Learn how to create a long, complex, strong yet easy to remember password. Katika posti iliyopita, tuliongelea juu ya namna ya kujiweka mbali na wezi wa mtandaoni kwa njia ya email lakini tuliacha kiporo cha kujifunza namna ya kutengeneza nywila ndefu, ngumu na madhubuti na ambayo ni rahisi kuikumbuka. Leo tutajifunza kuhusu hilo.
Tunza nywila yako katika usiri. (Remember to treat your password as a secret). Kwa vidokezo vilivyopita tafadhali peruzi kwenye 'Computer Or Email Tips & Tricks'. CommentsKai Rooney 10/03/2010 11:27am
Leo nimeingia humu nimepata faida mbili ya kwanza ni kujua kiswahili cha password ya pili ni hili somo, sikujua hiki kitu before. Asante sana mama wavuti mungu aibariki kazi ya mikono yako.
Reply
10/03/2010 11:42am
Asante kushukuru Kai. Nafurahi ninapoweza ku-PUGU (Pata Ujuzi Gawia Umma).
Reply
Issah - KIA 11/03/2010 12:05am
Somo zuri sana, nimelifurahia ila "ku-PUGU!!!" nayo mpya
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed