![]() Anasikika aliyewahi kuwa mfungwa wa mojawapo ya magereza nchini Tanzania kwa kutuhumiwa kosa la ubakaji ambapo mahakama ilimhukumu miaka 30 ndani, hata na hiyo mfungwa huyo alitoka baada tu ya kutumikia kifungo hicho kwa miaka 9 kutokana na kukata rufaa na kubainika kuwa alifungwa kwa kosa ambalo halikuthibitika kutenda. Tafadhali tembelea ukurasa wa Audios au bofya hapa upate kuikiliza kipindi hiki cha Njia Panda kilichorushwa hewani siku ya Jumapili, Machi 7, 2010 ndani ya redio Clouds FM. Shukrani za pekee kabisa zimfikie Dk. Lelo Baliyima aliyerekodi na kututumia audio hii. CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed