Start Time: Friday, May 28, 2010 at 8:45am End Time: Sunday, May 30, 2010 at 12:45pm Location: CONCOURSE HOTEL AND CONFERENCE CENTER Street: 4300 INTERNATIONAL GATEWAY City/Town: Columbus, OH View Map Tunapenda kuwatangazia kwamba Mchungaji Christopher Mwakasege toka Tanzania, anatarajiwa kufika na kuhudumu hapo Marekani katika jimbo la Columbus, Ohio katika tarehe za May 28, 29 na 30, 2010 (MEMORIAL WEEKEND). Mchungaji Christopher Mwakasege amekuwa akihubiri na kufundisha Habari Njema za Neno la Mungu pamoja na mambo yanayohusu vijana na jamii kwa ujumla. Ratiba kamili itatolewa hapa hivi karibuni. SEHEMU HOTEL CONCOURSE AND CONFERENCE CENTER 4300 INTERNATIONAL GATEWAY COLUMBUS, OHIO USA REGISTRATION REGISTRATION NI $40 FOR SINGLE AND $50 FOR COUPLES. THE REGISTRATION FEE COVERS BOTH ROOM AND BOARD, INCLUDING FOOD FOR THE ENTIRE CONFERENCE TIME. www.mwakasege.org For more information, please contact these people below: Amos Jackson 614 218 0716 Richard Nyonyi 614 622 0667 [hizi ni taarifa za awali, taarifa zaidi zitafuatia hapo baadae] Comments Comments are closed. |