Wakamatwa wakiigiza madawa ya kulevya nchini 13/03/2010
![]() Wakazi watatu wa mkoaniTanga, wawili wa Dar Es Salaam na raia mmoja wa nchini Iran wamekamatwa na madawa ya kulevya waliyokuwa wakiyaingiza nchini. Bofya hapa ili kutizama kipande hicho cha habari kadiri kilivyorekodiwa na kuwekwa mtandaoni na Kennedy Kimaro wa blogu ya kennedytz.blogspot.com. Tunatumai kwamba zoezi la kupambana na uingizaji wa madawa ya kulevya nchini Tanzania litaendelea kupewa kipaumbele kwani matumizi ya dawa za kulevya yamechangia kwa kiwango kikubwa sana kupumbaza vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa na kusababisha utegemezi mkubwa, jambo linalochangia kukua kwa kiwango cha umasikini miongoni mwa wananchi. CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed