Nilikuwa naperuzi tovuti mbalimbali nilipokutana na ujumbe wa maombi ya msaada wa kielimu toka kwa kijana kwa jina lililoandikwa juu. Hani ninaposti habari hii, watu wawili walikuwa wametoa majibu na kwa kweli si majibu ya kutia moyo kwa namna wengine tulivyoizoea.

Nilipomaliza kusoma ujumbe huo, nilikuwa tayari kufunga tovuti ile na kuendelea na shughuli nyingine, lakini wazo jingine lilinijia kuwa, naweza kuwashirikisha Watanzania wengine ili waweze kufahamu kuwa vijana wa aina ya Samuel wanaweza kuwa wengi katika jamii yetu. Ni wachache wa kufanana na Samuel wanaweza kutumia tarakilishi (computer) kuomba msaada wa kielimu au kujiendeleza. Wengi wa vijana ambao hutumia internet (hasa internet cafe) wamekuwa wakiperuzi tovuti na blogu za ngono au zile zisizokuwa na msaada wa aina yoyote katika maisha yao ya sasa na kisha wakitoka sifahamu waliyoyapata humo huwa yanawasaidia kwa kiwango gani katika kupambana na ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia na ujasiriamali.

Ujumbe wenyewe ni kama unavyoosomeha paho chini na kunekana katika picha (captured screen shot) hapo.
Ikiwa utapenda kuwasiliana na Samuel, tafadhali tumia linki hii ambako ndiko alikoandika ujumbe huo: http://help.com/post/345710-my-name-is-samuel-elibariki-kaaya-f

My name is Samuel Elibariki Kaaya from Tanzania.Iam 23 years old,student of IAA(Imstitute of Accountancy Arusha).Iam the first born out of four children of Elibariki Kaaya.Due to the life problem of my parents(low living standard)that create even problem of studying not only me but also my youngs.Both my parents are peasants.All i need from you is just a help of my studies including school fee,faculty tools such as computer because iam taking faculty of information technology.Also i have the problem of meal and accomodation because iam live in hostel.Thanks alot.
Picture
 


Comments

kaaya
07/06/2010 14:09

kamua kaka.

Reply
07/06/2010 14:37

du

Reply



Leave a Reply