Maafisa hao waligundua siri ya urembo baada ya kustukia kibao cha chess kuwa na uzito usio wa kawaida.
Msemaji wa kampuni inayohusika na kitengo hicho cha vifurushi, Steve Sapp alisema kuwa bangi hiyo ilisafirishwa toka Tanzania lakini hakusema ilitakiwa kumfikia nani.
Polisi wanatathmini kuwa madawa hayo ya kulevya yatakuwa na thamani ya dola za Kimarekani $ 30,000.
Madawa hayo yatateketezwa.
Hakuna aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.


RSS Feed