- Huduma za Afya - Tshs 80,000/=
- Sekta ya Kilimo - Tshs 70,000/=
- Viwanda na Biashara - Tsh. 80,000/=
- Maji (Bahari na Uvuvi) - Tsh. 165,000/=
- Ulinzi Binafsi - Makampuni makubwa na makampuni ya kigeni - 105,000/=; Makampuni menginey o- 80,000/=
- Madini - [Migodini 350,000/=; Wachimbaji wadogo -150,000/=; Wauzaji wadogo na watoa leseni 250,000/=; Brokers Licenses 150,000/=
- Mahotelini - Hoteli kubwa za kitalii - 150,000/=; Hoteli za kati - 100,000/=; Hoteli ndogondogo,mabaa, nyumba za wageni na migahawa- 80,000/=
- Usafirishaji na Mawasiliano - Huduma za anga 350,000/=; Clearing and Fowarding 230,000/= Mawasiliano ya Simu 300,000/=; Usafiri wa nchi kavu 150,000/=
- Majumbani (mabalozi na wafanyabiashara wakubwa) - isiwe chini ya Tsh 90,000/=; Maafisa wenye sitahili ya kulipiwa huduma hii -isiwe chini ya Tsh.80,000/=; Wengineo - Tshs 65,000/=
- Sekta nyingine ambazo hazikutajwa - 80,000/=
Picha na Aron Msigwa wa Maelezo.



RSS Feed