Mvua kubwa zilizoendelea kunyesha katika kipindi cha kabla, wakati na baada ya sikukuu ya Krismasi zimesababisha maafa katika maeneo mbalimbali na kuwaacha baadi ya watu bila ya makazi maalum katika jamii nchini Kenya na Tanzania kama inavyoonekana katika picha.

Picha zote za maafa nchini Kenya ni mali ya gazeti tando la The East African.

Picha za maafa ya mvua nchini Tanzania unaweza kuziona kupitia blogu  ya kaka Issa Michuzi kwa kubofya HAPA (Kilosa - Morogoro) na HAPA (Hedaru - Kilimanjaro).
 


Comments




Leave a Reply