Mpare bahili (kibwagizo) 02/01/2010
Siku moja amenifurahisha sana Bakari Msulwa kwa kibwagizo kifuatacho: Kisa kimoja kilichotokea kule Upareni. Bwana mmoja alikuwa akiezeka nyumba yake, ghafla kenchi ikakatika na akajua fika kuwa sasa anaporomoka. Mke wake alikuwa karibu akiangalia tukio hilo asijue cha kufanya. Nukta chache kabla hajaanza kubingirika kwenda chini akampigia kelele mkewe: "Oooh! Mama Thaumu, uthipike leo, NTAKULA HOSPITALI…" CommentsKoero Mkundi 02/01/2010 6:29am
Wewe sasa umchokozi, haki ya mungu.......
Reply
wavuti 02/01/2010 7:23am
mi simwogopagi mama Nammsifu na maneno yake, huwa anapenda kusema se tu mchanganyiko wa maneno.
Reply
wavuti 02/01/2010 11:50am
Malkiory,
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed