Ni matumaini yangu kuwa mwanzo huu mzuri utaendelezwa na kuifanya TBC kuwa kitovu kizuri cha habari za ndani na nje ya Tanzania ili kuitangaza nchi yetu katika anga za Kimataifa.
Unaweza kubofya picha hapo na itakupeleka moja kwa moja kwenye tovuti ya TBC ambayo anwani yake ni http://www.tbc.go.tz
Hongera timu nzima ya TBC kwa kuanzisha kwa vitendo jukumu hili!



RSS Feed