Kuna watu wana tabia ya kiherehere, wanaopenda kubofya bofya kila linki wanayopokea hasa pale inapohusu habari za kustua ama gumzo dhidi ya watu maarufu duniani ama zile zinazohusiana na ngono. Zimeanza kusambaa habari za uongo zinazosema, "an accident that killed U.S. President Barack Obama" ati, "raisi wa Marekani bwana Barack Obama ameuawa katika ajali". Hizo ni habari za uzushi ambazo zinakuja kwa njia ya linki yenye maelekezo kuwa ubofye ili kusoma habari zaidi kuhusiana na tukio hilo. Punde mtu anavyofanya hivyo, basi anakuwa amebofya linki yenye virusi ambavyo vitaingia katika tarakilishi unayotumia na kusababisha uharibifu. Linki hizi zinajificha katika majina yanayokuelekeza kwenda mitandao maarufu kama vile Facebook au YouTube kuona video au kusoma zaidi, lakini hiyo ni haddaa, si kweli, majina unayoyaona kwa kusoma yameficha linki haribifu. Linki hizi zimesambaa kwenye chat clients kama Windows Live Messenger. Tafadhali kuwa mwangalifu na zingatia kuwa na anti-virus ambayo utai-update mara kwa mara na usipende tabia ya kubofya bofya linki usizokuwa zenye habari zinazoelekea kuwa za udaku. UPDATE Kuna watu wanapenda kubisha tu alimradi wamebisha, basi hiyo ndiyo furaha yao. Hapa naambatanisha maelezo na linki, mwenye kuchukua hatua atachukua, asiyetaka, hajalazimishwa, endelea kubofya bofya tu. Kuna linki mwisho wa maelezo ukibofya waweza kuona screen-capture ya IM ina URL yenye virus (circled). “Obama Accident” Instant Messages Used to Spread Malware 2:56 am (UTC-7) | by Jonathan Leopando (Technical Communications) A new attack spreading BUZUS malware via Windows Live Messenger has been spotted. Trend Micro researcher Loucif Kharouni spotted the messages spreading via the popular instant-messaging (IM) application, samples of which can be seen below. The text before the links are in French and tells users to click the link that follows. Some of these links made users believe that they were viewing a photo related to an accident that supposedly killed U.S. President Barack Obama. Others used domain names similar to legitimate sites like Facebook and YouTube. In reality, however, the links lead to malicious BUZUS variants detected by Trend Micro as TROJ_BUZUS.BTA and TROJ_BUZUS.BTB. Malware attacks using Barack Obama as social-engineering bait date back to his 2008 campaign for the U.S. presidency. Previous attacks were seen both around his election (both for pharmaceutical spam and spreading malware) as well as around his inauguration. Trend Micro™ Smart Protection Network™ protects customers from this threat by blocking user access to the malicious websites that host the malicious files. It also detects and prevents the download of TROJ_BUZUS.BTA and TROJ_BUZUS.BTB via the file reputation service. Source & Credit: http://blog.trendmicro.com/obama-accident-instant-messages-used-to-spread-malware CommentsPaul 16/03/2010 10:44pm
Sikweli kuhusiana na kilicho andikwa hapo juu.kama wewe umefanya ubaya wowote na ukawekwa kwenye Link yeyote,lazima watu waisome kwahiyo acha kusitua watu kwa mtazamo huo , huu muda ni wa ukweli na uwazi mambo yote mazuri lazima yasifiwe, na mabaya lazima yalaumiwe.kwahiyo ndugu uliye toa maoni hayo haya fai.
Reply
Sue 16/03/2010 11:27pm
Mh which is which!!!
Reply
17/03/2010 12:41am
Paul,
Reply
Paul 17/03/2010 3:17am
kufikia mpaka hapo nshakuelewa,ila kwanini link kama hizo mzitafutie utaratibu ilikusudi msomaji anapo iona aiache, sisi tunapo pata taarifa kama hizo huwatupenda kujua zaidi.kwasababu mimi nilitaka kuibua hata hisia za wengine wasiojua mambo kama haya.na niliamua kubishi kimakusudi ilikusudi siku nyingine very very elaborative to the mass.Definitely you are also asked to care after you custommer ,by so doing ,it will have properly incourage .Pia wengine hata taaifa za habari huwa hatusikilizi tunalala maofisini kazi nyingi huwa tunafatilia mitandao tu,na taarifa za kubofya kama hizi ,jamani jaribuni kuwa elimisha watu wote juu ya mambo kama haya,wala sio kulaumu tuu,Sawa Subi.iataonesha hujaiva kisaikolojia.
Reply
17/03/2010 3:33am
Shukran kwa kurejea na kutoa maoni haya, nakubali kwa dhati kabisa kuwa sijaiva kisaikolojia, huo ni ukweli ulio dhahiri.
Reply
Paul 17/03/2010 6:37am
Sasa unaanza kufungua zip ya akili yangu,Tukubaliane Labda lugha ambayo niliitumia ilikuwa ni kilatini maana wewe hukuielewa,lakini mimi nilitumia ulumbi wa maneno.Perception na Interpretation ya mtu inategemea what a man is planted & of what category a man is?sijui unanipata lakini,Sanaa ni uanagenzi unaoibua hisia na ku-reveal the realities within the natives, so bila sanaa kunaweza kukawa na ubutu fulani wa fikra za watu ambao wanajua,Nimeamua kutumia lugha ya Picha,ilikusudi ni ku-reflect,and also within a society there is Different types of guys i'e two, Optimistic & Pestimistic ,which of the two you belong?Harafu know your friend and those surrounding you,Pia chagua mambo matatu yakiutafiti,harafu teua moja kati ya hayo naulifanye na utaona Kila pia utakubaliana nami juu ya hili na kwanini ulifanye.Mtanzania aliye mtanzania ana akili sana kuliko mfano isipo akili yake haifanyii kazi,Nani alaumiwe unajua jibu lake? kila mmoja alaumiwe hata anaejua maana anajua lakini hataki kuwaelimisha watanzania wenzake.Hata ninyi mlioko juu kwenye wavuti.com jamani saidieni watu watu wamefungua E-mail zao hawajui hata kuzifungua mpaka ampe mhudumu pesa iliafunguliwe ,Nahata wahudumu wengine hawajui hata maana ya Link kwanini asibofye ya OBAMA ilikusudi yeye amebofya tu, Kukaa kwenye Wavuti so mchezo ninyi ni watu wakubwa mno sisi tunawaogopa sana jamani, sawa mkuu.Lakini kama nikienda mpaka nyuma ya zizi basi nisamehewe na mimi ni mtu na ni Mtanzania tu wala sio Mi -UK.
Reply
17/03/2010 7:11am
Paul,
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed