
Kwa upande wa wanawake, mkimbiaji wa Kenya, Chepkorir Kipkoechi aliibuka mshindi kwa kumaliza mbio hizo katika muda wa dakika 34 na sekunde 24, hivyo kuwazidi washindani wake wa karibu Mwethiopia Zeineba Hasso Hayato na Mbarazili Maria Zeferina Baldaia
Mashindano hayo yalifanyika nchini Brazili siku ya Jumapili na yanajulikana kwa jina la King's Run.
Hongera sana Marko kwa ushindi huu na tunakuombea mafanikio tele kwa mwaka huu katika mashindano zaidi yajayo.


RSS Feed