![]() Rashid Mfaume Kawawa Aliyekuwa jemeradi na Simba wa Vita katika ukombozi wa Tanganyika na hatimaye Tanzania. mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa, amefariki dunia siku ya leo Alhamisi, 31 Disemba 2009 katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa muda mfupi kwa matibabu baada ya kujisikia vibaya kiafya. Alizaliwa 27.05.1926 - Amefariki 31.12.2009. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu Rashid Mfaume Kawawa mahala pema. Amin. Tunaiombea faraja familia, ndugu, jamaa na rafiki wa familia ya Kawawa. Zifuatazo ni picha mbalimbali za hayati Simba wa Vita, aiyekuwa kamanda wetu: CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |









































RSS Feed