Hiki ni kipande tu cha aliyoyasema Dk. Harrison Mwakyembe alipozungumza na waandishi wa habari 28 Oktoba 2009 na kuwapa changamoto kuhusu uandishi tafiti na kufichua habari mbalimbali. Namshukuru sana Dr. Kiva kwa kukubali usumbufu wangu wa kumwoba kurekodi na kunitumia audio hii nami niiweke mtandaoni walao watu wengi waweze kusikia ya hapa na pale yanayosemwa na wabunge, wawakilishi na viongozi wa wananchi Tanzania. Unaweza kusikiliza audio clip katika ukurasa wa 'Redio' sehemu ya 'TBC1 Redio Tanzania'. CommentsWavuti 28/10/2009 4:18pm
Da' Mija,
Reply
Hivi hamna mtu wa kuwambia hao wasomaji wa habari kuwa wanasoma hizo taarifa zao kwanza kama wanaimba na pili wanasoma bila kufuata vituo?? Habari wanazosoma ni nzuri lakini usomaji haulingani na habari zenyewe wanazozisoma. Kuna umuhinmu wa kufanya mazoezi ya kusoma vizuri hizo taarifa za habari.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed