Picture
mfano wa panels za umeme jua
Mdau na rafki yangu anaomba mawasiliano yoyote ya Kampuni, Kikundi au Watu wanajishughulisha na nishati ya umeme itokanayo na jua nchini Tanzania hasa katika mkoa wa Dar Es Salaam.

Shukran!

Mdau mmoja wa kundi pepe fulani ametoa mawasiliano haya:
Francis wa Rex Investment, the owner; 0713607533

 


Comments

27/10/2009 10:32

CHLORIDE EXIDE TANZANIA LIMITED

Hi Bros Building, Pugu Road

Opposite Quality Plaza

Dar es Salaam

Tel: +255 22 2860971

Fax: +255 22 2860972/3

EMAIL: cexidetz@africaonline.co.tz

WEBSITE: www.cekl.com

AU

Arusha Depot

Simeon Road
Kijenge Area

Tel: 007 272 544726

Arusha

cexidear@africaonline.co.tz

Reply
27/10/2009 10:34

Binafsi nimeshapata kununua solar panel pamoja na accessories nyingine toka depo yao ya Arusha.

Reply
Wavuti
27/10/2009 11:19

Shukran Malkiory!

Reply
NSHIMBA MASANJA
28/10/2009 02:37

Kwa kweli niko very interested, ingekua vyema hawa jamaa wangetoa aina za services and products wanazouza na bei zake.

Na wasiwe kama zamani wakisema "njoo ofisini tutakupa maelezo"!

Itabidi waende na dunia ya kisasa wawe wa kweli na biashara zao, na sio kutoa bei baada ya kutazama sura!

Reply
Toninho
28/10/2009 02:49

Nashukuru sana kwa hizo contact,nashukuru dada wavuti kwa upendo wako wa kuniulizia humu.

Reply
28/10/2009 02:53

Yes Masanja usemacho ni kweli, kwa ulimwengu wa sasa, haitakiwi unatoa tu namba za simu then mteja aanzekutafuta mliko, pia mambo ya kuangalia sura au usafiri anaoutumia mteja ndiyo umpe bei, si sahihi kabisa.
Binafsi napenda kuweka kwangu both systems, yaani umeme wa Tanesco na wa jua, ili kukuiwa na mgao natumia umeme wa jua/usiku kwa ajili ya security lights n kadharika. Sasa hao wa Dar es salaam waweke mambo wazi maana tunauhitaji sana.

Reply
mujwahuzi
28/10/2009 07:13

Hii huduma nzuri pia inapatikana BP pale kurasini.Kwa bongo nafikiri Bp huduma ni nzuri ikilinganishwa na makampuni mengine

Reply
mujwahuzi
22/04/2010 02:38

Hii huduma nzuri inapatikana BP pale kurasini.Kwa bongo nafikiri Bp huduma ni nzuri ikilinganishwa na makampuni mengine

Reply



Leave a Reply