Mmoja wa wachekeshaji katika kikundi cha Commedy kinachorushwa na TBC anawaalika katika blogu yake ya www.mkandamizaji.blogspot.com Commentslinus nico 02/04/2010 6:27am
masanja uko juu nakupongeza kwa kufungua blog yazko big up
Reply
Ghaibu Burhani 17/04/2010 2:52am
Mkubwa upo juu sana,najua sasa tumepata place ya kuchart with u..Pamoko sana mzeiya.
Reply
12/05/2010 1:30am
masanja bwana asifiwe uko juu sana na naupenda sana wimbo wako wa nimemchagua. usikose kanisani kila jpili ndani mito mito ya baraka kwa mchungaji wetu
Reply
12/05/2010 1:34am
emanuely ukiwa kama mtumishi wa bwana siku moja katika kipindi naomba muimbe wimbo wa mather mwaipaja au jerusalem kwaya yako nazipenda sana. tupo pamoja ndani ya mito ya baraka
Reply
neymkama@yahoo.com 16/06/2010 7:44am
Yes kaka,hope uko powa,napenda sana comedi yenu,hasa we na joti aka jembe.Kazeni but c mnajua mmepata wapinzani,lkn ya kwenu ni very unique,tunacheka na tunapata habari kwa kina pia,bid up bro and keep it up.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed