Napenda kukutaarifu kuwa kunanafasi kibao sana za scholarship especially ambazo huwa ni ngumu sana kuzipata kama MBA,pia kuna nafasi maalum kwa ajiri ya wanawake in Agricultural sector. Najua una watu wengi unaowajua,basi wape taarifa wapitie wenyewe kupitia hapa www.mallaba.ning.com Ninachofanya nikuwasaidia tu kupata hizo infos wala sio application, hivyo basi kila mtu kulingana na nafasi atakayoiona inafaa basi anaweza ku apply mwenyewe. Many thanks, Ni mimi mtanzania na mzalendo, Dr. Mallaba Raphael SCF Shukran Dk. Mallaba kwa taarifa. Tunatumai ya kuwa wadau watachangamkia fursa hizi. CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed