Picture
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA UINGEREZA

SHEREHE YA KUZALIWA KWA
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
MIAKA 33 YA CCM
Wanachama Wote -  C C M
Wakereketwa Wote - C C M
Wapenzi Na Wana-Mapinduzi Wote

Tarehe: 06/03/2010    Saa: 10 jioni Hadi Saa 5 usiku

WAPI:
UKUMBI WA: THE WAREHOUSE
1 CUMBERLAND ROAD
READING
RG1 3LB

Mgeni Rasmi
Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara: Mhe Pius Msekwa

Watanzania ambao wangependa kujiandikisha, mnaombwa kuleta picha zenu za passport size mbili na paundi kumi na tano (paundi tatu kwa kadi, halafu paundi kumi na mbili kwa ada ya uanachama ya mwaka mzima).

Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na:
Moses Katega - 07727475313
Victor Mgoya – 07501083328
Maira Migire – 07799212095

Wote Mnakaribishwa – Kutakuwa na Vinywaji, Vitafunio, na  Muziki Baada ya Shughuli Zote.

Kiingilio – BURE!!!
 


Comments




Leave a Reply