Aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari punde tu ziliposikika taarifa katika vyombo vya habari kuwa askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) ameridhia upitishwaji wa nguzo za umeme karibu na kanisa la FGBF lililopo Mwenge jijini Dar Es Salaam.
Bofya kifute cha play upate kusikia taarifa hii iliyorekodiwa kutoka katika kipindi cha Dira ya BBC (Swahili).
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala