Ombi kwa NECTA toka kwa mzazi 08/02/2010
Rai ya George kwa NECTA kuwasihi waboreshe tovuti ya matokeo ya mtihani na kuweka aina mbalimbali zaidi za chaguzi ya jinsi ya kuperuzi kwa urahisi wa kupata matokeo. Maoni alivyotutumia yanasomeka: Ifike muda watu wafikiri kuhusu wateja. Sisi wazazi na wengine ni wateja wa necta inapofika wakati wa matokeo. Kwa nini wasipange shule kwa herufi au kimkoa ikawa rahisi kupata unachotaka? Imenichukua muda mwingi kupata shule niliyotaka matokeo yake. Badilikeni zingatieni wateja wenu kwanza. Commentsasia 09/02/2010 12:18am
naunga mkono wazo la mzazi Geogre,ni kweli kwamba ni vizuri mkapanga matokeo kimkoa nna kutumia alfabeti katika kupanga majina ya shule.hii itamrahisishia mteja kupata anachotafuta kwa urahisi zaidi.
Reply
Huyo mzazi naye anaonekana ni kiazi tu. NECTA wanapanga matokeo kwa mtiririko wa namba ya usajili wa shule. Kama hufahamu namba ya shule ndio unapata shida. Kwa upande wangu haikunichukua hata dakika moja tayari nilikuwa nimeshapata matokeo ya shule niliyokuwa nataka. Nina amini kama unahitaji kufahamu matokeo ya shule fulani basi na namba ya shule uifahamu, otherwise wewe hutakiwi kufahamu hayo matokeo...Samahani wadau. Naungana na wadau kuwa NECTA wawe na namna tofauti ya kupanga matokeo pia, kwa mfano kwa kufuata namba za usajili za shule, kwa alfabetical order, na pia kwa kwa database systems, kwamba naweka namba yangu kwenye dialogue box kisha na pata matokeo.
Reply
mkuu 11/02/2010 1:49pm
solution: Bonyeza "CTRL" na "F" halafu andika jina la shule unayotafuta.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed