wavuti
wavuti logo Facebook icon Facebook icon Twitter icon Subscribe RSS
 
Dawa zinazosadikika kuwa za Kichina, maarufu kwa jina la 'mchina' na zinazoaminika kutumiwa na baadhi ya wanawake ili kukuza makalio yao, zimezua balaa kwa mkazi mmoja wa jijini Dar Es Salaam.

Hayo yamethibitishwa na mwenywe pale alipozungumza katika redio kadhaa za FM kwa nyakati tofauti. Mkazi huyo anasema baada ya kutalikiana na wake watatu kutokana na maumbile yake madogo ya uzazi, alipewa ushauri na kuamua kuuzingatia kwa kujaribu  kupaka 'mchina' katika maumbile yake.

Mwanaume huyo aliamua kutafuta 'dawa' ya tatizo lake na ndipo aliposhauriwa atumie dawa hizo almaaruf 'mchina' na baada ya siku mbili aliona mabadiliko na kufurahia tendo la ndoa na mkewe wa nne.

Balaa lilizuka pale siku baada ya siku maumbile yake yalipozidi kukua kiasi cha kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hadi anahojiwa na redio FM za Dar Es Salaam, tayari maumbile yake yalishatosha kilo tisa.

Mkewe wa nne naye imabidi kutimka kwani inasemekana kuwa hili limeshakuwa zigo lisilobebeka.
 


Comments

mode

Thu, 25 Feb 2010 9:29:40 am

kwa hakika hizo picha hazifanani ,hata dhmira za watu hao wawili hazifanani hata kidogo.

 

fredrick

Thu, 25 Feb 2010 10:31:11 pm

Binadamu hatuamini mpaka kwa mifano!Pole zake jamaa huyo labda wachina haohao watamponya tena!

 

violet

Fri, 26 Feb 2010 8:44:51 am

huyo jamaa ni mwehu kabisa .lazima ifike miguuni hiyo!

 

violet Jr.

Fri, 26 Feb 2010 9:02:58 am

huyo mjamaaa naye bila shaka alikwaza,lakini akome wanaume ndio sababu kubwa ya wanawake kupaka makalio ya mchina na wanawake wanataka wanaume wenye uume mkubwa basi weeeeeee patamu hapo,patachimbika mwaka huu!mbona sijasikia za kuongeza akili kupunguza matokeo mabaya mashuleni?

 

Mtango

Fri, 26 Feb 2010 9:26:28 am

Ikifika tani 10 tuwasiliane, nina FUSO yangu naitafutia mzigo...! Nampa pole

 

Boney

Fri, 26 Feb 2010 11:10:50 am

Violet huyu jamaa sio mwehu alikuwa natii mahitaji ya soko kumbe ame-overdo. Mbona wapo wamama/ wadada wanatafuta "uzuri" hadi wanaathiri maungo au viungo vyao?

 

Fri, 26 Feb 2010 12:26:24 pm

Jamani huyu jamaa asilaumiwe hata kidogo maana, kwanza alishakimbiwa na wamama watatu, huku na huku kapata ushauri kama huo hata angekuwa nani angeufurahia huo ujumbe sema tu kumeza dozi sahihi ndo kasheshe, ukishajua yakuwa nikimeza tu hiyo dawa mambo bambam weeeeeeeee!!!!

 

fredrick

Sat, 27 Feb 2010 11:52:04 am

Pia twende mbele kisha turudi nyuma!huu uuzaji wa hizi dawa za kichina jamani ni wa kiholela sana!TFDA na Mamlaka nyingine zinazohusika sijui wako upande upi!?
Kwa wale wanaosafiri mara kwa mara hasa na magari ya hood kwenda dar-moro!Zile promotion za dawa za kichina duh....!sidhani hata wale ndugu zetu wanaouza kama wanabackground info ya pharmaceutical knowledge!sawa wanapata ajira lakini kwa upande mwingine ushawishi wao tena kwa lugha yetu mama!mmmmh wanunuaji hawakosekani!

 

PRINCE

Thu, 04 Mar 2010 7:48:11 pm

I think ni vema tusiwalaumu wachina, It's not there fout, tatizo letu wabongo tuna tamaa sana.
wakati akina mama wanatamani kujenga maumbo ya kuwatamanisha wanaume kama vile makalio makubwa, wanaume nao wanatamani kufanya kila liwezekanalo kuwadatisha kina dada kama hivyo kufanya sehemu kuwa kubwa.
USHAURI WA BURE, kumlizisha mwanamke hakuangalii umbo la sehemu zako bali Ufundi

 

Safari Jr

Sat, 13 Mar 2010 11:27:02 am

Hii inatosha kutoa tahadhari kwa watumiaji wa dawa hizi pamoja na dawa nyingine za kichina ambazo hazijadhibitishwa kujua madhara wanayoweza kukumbana nayo. TFDA nayo inafaa ichukue hatua kuzifungia dawa hizi lakini jukumu kubwa bado linabakia kwa wateja kukataa kuzitumia dawa hizi.

 

Comments are closed.