wavuti
wavuti logo Facebook icon Facebook icon Twitter icon Subscribe RSS
 
Baadhi yenu mtakuwa mnamkumbuka Martina Chambiri kwa wimbo ule aliouimba na watoto wenzie nchini Italia - Tanzania e! Wapo baadhi yenu waliwahi kuniuliza aliko Martina nami nikawafahamisha kuwa kwa sasa anaendelea na masomo yake ingawaje sikuwa na uhakika alikuwa kidato gani wala shule aliyomo.

Kamera ya Mroki Mroki ilimnasa Martina katika mahafali ya kuhitimu kidato cha Sita katika shule ya Sekondari Loyola.

Tunamtakia mafanikio mema katika harakati za kusaka elimu na kuendeleza maisha.

Unaweza kutizama video ya wimbo alioimba Martina kwenye ukurasa wa video (bofya hapa).
 


Comments


Comments are closed.