Shaffi Ramadhan Kondo ameishi gerezani kwa miaka kumi. Hapa anamwelezea mwandishi wa BBC, Josephat Mwanzi, hali halisi ya magereza ya Tanzania. Bofya kifute cha play upate kusikiliza mahojiano hayo mafupi.
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala