Tafadhali maofisi husika na watoa huduma bila kujali kama ni sekretari, muuguzi, daktari, injinia, postamasta, dereva, utingo, tandiboi, muuza nguo, mama ntilie, baba lishe na kazalika, end of thinking kapasiti, tafadhali sana heshimuni kazi, wajibu wenu na ofisi zenu. Tusizinguane bila sababu ya msingi!
Nasi 'wadau' tukiyaona haya ya 'ndivyo sivyo' tuyakemee kiviiiile.
Senkyu.