Matokeo kidato cha nne 2009 06/02/2010
![]() Hongera kwa wote waliopiga hatua kimasomo na kumaliza elimu ya kidato cha nne mwaka 2009. Unaweza kutizama matokeo ya mtihani wa Taifa kuhitimu katika ngazi hiyo ya elimu kwa njia mbili. Moja ni kwa kutumia tovuti na nyingine ni kwa kutumia simu kwa wateja wa VodaCom pekee. Bofya kujaribu kati ya linki zifuatazo:
Tumia simu ya mteja wa VodaCom. Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) kwenda 15311 yenye message: MatokeoXcentreXcandno Badili neno 'centre' na uandike jina la shule/kituo ulichofanyia mtihani Badili neno 'candno' na uandike namba ya mtahiniwa Kwa mfano: MatokeoXS0452X0203 Shukrani zimwendee Augsustine Maguta aliyetushirikisha njia mbadala. ANGALIZO Ikiwa namba ya kituo ulichofanyia mtihani namba zake zina tarakimu chini ya nne, unahitaji kubandika tu tarakimu hizo bila kutanguliza sifuri. Kwa mfano: Namba ya shule/kituo ni S0012 na namba ya mtahiniwa ni 45 basi andika MatokeoXS12X45 Huduma zilizotajwa hapo juu kwa ajili ya matokeo haya hazitatozwa fedha yoyote ile. ILANI Tovuti ya matokeo inaweza kutokuwa hewani (off line due to bandwidth limit) kutokana na kuzidiwa na wingi wa watu wanaotaka kuona matokeo. Hilo ni suala la IT wanaohusika na wizara hiyo wanaweza kulirekebisha. Ufikwapo na hali hiyo, pole kwa usumbufu huo, ndivyo Wizara zetu za Serikali zilivyo na bandwidth ndogo il hali uhitaji ni mkubwa, hasa kwa tovuti hii ambayo imekuwa ikilalamikiwa kwa miaka mitatu mfululizo kwa tatizo hili hili, sifahamu mkakati wao wa kulitatua tatizo hili. CommentsHugo 07/02/2010 4:13am
safi sana na thanx kwa kuweka link hapo. nilikuwa natafuta haya matokeo kwenye site ya necta sijui ni kimeo, inaniambia record hazipo..
Reply
Hugo,
Reply
emmanuel samwel 08/02/2010 11:24am
Dah hiyo link yako imetulia kinyama na iko very faste ni kubofya tu na kupata tokeo dahh uko juu sana mzee
Reply
08/02/2010 2:38pm
Pia yanapatikana hapa:
Reply
ahamadi lalikila 09/02/2010 1:33am
Reply
TAMOTA 09/02/2010 4:14am
Reply
calvin nimrod oshorael some 23/02/2010 2:14am
Reply
zalika hussein 20/04/2010 10:13pm
natafuta matokeo ya Shule ya Kilimanjaro Boys secondary 2009 lakini siyapati katika website ya necta,moec, na matokeo.com. naomba nisaidie ili niweze kuyapata
Reply
Machano 25/01/2012 6:36am
matokeo ya kidato cha nne mwaka 2011 yatatoka lini kwanim tuna hamu nayo kwa hamu kuyaona maana mtihsni utavuja moyo
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed