wavuti
 
Balozi mdogo wa Japani nchini Tanzania ambaye pia ni mtaalamu wa maswala ya uchumi, Yoshiyasu Mizuno ametembelea mvumbuzi wa jenereta la kutumia hewa kufua umeme.

Katika picha zifuatazo, balozi huyo anaonekana akiwa na mvumbuzi mwenyewe pamoja na wataalamu wengine kutoka Tanzania Industrial Research Development (TIRDO) eneo la Msasani ambapo ndipo lilipo jenereta hilo.
Picha kwa hisani ya blogu ya John Bukuku ya Full Shangwe.
 
 
NAKONDE border in Northern Province was yesterday temporarily closed following a riot by irate Tanzanian traders that left three vehicles damaged.

The riot started at about 10:30 hours and by 12:00 hours both the Zambian and Tanzanian customs gates remained closed. An eye witness at the border said the riot was started by Tanzanian nationals who sell various merchandise on top of the Tanzania Zambia Railways (TAZARA) tunnel on the Zambian side after police confiscated their goods.

Police had been trying to prevent people from trading on top of the tunnel. The irate traders started throwing stones and all sorts of missiles at the combined team of council and state police as workers at the clearing agencies near the area scampered for safety. Three new vehicles were damaged in the process before a reinforcement of police officers arrived on the scene. Heavily armed police officers have since been deployed to keep vigil at the scene.

Nakonde district commissioner Billy Silwimba said the closure of the border was temporary. Silwimba said normal business was expected to resume anytime soon and that the confusion had been addressed. Silwimba, who described the riotous behaviour of the Tanzanian nationals as unfortunate, said importers and the local people should not panic as the situation was now under control.

Source: www.postzambia.com
 
 
"WHO's new recommendations are excellent in theory, but they did not give us a practical way of implementing the guidelines - already we have shortages of drugs in trying to put people with CD4s below 200 on treatment," said James Kamau, coordinator of the Kenya Treatment Access movement.

Africa Africa, when will you start to have priorities? You have money for political campaigns, money for elections, money for wars, money for military coups... but when it comes to your people, you start crying... you shout for international funding. You forget that the money comes after Subi and Dewo, Iverson, Liu Cheng, Albulmarik, Lee, Stephanie et al, have been squeezed to the last coin...
Please Africa use your brain to think not your spinal cord!


"Avoiding this will depend on the willingness of donors to make new commitments. Although this is not easy in today's financial environment, donor countries cannot back away from supporting the promise of universal access to treatment made five years ago."

Africa, the dying are your people. Their well-being is your responsibility. The donors have other important things to do, mama wewe bado umekaa unawategemea tu??!!

Let me ask you my mama, how much of your budget from your own resources goes to HIV/AIDS? Hakuna.
...but how much do you spend for corruption, wars, unnecessary trips of your leaders, military coups? A lot.

One more before I let you go, how much of the funded money goes into the pockets of your corrupt, irresponsible leaders and health care authorities?

How much of the funded monies is used for medications? Very little... but how much is used for the Shangingis? A lot.

Ah Africa!! I have never heard an ARV by the name of Land Cruiser.

Sasa unalia nini Africa? Afrika umejilaani mwenyewe, hujalaaniwa na mtu wala Mungu.
Africa achana na ujinga wa utegemezi, una kila kitu umekikalia tu unalilia donors. 
Amka! Ingawa najua kamwe hautaamka. Unaniboa Afrika.
Monsignor in China.
(reacting to www.irinnews.org)
 
 
The World Bank has approved a $40 million loan for Tanzania to help set up a housing finance project in east Africa's second largest economy. "By strengthening access to housing finance, this loan will promote equitable economic growth, which in turn creates jobs and reduces poverty," John Murray McIntire, World Bank Country Director for Tanzania, Uganda, and Burundi, said in a statement.

Tanzania, like many African countries, suffers from a severe shortage of good quality housing, said the World Bank.

"The shortage is growing every year, compounded by lack of long-term housing finance, lack of a formal residential housing construction sector, difficulties with land rights and rapid population growth and urbanisation," it said in its statement.

The project aims to provide medium and long-term finance to mortgage lenders.

This is the third credit that the World Bank has approved for Tanzania in the 2009/10 fiscal year, bring the total funds under International Development Association to $250 million.

News source: Reuters - Africa
 
 
Pengine utaniuliza, 'oyaa, unazungumzia nini? Hiyo 'misukule' microsoft inayofunga ndo kitu gani tena?'
N'takujibu hivi, 'misukule' hii kitaalamu inaitwa 'botnet' na jina hili limetokana na muunganiko wa maneno mawili ya kiingereza, "robot" na "network".

Utasema tena, 'kwa hiyo?, mbona bado sikuelewi?'
Sasa sikiza...
Ikiwa una anwani pepe, huenda hutakuwa mgeni wa barua mazagazaga (spam na junk mails) yanazokuja kwenye inbox yako bila wewe kujua yametoka wapi na hao waliotuma mbona huwafahamu na isitoshe, wamejuaje anwani yako? Mara nyingi emails hizi huwa zinachujwa na kufichwa kwenye 'junk' au 'spam' folder' na kisha kutupwa ikiwa hutazishughulikia ndani ya siku kadhaa.

Sasa kuhusu uhusiano wa botnet na tarakilishi (computer) na mazagazaga (junk/spam) uko hivi.
Baadhi ya tarakilishi zinaweza kugeuzwa kuwa 'msukule' au 'zezeta' na hivyo kufanyishwa kazi kinyemela (remotely) na mtu aliyeko mahali fulani popote duniani. Tarakilishi inaweza kugeuzwa msukule ikiwa utapakua virusi kutoka kwenye barua pepe au tovuti fulani ulizotembelea na kupakua virusi kwa kutokujua. Punde virusi huyo anapoingia kwenye tarakilishi yako, si rahisi ufahamu kwani huwa haifanyi lolote zaidi tu ya kujishikiza kama kupe na kutoa taarifa kwa yule aliyeko kwenye 'control room' na kusubiri tu kupewa amri ya kuanza kusambaza virusi/trojan/linki za matangazo feki ya dawa za viagra nk. Punde tarakilisho yako inapoanza kufanya kazi hiyo, ndipo inapoitwa 'zezeta' aka msukule alias 'botnet'.

Ukitaka kuelewa kwa njia ya picha, tafadhali bofya picha ifuatayo na kuikuza ili kusoma.
Picture
bofya picha kuikuza ili kuona mfano wa nadharia ya utengenezaji na utendaji kazi wa misukule
Sasa iweje watu wanaotumia bidhaa za Microsoft wafurahie?
Ni kwamba, kutakuwepo na punguzo la junk emails zinazozalishwa kuniani kwa siku kwani kampuni ya Microsoft imepewa ruhusa ya muda kutoka kwenye mahakama moja ya Marekani katika jimbo la Virginia Mashariki inayoipa ruhusa Kampuni hiyo kubwa kabisa ya tarakilishi, kuweza kufungia majina ya intaneti yapatayo 277 ambayo yamethibitika kuwa kitovu cha msukule wa Waledac. Msukule huo unaaminika kusambaza virusi bilioni moja (1,000,000,000) kwa siku moja tu duniani kote. Bofya picha yenye ramani hapo chini ili kujionea makaridio ya tarakilishi ambazo zimeshambuliwa na 'misukule' kote duniani. Kwa maelezo zaidi kuhusu habari hii, soma tovuti ya Microsoft.

Vile vile unaweza kubofya hapa ili kutizama video kusikia maelezo mafupi kuhusiana na suala hili.
Picture
bofya picha kutizama athari ya virusi wanaosambazwa na misukule ya tarakilishi
 
 
Ninahisi tunastahili kabisa, sisi na viongozi wetu, kuandikiwa barua kama barua iliyoandikwa na gazeti moja la udaku ambalo ni maafuru sana pande za huko Ulaya, waliyoiandika barua hii ni baadhi ya Wajerumani wanaokusudia kufikisha ujumbe kwa wadeni wao ambao ni nchi ya Ugiriki kutokana na kushindwa kulipa deni wanalowiwa. Awali, baadhi ya wanasiasa nchini Ujerumani waliwaambia Wagiriki kuwa yawapasa wauze baadhi ya visiwa vyao ili waweze kulipia deni la Euro bilioni hamsini. Baadaye ndipo gazeti moja liliandika ujumbe wa barua kwa Waziri Mkuu wa Ugiriki bwana George George Papandreou unaosomeka hivi:
Picture
Dear prime minister,
If you're reading this, you've entered a country different from yours. You're in Germany.

Here, people work until they are 67 and there is no 14th-month salary for civil servants. Here, nobody needs to pay a €1,000 bribe to get a hospital bed in time.

Our petrol stations have cash registers, taxi drivers give receipts and farmers don't swindle EU subsidies with millions of non-existent olive trees.

Germany also has high debts but we can settle them. That's because we get up early and work all day.
We want to be friends with the Greeks. That's why since joining the euro, Germany has given your country €50bn.

 
 
Picture
mmoja wa walioathirika baada ya kutumia maji yaliyotiririka toka migodi
Picha zinazoonekana hapa ni mali ya blogu ya Kijijini Kwetu ya Chacha o'Wambura (Ng'wanambiti) na zimewekwa hapa ili kusambaza habari hii kwa watu kwa matumaini kuwa yupo mwenye roho ya ubinadamu walao mmoja atakayesikia na mwenye uwezo wa kufanya jambo la haki au kufikisha suala hili kwa anayeweza kulishughulikia. Masuala kama haya yatatufababisha siku moja tudaiane haki na amani kwa ncha ya upanga, na hiyo si kauli yangu binafsi bali nukuu ya wenye hekima waliotutangulia, mwenye akili na afahamu.

Ng'wanambiti anasema:
Cha kushangaza ni kuwa kuchukuwa hatua kwa swala hili kumekuwa kukichukua muda mrefu sana. Tunachosikia ni majibu ambayo ni ya kiutawala ambayo Barrick, DC wa Tarime, RC Mara, NEMC, Wizara ya Mazingira, Wizara ya Afya na Wizara ya Madini wanayatoa ni sawa kuwa 'wenyeji wameiba lining za mabwawa ya kuhifadhia maji machafu'. Je na hawa ambao wako katika vijiji vilivyo mbali na mgodi ambao ndo wamedhurika kwa kiasi kikubwa ni wezi?

Ndo kusema kuwa wataalamu wetu wa afya kuanzia Mkemia Mkuu wamewaasi wananchi walowasomesha kwa jasho la kodi zao na kuungana na wawekezaji kwa kisingizio cha 'attracting foreign direct investment? FDI kwa gharama za wananchi wetu? Je kuna mkono wa mtu (kisiasa na kampuni)ama ni kutojali kwa viongozi wetu?

 
 
Security measures should be strengthened to protect the safety of Chinese investors in Tanzania, a senior Chinese embassy official said on Sunday.

Fu Jijun, political counselor of the Chinese embassy in Tanzania, made the remarks at the mourning ceremony held at Kariakoo market in Dar es Salaam for the death of a Chinese businessmen killed inside his house by bandits on Feb. 28.

Fu expressed his condolences to the victim and his family, noting that the Chinese embassy is communicating with the Tanzanian police authorities and the Ministry of Home Affairs on efforts to bring the murderer to justice as soon as possible and to improve the security in Dar es Salaam.

He also called on local Chinese community to take practical measures to protect their own safety and property as security has deteriorated recently in the country's capital.

In a statement, the Chinese Business Chamber of Tanzania strongly demanded the Tanzanian police enhance investigation, calling on the government to ensure a safer environment for investment, which is the common concern of the Chinese community here.

There are more than 100 Chinese companies doing business here in Tanzania with an accumulated direct investment of more than 200 million U.S. dollars in construction, textile, agriculture, medicine and infrastructure.
 
 
News courtesy of the National Geographic News, written by Christine Dell'Amore.
Picture
llustration: Marlene Hill Donnelly, Field Museum
A new dinosaur relative found in Tanzania is the oldest known creature of its kind—a discovery that pushes back the origin of dinosaurs by at least ten million years, paleontologists say.

Dubbed Asilisaurus kongwe, the Labrador retriever-size creature was a silesaur, the closest relatives to true dinosaurs. The new found animal lived 243 million years ago, during the middle Triassic period. Since silesaurs and true dinosaurs diverged from a common ancestor, the two groups should have existed during the same time frame. 

Parts of at least 12 Asilisaurus skeletons were found in 2007 in southern Tanzania's Ruhuhu Valley. With no intact specimen to study, Sidor and his team had to piece together a composite skeleton. What emerged looked nothing like what paleontologists had imagined. Instead of resembling the "typical hatchet-headed, blade-toothed meat-eaters," Asilisaurus was a light, slender-limbed animal with peg-like teeth and a small beak-like structure on its jaw, the University of Maryland's Holtz said.

It's unknown why the lush, wet valleys of prehistoric Tanzania produced so many strains of dinosaur relatives, paleontologists say.

Read the uncut story at NationalGeographic.com

 
 
Picture
Sam Bed Net ni neti zilizotengenezwa ili kupunguza usumbufu utokanao na kuchomeka vyandarua vya kupambana na mbu wanaosababisha malaria na wadudu wengine wenye kusambaza vimelea vya magonjwa.

Waweza kubofya picha kutizama namna ya kuzichomeka au bofya hapa kutizama video fupi kabisa.

Kwa mahitaji, wasiliana na SamBedNet kupitia sam@sambednet.com na tovuti ni www.sambednet.com