Kwa nini waendeshee mtaroni? 27/02/2010
Baada ya kuona ajali hii, nimeikumbuka kauli aliyowahi kuitoa Mhe. Waziri John P. Magufuli wakati huo akiwa Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano. Aliisema siku moja alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na ajali ya gari iliyokuwa imetokea katika mtaro eneo la Ubungo-Kimara, alihoji '...barabara pana yoooote ile wanaiacha, kwa nini wakaendeshee kwenye mtaro?'... Commentsadam 28/02/2010 3:34am
Subi, mtaroni ni salama zaidi.hakuna jam.we hujui tuuuuuuuu?
Reply
Bahati 28/02/2010 5:03am
Ajali ni ajali na wala mtu mwingine asione hakuna sababu, mwendesha gari anajua kilitokea ghafla kitu gani mbela yake.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed