Natafuta dawa moja ya kichina ilikuwa ikiitwa Miobao.
Inakuwa kwenye form ya fungi, na inaota juu ya chai. Ilikuwa maarufu sana miaka mwisho ya 90 . Tafadhali kama kuna mtu anayo kati ya UK ama Bongo, niwekee mstari kwenye email yangu na nitafuatilia. natanguliza shukrani.