Picture
Profesa David Mwakyusa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya bi Blandina Nyoni na Mganga Mkuu Kiongozi katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya NMR aliyoizindua leo. Wajumbe wa bodi hiyo mpya ni pamoja na Mbunge wa Mbozi Magharibi Dk. Luka Siyame, Dk. Hassan Mshinda, Dk. Edith Ngirwamungu, Jonathan Tangwa, Dk. Alaick Abdallah Juma, Profesa Eligius Lyamuya, Dk. Catherine Kuwite, Bi. Elli Pallangyo, Elisa Mjema, Dk. Salim Mohamed Abdullah na Dk. Mwele Malecela, ambaye ndiye Katibu wa bodi.

NIMR ni kifupi cha National Institute for Medical Research (Taasisi ya Taifa ya Utafiti katika Tiba)

(Picha kwa hisani ya blogu ya John Bukuku - Full Shangwe)
 


Comments




Leave a Reply