Mgeni Rasmi na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UV-CCM Taifa, Ridhiwani Kikwete, amewasimika Makamanda mbalimbali wa UVCCM ikiwa ni pamoja na kamanda wa Vijana CCM kata ya Kijitonyama kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika shule ya msingi Kijitonyama jioni ya tarehe 10 Machi 2010.