new to the world of blogging, I didn't know what to do. It went on like this for two weeks until one day I decided to ignore his/her emails and report him/her to Google. S/He had made it easier for me when s/he dedcided to copy, paste and publish exact materials from my old blog. I was thrilled when Google yanked out his/her blog. It is this experience that I want to share with you here today.

In many countries, it is permissible and you may not be required to seek consent or approval before sharing information about any individual as long as the information shared is truthful and can be substantiated.

However, publishing and sharing cooked, falsified information, assumptions, and/or outright lies about a person with the intent to defame or injure the reputation of another person is considered illegal. Such act may be subject  to punishment by the governing state laws. You have the right to free speech but you don’t have the right to slander and libel someone unless you have the proof to back it up. Therefore, if you do not possess any hard evidence that may be used in a court of law and that article libels someone, then you are better off removing the post immediately. The only exception is satire, thoughthis too has limitations to how far you can go.

When a person finds out that another person or a website/blog has published false information and, if the information shared is so bad that it can't be ignored or forgiven, then the defamed person may file a lawsuit in the court against the defamer or web/blog owner. Lawsuits can be heavy with resultant hefty fines, however, there are less expensive ways to try to solve and find amicable solution to the problem, worth pursuing as follows: 

  1. Ask (via email, phone or social media accounts) the person or blog/web owner to remove your information from wherever they posted because they have access to the information. Point out why what they published about you is not true or how the involvement of others (like children, parents, friends, relatives etc) is not relevant to the published materials. It is a human nature for most of us to communicate angrily when we are upset, however, you need to be calm and collect at this point before you send your message or call the phone. Take a deep breath, think it through, imagine how you would have preferred to be addressed if it were you - obviously a calm manner will gain more credits than shouting obscenities - I suggest you start out calmly. If the argument gets heated, excuse yourself by asking for another time to discuss this, you can say for example, "I am overwhelmed right now, I can't talk sense, please let me calm down first and we'll continue later" or if it's an email, when you are done replying it, do not hit the 'send' button, instead, put it in the drafts folder, go ahead and do something else, after some time, re-read what you wrote and see if you really want to send it the way it is bearing in mind that it may go public, and would you feel comfortable seeing it being read by the whole world? If not, edit it. Instead of calling the publisher a liar or disgusting and such strong negative words, go to the facts and points instead. Don't waste your time writing nonsense because it will irritate and stir up more anger in you and the intended recipient. Note that this information (email messages or recorded telephone conversations - if permissible) may be used in the court of law as evidence. Therefore, be sure whether or not, you will really like to see and hear this information shared in public. Be as professional as possible.
  2. If the above didn't work because the person you are dealing with is unreasonable, rude and uncooperative, take another step. Report them to their hosts and file a complaints report to Google so they can take down the page that has offensive information about you. Google will block that page and remove it from it's index list so it will not be searchable and won't appear in any of Google search results pages. You start this process by finding and identifying the name and contact information of the person who registered the website and the place I prefer for fetching that information is networksolutions.com or  dnsstuff.com or whois.domaintools.com in which you will see "Admin or Webmaster Email." If the web/blog has Terms and Conditions, read it carefully and use them to back up your case in case they're violated.
  3. Report to Google about the privacy and/or copyright infringement using the request remove tool "google.com/webmasters/tools/removals". This is very useful if any media such as photos (especially with watermark denoting who the copyright owner is) or texts with your name in it is used. It is very sensitive if a picture of a minor (under the age of 18 years) is used, this can be very lethal. Use it as your strong point. Once Google receive this information, they will de-list that page making it impossible to find unless a person knows the direct URL link to the offending material.
  4. If there are any threats, verbal or physical, report and open a case at your local police station so that necessary measured can be taken to protect you and anyone else involved. If your local police station won't be able to pursue the case, the information can be transferred or used in an appropriate station in the same country or abroad (if possible) equipped with  experts assigned to deal with cyber bullying, defamation, impersonation and such crimes.

Finally, seek an advise from an attorney or a law firm which has practical experience and has dealt with these cases.

The 5 DON'T (don't do this trying to clean your reputation, because you'll be ruining it even further). Don't:
  • Threaten to sue (Even if you know you're right and they're wrong, be civil, show it by asking removal first).
  • Respond or rebut claims in comments under the negative postings (it incites and fires them even more)
  • Click offending pages from search results as it raises that page rankings
  • Be too defensive in your statements (it raises bystanders eyebrows)
  • Attack others online (because when you are calm, you will regret it. Yes, you will regret it later, heavily!)
Finally, you can search online for tips on how to protect your online reputation. There are firms that can help you (free or with a fee) get unwanted information about yourself off the internet if you think it is going to ruin your future chances of a better career, employment, marriage e.t.c. 

 
 
Niliposafiri kwa mara ya kwanza nje ya nchi, nilisahau ufunguo wa sanduku nyumbani. Nilipofika kiwanja cha ndege wakati wa kukaguliwa, nilitakiwa kufungua sanduku ili kupunguza baadhi ya vitu, lakini kwa kuwa sikuwa na ufunguo, ilinilazimu ama niliache sanduku zima lirudi nyumbani au nichane na kuondoa vitu na kulisafirisha likiwa na hitilafu.

Wakati nikiwaza cha kufanya, mfanyakazi mmoja anayeshughulika na mizigo alinihurumia, akaniita pembeni, akaniuliza kama nina kalamu (bahati nzuri nilkuwa nayo), akanielekeza jinsi ya kufungua na kufunga sanduku bila kutumia ufunguo wala kuharibu kufuli. Nilifanikiwa kulifungua na kupunguza mizigo, uzito ukaenea, nikaendelea na safari.

Hivi majuzi ndugu yangu amepoteza laptop iliyoibwa kwenye sanduku alilolisafirisha. Nilijaribu kumwelezea kwenye simu jinsi wizi huu unavyofanyika, ndugu yangu hakunielewa hadi nilipommtumia video inayoonekana hapo chini.

USHAURI wa jinsi ya kuhifadhi vifaa vyako kuepuka udokozi: Unaposafiri na vitu kama vile laptop, tablet, simu, kamera, iPod, mp3 player, au kifaa chochote cha thamani kubwa lakini kinabebeka (portable) kwenye mkoba wa mkononi, tafadhali viweke vifaa hivyo kwenye mkoba huo kwani huo unahesabika kama carry-on na unaruhusiwa kuingia nao kwenye ndege (soma tiketi yako ina maelezo ya idadi na uzito wa carry-ons unazoruhusiwa kuwa nazo) na hivyo utakuwa na uhakika mara zote wa vitu vyako "kibindoni" tangu mwanzo hadi mwisho wa safari.

Kama itakulazimu kuviweka vifaa hivyo ndani ya sanduku litakaloingia kama mzigo hadi mwisho wa safari ndipo ulipokee sehemu ya kuchukulia mizigo, basi hakikisha (1) Unavificha vifaa vyako ndani, katikati ya sanduku na kuweka nguo na vitu vingine juu ili isiwe rahisi kwa mtu yeyote kuona au kuhisi kuwa kuna kifaa kama laptop kwa maana kuacha laptop juu ikachora alama na taswira ya laptop, hii ndiyo wadokozi huiona na kushawishika kufungua na kuiba au (2) Unaingia gharama iliyopo katika baadhi ya viwanja vya ndege, ya kununua ile nailoni wanayofunga kuzunguka sanduku zima.


 
 
Huu ni mwendelezo wa maelezo kuhusu programu ya Google AdSense inayowawezesha wenye blogu au tovuti kujipatia fedha kwa kuweka matangazo yao kwenye blogu/tovuti zao. Ikiwa ulikosa, toleo la awali, bofya hapa kulirejea.

Yafuatayo ni maelezo ya mfumo wa malipo wa Google Adsense.

Google AdSense hulipa kila akaunti yako inapokuwa imejikusanyia si chini ya $100. 
Watu wanaoishi Amerika ya Kaskazini na baadhi ya nchi za Ulaya na bara la Asia hulipwa fedha moja kwa moja kupitia akaunti za benki zao baada ya kutuma maelezo kama yanavyotakiwa wakati wa kujiandikisha.

Watu wanaoishi nje ya bara la Amerika Kaskazini na nchi nyingine ambapo mfumo wa malipo wa kibenki hujahakikiwa hulazimika kufuata taratibu tofauti zilizoanishwa na Google Adsense ambapo mteja hupaswa kutuma maelezo yake yatakayowezesha kuhakikiwa (verification) na kisha kutumiwa malipo kwa njia za kutuma fedha zilizokubaliwa Kimataifa na zinazotambulika na serikali ya Marekani.

Pengine utajiuliza, ni kwa nini Google wafuatilie kila senti wanayoingiza na kutoa?

Kwa utaratibu wa Serikali yoyote makini, kila senti inayoingia na kutoka katika nchi ni lazima iingie kwenye rekodi. Google AdSense, kama yalivyo makampuni mengine na raia wote wa nchi hiyo, hupaswa kutoa mrejesho kila mwaka wa mapato na malipo ya kodi (tax return) kwa kuwa ndiyo utaratibu wa nchi ya Marekani, ambapo ndipo yalipo makao makuu ya Google. Hivyo, ili kuzuia kupigwa faini na Serikali, Google AdSense hufanya uhakiki kwa makini ili kuweza kuripoti (account for) kila senti moja inayoingia au kutoka. Mtu yeyote anayejiandikisha na kutumia huduma yao ya AdSense atakaposhindwa kuthibitisha vielelezo vyake vya ulipaji kodi kwa mujibu wa nchi anayoishi, malipo yake yatazuiliwa (withhold) hadi siku vielelezo hivyo vitakapothibitishwa na ndipo malipo hutolewa (payment release).

Uchaguzi wa namna ya kupokea malipo yako umeelezwa kwenye kwenye ukurasa wa usaidizi wa Google Adsense, na maelezo yake kwa ufupi ni haya yafuatayo:

Depending on your payment address, the following payment options may be available to you: ChecksElectronic Funds TransferWestern Union Quick Cash and Rapida.

To choose or change your form of payment, follow these steps.

  1. Sign in to your account.
  2. Visit the Account settings page.
  3. In the Payment settings section, click "edit payment method."
  4. Choose the radio button for your preferred form of payment and click Continue.
  5. Follow any additional instructions to choose your form of payment, and save your changes.
Please be aware that you won't be able to select a form of payment if your earnings haven't reached the payment method selection threshold.

ZINGATIO 

Kwenye toleo lililopita nilisema ninawasihi wenye blogu wasiondoe matangazo ya Google Adsense, na sababu yake ndiyo hii ifuatayo.

Mtafute mtu, ama ndugu, jamaa au rafiki mwaminifu anayeishi katika nchi ambapo wanaweza kuzituma fedha moja kwa moja kwenye akaunti yake, kisha mtu huyo atakutumia wewe malipo hayo kadiri ya makubaliano yenu.

Fedha yoyote utakayokuwa umeikusanya itabaki na kuhifadhiwa kwenye akaunti yako na utaweza kuiona wakati wowote. Endapo fedha hiyo italipwa kwa mtu yeyote utakayekuwa umemwidhinisha kupokea malipo kwa niaba yako, itaonesha bayana siku ilipolipwa na kwenye akaunti ilikotumwa. 

Hakuna fedha itakayozuiwa na Google AdSense ikiwa hujafanya kosa lolote wala kukiuka masharti yoyote ya Google AdSense. Fedha zote zitahifadhiwa na utalipwa punde vielelezo vya lazima vitakapokuwa vimewakilishwa na wewe mwenyewe ukawa tayari kulipwa.

Toleo lijalo nitazungumzia juu ya "Miiko na mambo ya kuzingatia unapotumia AdSense kupata fedha
 
 
Zipo njia mbalimbali za kujiingizia kipato kupitia blogu au tovuti.

Njia hizo ni pamoja na kuuza vitu unavyotengeneza mwenyewe, kuuza vitabu unavyoandika, kuuza makala zako, kutoz kiasi fulani cha malipo kwa kutangaza au kuuza vitu vya watu wanaohitaji kuvitangaza/kuviuza kupitia intaneti, kutengeneza blogu/tovuti za wengine kutokana na ujuzi wako, kuweka matangazo ya makampuni (ndege, hoteli, vinywaji, michezo, benki, nk.) au asasi, chama au Serikali, kuingia mkataba wa kupata malipo kupitia mpango unaofahamika kama "affiliate program" kutoka kwa wenye tovuti wengine wanaohitaji kujitangaza kwenye blogu/tovuti yako, kupokea matangazo kupitia makampuni yanayohusika na biashara ya matangazo kama vile Google Adsense/Adword, AdBrite,  Bidvertiser, Chitika, Infolinks, Kontera, Clicksor, Oxygen, AdBull n.k.

Leo nitazungumzia AdSense ambayo maelezo kwa lugha ya kiingereza yanapatikana: google.com/adsense...tour

AdSense ni programu ya Google ambayo mtu yeyote mwenye blogu/tovuti anaweza kutuma maombi ya kujiunga nayo na ikiwa vigezo vitatimizwa, ataruhusiwa kujiunga na kisha kupata maelekezo kutoka kwa watu walio kwenye timu ya AdSense wanaoelekeza hatua za kufanya hadi kufanikisha kuyaweka matangazo kwenye blogu/tovuti.

Ili kujiunga na programu ya AdSense, fuata linki hii:  google.com/adsense

Baada ya kujiunga utakuwa na fursa ya kuchagua aina ya matangazo unayotaka yaonekane kwenye tovuti yako. Mathalani tovuti yako inahusu mitindo ya mavazi na usingependa kuona habari za mambo ya siasa au dini, basi unao uchaguzi huo.

Vile vile upatapa fursa ya kuchagua ukubwa wa matangazo kulingana na ukubwa wa nafasi kwenye blogu yako. Vipo vipimo mbalimbali kama vile 600 x 200 au 300 x 250 au 120 x 120 ama 728 x 90 n.k kama vilivyoorodheshwa:  google.com/adsense, na pia utaviona punde unapoandaa matangazo kabla ya kupata "code" kwa ajili yakuweka kwenye blogu yako. Video ya jinsi yakuandaa matangazo hayo imepachikwa hapo chini.

Kielelezo cha picha kifuatacho kinaonesha maeneo muhimu katika uso wa blogu/tovuti ambapo matangazo yakiwekwa huonekana kirahisi na wasomaji. Kielelezo hiki kimetengenezwa kutokana na utafiti uliofanyika kuona macho ya wasomaji huona na kubofya wapi zaidi wanapotembelea blogu/tovuti. Sehemu zilizoandikwa "hot" na "warm" ndizo za kuzingatia.

Pia unaweza kutizama video youtube.com/optimization ili kuona mfano halisi wa upangaji unaolipa zaidi.
Picture
picha toka squidoo.com
Kuna video zimeandaliwa na timu ya AdSense kwa ajili ya kukusaidia kujifunza zaidi, video mbili zimepachikwa hapo chini. Ukitaka kutizama video nyingine tumia linki hii:  youtube.com/user/InsideAdSense/videos 

Baadhi ya tovuti/blogu zina 'host' ambaye amerahisisha uwezo wa kutumia matangazo ya AdSense hivyo unaweza usihitaji kutengeneza mwenyewe, ila utahitaji kujua ikiwa host wako anahitaji kupata kiasi fulani cha malipo yako kwa kuwa ana-host blogu/tovuti yako bure au kama unaweza kulipia gharama za ku-host na hivyo kumzuia asichukue malipo yako yoyote ya AdSense. Wapo host wengine hawaruhusu kabisa matangazo ya AdSense hadi utakapolipia gharma za ku-host tovuti/blogu. Maelezo hayo mwulize/utayapata kwa kusoma maelezo ya-host wako. 

Watumiaji wa Blogger/Blogspot wamerahisishiwa zoezi hili na host wao (Google Blogger/Blogspot). Baadhi ya wenye blogu kupitia blogger/blogspot tayari wanatumia matangazo haya, baadhi yao wanafahamu sababu ya uwepo wa matangazo hayo, wengine kwa kujua hawayatumii. Wengine wanajua ila kwa haipo njia ya kufanikishiwa malipo yao, wanaona haja ya kuweka Adsense; Mimi ninawashauri wasiokuwa na ufumbuzi wa jinsi ya kufanikishiwa malipo yao, basi wasiache kutangaza, bali waendelee tu na inawezekana siku moja wakapata ufumbuzi kupitia Google AdSense au kupitia rafiki/ndugu/jamaa ambaye atakuwa tayari kuingia nao ubia na kupokea fedha kwa niaba yao. Nitafafanua kuhusu hili kwenye toleo linalofuatia kuhusu malipo (usikose kuperuzi siku zijazo kulisoma).

Ikiwa una blogu na Blogger/Blogspot, tumia linki ifuatayo kufuata maelekezo:  youtube.com/watch...blogger  
Leo nakomea hapa. Matoleo yanayofuatia nitazungumzia kuhusu mfumo wa malipo yako na miiko ya AdSense.
 
 
Picture
Until two days ago, it used to be able to only star or label an incoming message via certain email addresses you created in order to be able to easily identify certain messages quickly.

If you wanted to followup on a message, you had to go to the "sent" folder, star or label it, bring it back to the inbox or rachive it under the appropriate label.

Now the Gmail team have made it possible to add a star or label in any message before sending it to the recipient(s), making it easy to keep track of your sent messages that you want to followup later.

How:

When composing a new message, you can assign labels or star it by using the labels drop-down menu. 

Peace of mind: Recipient(s) of messages organized this way won’t see your labels or stars.

 
 
Picture
The surest way you can improve your fuel cost problem is to change your motoring habits. 

Listed below under four categories are 30 effective ways of saving on car gas/petrol/diesel. There is no need of buying some advertised (and possibly), expensive add-on equipment, oil additives, regardless of advertising claims, they may end up doing little or nothing if not destroying your car anyway. 

ENGINE WARM-UP

1. Avoid prolonged warming up of engine, even on cold mornings - 30 to 45 seconds is plenty of time.

2. Be sure the automatic choke is disengaged after engine warm up... chokes often get stuck, resulting in bad gas/air mixture.

3. Don't start and stop engine needlessly. Idling your engine for one minute consumes the gas amount equivalent to when you start the engine.

4. Avoid "reving" the engine, especially just before you switch the engine off; this wastes fuel needlessly and washes oil down from the inside cylinder walls, owing to loss of oil pressure.

5. Eliminate jack-rabbit starts. Accelerate slowly when starting from dead stop. Don't push pedal down more than 1/4 of the total foot travel. This allows carburetor to function at peak efficiency.  

HOW TO BUY GASOLINE

6. Buy gasoline during coolest time of day - early morning or late evening is best. During these times gasoline is densest. Keep in mind - gas pumps measure volumes of gasoline, not densities of fuel concentration. You are charged according to "volume of measurement".

7. Choose type and brand of gasoline carefully. Certain brands provide you with greater economy because of better quality. Use the brands which "seem" most beneficial.

8. Avoid filling gas tank to top. Overfilling results in sloshing over and out of tank. Never fill gas tank past the first "click" of fuel nozzle, if nozzle is automatic.


Picture
HOW TO DRIVE ECONOMICALLY

9. Exceeding 40 mph forces your auto to overcome tremendous wind resistance.

10. Never exceed legal speed limit. Primarily they are set for your traveling safety, however better gas efficiency also occurs. Traveling at 55 mph give you up to 21% better mileage when compared to former legal speed limits of 65 mph and 70 mph.

11. Traveling at fast rates in low gears can consume up to 45% more fuel than is needed.

12. Manual shift driven cars allow you to change to highest gear as soon as possible, thereby letting you save gas if you "nurse it along". However, if you cause the engine to "bog down", premature wearing of engine parts occurs.

13. Keep windows closed when traveling at highway speeds. Open windows cause air drag, reducing your mileage by 10%.

14. Drive steadily. Slowing down or speeding up wastes fuel. Also avoid tailgating - the driver in front of you is unpredictable. Not only is it unsafe, but if affects your economy, if he slows down unexpectedly.

15.Think ahead when approaching hills. If you accelerate, do it before you reach the hill, not while you're on it.

GENERAL ADVICE

16. Do not rest left foot on floor board pedals while driving. The slightest pressure puts "mechanical drag" on components, wearing them down prematurely. This "dragging" also demands additional fuel usage.

17. Avoid rough roads whenever possible, because dirt or gravel rob you of up to 30% of your gas mileage.

18. Use alternate roads when safer, shorter, straighter. Compare traveling distance differences - remember that corners, curves and lane jumping requires extra gas. The shortest distance between two points is always straight.

19. Stoplights are usually timed for your motoring advantage. By traveling steadily at the legal speed limit you boost your chances of having the "green light" all the way.

20. Automatic transmissions should be allowed to cool down when your car is idling at a standstill, e.g. railroad crossings, long traffic lights, etc. Place gear into neutral position. This reduces transmission strain and allows transmission to cool.

21. Park car so that you can later begin to travel in forward gear; avoid reverse gear maneuvers to save gas.

22. Regular tune-ups ensure best economy; check owner's manual for recommended maintenance intervals. Special attention should be given to maintaining clean air filters... diminished air flow increases gas waste.

23. Inspect suspension and chassis parts for occasional misalignment. Bent wheels, axles, bad shocks, broken springs, etc. create engine drag and are unsafe at high traveling speeds.

24. Remove snow tires during good weather seasons; traveling on deep tire tread really robs fuel!

25. Inflate all tires to maximum limit. Each tire should be periodically spun, balanced and checked for out-of-round. When shopping for new tires, get large diameter tires for rear wheels. Radial designs are the recognized fuel-savers; check manufacturer's specifications for maximum tire pressures.

26. Remove vinyl tops - they cause air drag. Rough surfaces disturb otherwise smooth air flow around a car's body. Bear in mind when buying new cars that a fancy sun roof helps disturb smooth air flow (and mileage).

27. Auto air conditioners can reduce fuel economy by 10% to 20%. Heater fan, power windows and seats increase engine load; the more load on your engine, the less miles per gallon.

28. Remove excess weight from trunk or inside of car - extra tires, back seats, unnecessary heavy parts. Extra weight reduces mileage, especially when driving up inclines.

Picture
29. Car pools reduce travel monotony and gas expense - all riders chip in to help you buy. Conversation helps to keep the driver alert. Pooling also reduces traffic congestion, gives the driver easier maneuverability and greater "steady speed" economy. For best results, distribute passenger weight evenly throughout car.

30. During cold weather watch for icicles frozen to car frame. Up to 100 lbs. can be quickly accumulated! Unremoved snow and ice cause tremendous wind resistance. Warm water thrown on (or hosed on) will eliminate it fast.

Tips credits/Ref.:  fueleconomy.gov/feg/driveHabits.shtml and Ernest Miles/howtoadvice.com


EXTRA
  • Install pressure regulator valve (sold in auto parts stores). 
  • Use graphite motor oil. 
  • Investigate fuel/water injection methods and products. 
  • Combine short errands into one trip. 
  • Use special gas additives to prevent winter freezing of gas/petrol/diseal lines. 
  • Convert your V8 engine over to a V4 - no special kits needed.
Suggest another tip in the comment box. Share with others.   

 
 
Picture
For those who didn't know, when watching any youtube video (whether on youtube or any other website), you can right click on it and choose any of the following options: 

  1. copy video URL
  2. copy video URL at current time
  3. pop out
  4. copy embed html
  5. report playback issue
  6. take speed test
  7. stop download
  8. show video info
  9. copy debug info
__________________
  • settings....
  • global settings....
  • about adobe flash player 10  

Explanations from what I've tried from the options list:

"copy video URL" will copy the video's URL if you wanted to paste and send to someone or share on a blog/website.

"copy video URL at current time" - useful if you want to target a certain part on the video and want the people you send/share the video link, to only start watching the video from that specific time. For example, a video which is 5mins 08secs long, and you want them to watch it not from the 0:00 but say 1min 11secs, then this option will come in handy. Try to see this effect by clicking on the image above and see the time where the video starts to play (it should be at 1:11).

"pop out" - will release the video out of the main window/tab and make itself a small window/tab that just fits the video. This way, you can stick the video on top all the time while continuing working on other tabs/windows.

"copy embed html" - useful for bloggers who want to share the current playing video measurements in their blog/site.

"stop download" - this one stops the video from downloading and buffering. It is useful if you want to pause a video to  slow internet traffic, especially when you want to give way for another website to load  a bit faster.

Explore the rest...