Pichani ni mwanamuziki mkongwe wa muziki Bi Kidude akiwa na mwanamuziki Babu Ayoub, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu onesho lao la kupambana kwa sauti 'Mtanange wa Masauti' litakalofanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Travertine iliyopo Magomeni.

Mpambano huo utafanyika siku ya Jumapili na utasindikizwa na kundi la Taarab la Jahazi.
Picha na taarifa kwa hisani ya blogu ya Sufiani
 


Comments




Leave a Reply