Shirika la Associated Press linairipotia New York Times kwamba, bwana Al-Faisal wala hakukanyaga Gambia bali alirejeshwa tena nchini Kenya kutoka katika kiwanja kimojawapo cha ndege cha nchini Naijeria ili akaanze upya safari yake ya kurudi kwao Jamaika.
Tuhuma zinazosababisha azuiliwe kusafiri katika nchi kadhaa ni hivi:
Mr. Faisal was convicted in Britain in 2003 of inciting racial hatred for urging his followers to kill Hindus, Christians, Jews and Americans, and he was accused of influencing one of the bombers who struck the London transit system in July 2005. Britain deported him to Jamaica in 2007, and it is not clear how he ended up in Africa.
Soma habari kamili kupitia linki hii: http://www.nytimes.com/2010/01/11/world/africa/11kenya.html


RSS Feed