Wanasiasa!! Hiki kibonzo kimenifurahisha sana. Ha ha haa
Reply
alledros
09/03/2010 6:58am
Noooooooo! siwezi kucheka! Ni mambo ya kweli: watanzania kama samaki na kama samaki wanakaa kimya na kumezwa tu na wafisadi wanaoongezeka. Ukombozi lini? Wapi? Pongezi kwa wote wanaotumia njia hii ya cartoons kwa kujaribu kuwaamsha 'samaki', lakini wataamka? tembea kijijini na utaona ukweli wa TZ! Bahati mbaya watanunuliwa kama kawaida na kiasi cha pombe au khanga!
Reply
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala