"You may be aware that most of these remittances are used mainly for investments, payment for education of siblings for the Diasporas, family maintenance, building and construction of houses as well as savings, among many other needs which the Diasporas send money home" so says The Kenya Commercial Bank (KCB) CEO Martin Oduor Otieno during the launching of KCB's new product called, "KCB Diaspora Banking" targeting East Africans living overseas.

The KCB Diaspora Banking aims at providing online banking services to over 15 million EAC citizens abroad.

Services includes opening of bank accounts, taking loans, mortgages, mobile banking, among others.

Customers who want the service can login to the Diaspora Banking page on the KCB website -  kcbbankgroup.com

Individuals interested in banking back home will transact with local or foreign currencies including US dollars, Euros, British Pound, Kenya shilling, Uganda shilling, Rwanda Franc, Burundi Franc, Tanzania shilling and the South Sudan Pound.

KCB has its footprint in Uganda, Kenya, Tanzania, South Sudan, Uganda, Rwanda and Burundi.

Last year, Kenya received $800 million as Diaspora remittances followed closely by Uganda which received $649 million.

 
 
Nyumba zaidi ya 50 za wakazi zaidi ya 200 wa mtaa wa Mzinga katika eneo la Ukonga jijini Dar es Salaam wapo katika hatari kubwa kiafya kutokana na nyumba zao kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotuama kwa muda mrefu.

 
 
Kwa kawaida tumezoea kuona "mobile homes" na majengo madogo ya "trailers" tu yakihamishwa, ila si orofa. 

Lakini hii isiyo kawaida imetokea huko Uswisi kama inavyookenana kwenye video mbili zilizopachikwa hapo chini.
Kwa wale wadadisi na wanaopenda kujifunza kidogo kujua "walifanya fanyaje" bofya hapa kuona video demo (youtube).

Uhamishaji jengo hili umenisababisha niwaze kuhusu baadhi ya watu ambao tuna tabia ya kutumia vitu kama majengo, kama ramani au alama au kielelezo cha marejeo wakati wa kutoa taarifa au kumwelekeza mtu au kutoa uthibitisho. Kwa mtindo huu, itabidi ramani zote na kumbukumbu za rejea zihaririwe na kuongezwa taarifa mpya ili kuepuka mkanyanyiko.

BBC, 23 May 2012 -- A 122-year-old, 6,200-tonne building in Zurich has been moved 60 metres westward to make way for the expansion of a nearby railway. The ambitious project, two years in the making, has involved freeing the foundations of the Machine Factory Oerlikon building before loading it onto a dedicated rail track.


Time-lapse-video of the moved building in Zurich

 
 
Usikose kuitizama na video ya pili hapo, ambapo mwanahabari Lolani Kalu wa NTV alizuru Mombasa kudadisi masuala haya.


 
 
Mali’s caretaker president needed hospital treatment after being beaten by protesters when they stormed his palace calling for him to resign.

Thousands of Malians are angry because Dioncounda Traore’s mandate as head of a transitional government has been extended under a foreign-backed deal.

Traore was put in place after the military leaders of a March coup agreed to a transitional government. But many Malians remain frustrated with the country’s political classes.

Monday’s protest also reflected defiance against neighbouring west African states which have backed Traore as a pre-requisite for foreign aid.

 
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwana juzi lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa mji wa Ikwiriri mkoani humo, waliokuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa wenzao hamsini.
 
Hali hiyo ilisababisha Polisi kujifungia ndani, huku huduma za kawaida za kijamii zikilazimika kusimama kwa zaidi ya saa tano.

Ifuatayo ni video ya ITV kuhusu taarifa hiyo kwa ufupi na baada ya video ni taarifa mpya ya leo kuhusu juhudi za kutafuta suluhu ya mgogoro huo baina ya Wananchi (wakulima, wafugaji) na Polisi pamoja na uongozi wa Serikali ya eneo hilo.



MGOGORO mkubwa uliozuka Ikwiriri, Rufiji, mkoani Pwani kati ya wakulima na wafugaji kwa siku mbili mfululizo na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali umemalizika jana.

Utulivu katika eneo la Ikwiriri, umerejea baada ya Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi nchini, SACP Simon Siro, kutumia njia za kidiplomasia kutatua mgogoro huo.

Juzi jioni mwanadiplomasia huyo aliwaita na kukutana faragha kwa mazungumzo ya nini kifanyike ili kuleta amani katika eneo hilo kwa kushirikisha wananchi, viongozi wa dini, wanasiasa, baadhi ya viongozi wa Serikali, wafanyabiashara wakubwa na wazee mashuhuri.

Mazungumzo hayo yaliyodumu kwa zaidi ya saa nne, yalizaa matunda baada ya viongozi hao kukubali kuwatangazia wananchi kuacha vurugu na kuingia katika meza ya mazungumzo kati yao na Jeshi la Polisi ili kurejesha amani kwa njia salama.

Kamanda Siro aliwaambia viongozi hao kuwa, amani ya Ikwiriri haitapatikana kwa mabomu ya machozi au risasi za moto bali kwa njia ya mazungumzo ili kutafuta namna ya kuondoa kasoro zilizojitokeza na kusababisha vurugu hizo.

Viongozi hao walielewa somo la Kamanda Siro na kushiriki kuwaeleza wananchi umuhimu wa kuacha vurugu na kuwasihi washiriki mkutano wa hadhara kati yao na Kamanda Siro ambao ulifanyika jana katika Viwanja vya Africana mjini hapa.

Katika mkutano huo ambao ulihudhuriwa na watu lukuki, wananchi wa pande zote mbili, wafugaji na wakulima walipewa nafasi ya kuzungumza kero zao na zikajadiliwa kwa pamoja chini ya usimamizi wa Kamanda Siro na kupatiwa ufumbuzi.

Wananchi kupitia mkutano huo, walikubaliana kuacha vurugu na kuweka maazimio matano ya nini kifanyike ili vurugu hizo zisijitokeze tena na kuazimia wafugaji warudi katika mipaka yao na wasivuke kuingia maeneo ya wakulima na viongozi wasiotekeleza majukumu yao ipasavyo wawajibishwe.

Maazimio mengine ni kuhusu viongozi, polisi na watendaji wengine wa Serikali wanaojihusisha na rushwa wachukuliwe hatua, wafugaji waliohusika katika mauaji ya mkulima, Bw.Shamte Kawangala (80), wakamatwe na wafikishwe mahakamani.

Azimio lingine ni wananchi 53 waliokamatwa na kufikishwa mahakamani mashtaka yao yachunguzwe kwa kina na wale wasiohusika waachiwe na watakaobainika kuhusika sheria ichukue mkondo wake.

Akizungumza na Majira muda mfupi kabla ya kuondoka na helikopta kutoka eneo la mkutano, Kamanda Siro alisema maazimio yaliyofikiwa katika mkutano huo yameanza kufanyiwa kazi.

Baadhi ya wakazi wa Ikwiriri walipongeza hatua ya Kamanda Siro jinsi alivyoweza kushughulikia mgogoro huo na kuupatia ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo na maridhiano ya pamoja.

Masau Bwire, Majira, Ikwiriri
 
 
Will Smith, like many other notable celebrities and public figures, just came out after President Barack Obama, in support of gay marriage, but it looks like someone wanted to take it a bit too far, in action perhaps, over the weekend.

Will  had to give a backhanded slap to a Ukranian reporter on Friday after the man planted a surprise smooch near the actor's lips at the ‘Men in Black 3’ aka  ‘MIB3’ premier in Moscow, Russia.

“He tried to kiss me on my mouth,” Smith said on camera seconds after the incident. “This joker, he’s lucky I didn’t sucker punch him.”

It turns out kissing interview subjects is part of Sediuk’s schtick and he is known as quite the prankster, TMZ reported.

Click on the video below to watch (available also at youtube.com)

 
 
watuhumiwa wa uchawi mwanza
picha: gsengo.blogspot.com
Watu wawili waliotambulika kwa majina ya Masaganya Kalimanzila (mwanamke, miaka 30) na Chiza Juma (mwanaume) wakihusishwa na imani za uchawi baada ya kubanwa na wananchi, wamekamatwa majira ya saa 12 asubuhi leo katika Kanisa la Ufunuo lililopo maeneo ya Butimba jijini Mwanza wakisafiri kwa ungo (mwanamke) na mshale (mwanaume) kutoka kijiji cha Kaziramkunda, Wilayani Kasulu, Mkoani Kigoma hadi jijini Mwanza, kwa nia ya kuwachukuwa watu watatu walioagizwa. 

Kwa mujibu wa mahojiano waliyofanya na blogu ya GSengo, watu hao wanasema walipewa amri na wakuu wao (ambao hawakuwataja majina) kuwachukuwa watu watatu wa Kanisa hilo kwa mazingira ya kichawi ili wawaue kwa ajili ya kafara.

Mchungaji wa Kanisa la Ufunuo, Diana Bandele na Abigaili Zumaridi ambaye ni Nabii wa Kanisa hilo, waliwakuta watu hao Kanisani mwao majira ya saa 12, muda ambao kwao ni ada kwa ajili ya kujitakasa tayari kwa kuianza siku ya ibada. 

Picture
picha: gsengo.blogspot.com

video iliyopachikwa hapa na yingine ni kutoka kwenye chaneli ya GSengo

 
 
An African Business Agenda: Tanzania round table featuring Jayesh Shah of the Samaria Groups, Ami Mpungwe - Deputy Chairman of Richland Resources and Lawrence Mafuru - the Managing Director of the National Bank of Commerce (T).

Watch the video below (youtube).