TheUwazi wamerekodi na kuweka kwenye mtandao video inayoonesha taswira ya ilivyokuwa eneo lilikotokea mauaji ya wanafamilia 17, mauaji ya kinyama yaliyofanyika katikati ya mwezi Februari 2010. Tafadhali bofya picha hapo au nenda kwenye ukurasa wa video kuitizama video yenyewe. Tafadhali soma onyo kabla ya yote.
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala